Kama sio chuki zako Kikwete na Lowassa tungempata wapi?

Na ndiyo hiyo hiyo serikali ambayo October lazima iondoke madarakani..
 
Unaejiita Yericko Nyerere, toka babu dakatari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akupe za uso leo ndiyo unarudi na ufataani mwingine!

Kwi kwi kwi teh teh teh

..........Angalia hapo juu huyo CCM mwenzio anaeitwa MUSSA ALLAN alivyo comment (coment no.11), katika wana CCM huyu MUSSA ALLAN ndo pekee mwenye akili maana kaona hali inapoelekea, sio wewe "Kizee" huwa huna la maana.
 
Watu kwa kupenda kupotosha ngoja nbasi nikusaidie kama haufahamu! Kuhusu uuzwaji wa nyumba wala haukuwa Uamuzi wa Magufuli wala Mkapa bali hili pendekezo lilitoka Benki ya Dunia na IMF ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa nchi masikini, wao ndiyo waliiambia Serikali yetu ni lazima iuze nyumba ili kubana Matumizi (austerity) kwamba hizi nyumba zilikuwa na gharama kubwa sana kwa Serikali na siyo TZ tu ndio waliuza nyumba hata Kenya pia nyumba za Serikali nyingi ziliuzwa na sababu ni hiyo hiyo IMF hivyo kwa Magufuli ni kwamba alitokea tu kuwa Waziri muhusika wakati huo lkn kitendo kilikuwa ni lazima kifanyike maadamu TanZania ilikuwa inashirikiana na IMF na Benki ya Dunia hata Jefrey Sachs aliliongelea hili kwenye moja ya vitabu vyake, ni kama vile masharti mengine mengi yaliyowekwa na IMF ambayo hat fisado Lowasa mwenyewe aliyatekeleza... Hivyo acha kupotosha!

Hivi ww kweli unahakiri timamu?, kama ziko timamu basi unamasilahi flani ya kifisadi na ccm. Mtu mwenye hakiri timamu huu mwaka hawezi akachagua ccm.
 
Uko Nje ya Mada, jaribu siku zote kusoma na kuelewa kilichoandikwa kwanza kabla ya kujibu itakupunguzia mengi! Mada ilihusu uuzwaji wa nyumba za serikali kulikofanywa na Magufuli na siyo kuipigia kura CCM au sijui fisadi Lowasa!
 
Yeriko Nyerere umesahau meli ya bakharesa mv Kilimanjaro inabeba abira 500 imetengenezwa mwaka 2015 bei 6billion kwenda unguja saa moja na robo

Ya pombe kwenda bagamoyo saa tatu mwaka 1978 abiria 350 bei billion 8
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaa

Leta hoja yeshe mashiko

Ndoa yangu huijui na haikuhusu kamwe

Kweli ccm mmeishiwa had unaanza kuleta siasa taka hapa..

Mfyuuuuu...kwenda zako

Poor ccm

Tukutane October.................:beer::beer::beer::beer::beer:

Wahurumieni maana wamechanganyikiwa ccm
 
kwanza natoa pongezi kwa Yerricko kwa uzi mwanana.
pili,niseme tu,Magufuli ni mtu powa ila sio presidential material. Anatumia nguvu kwa sifa bila akili.

kuhusu kutojipanga kana kwamba alikuwa anabeep uraisi,hilo swala liko wazi.
Magufuli hataweza kutawala ndoaana katika least ya majina alichagua watu dhaifu ambao watamsikiliza.Kama mmegundua kikwete hapendi watu wenye hoja,akili wala misimamo.

magufuli aliwekwa tu kama vyote vikishindikana basi apate huyu na tukose wote. Na kweli ikawa hivyo.

Yerricko anachosema ni kweli,huyu mtu hakujiandaa wala hana dira na Tanzania. Neno kubwa tunni sitawaangusha. hajui data za uchumi,nchi inaendeshwaje na mambo mengi.
kwa kifupi hakuwa na nia ya dhati kama vile kacheza bahati nasibu tu,na akapata.
mwaka huu ni mzuri watu kuchagua sio chama bali mtu ambaye anafaa.
 
Watu kwa kupenda kupotosha ngoja nbasi nikusaidie kama haufahamu! Kuhusu uuzwaji wa nyumba wala haukuwa Uamuzi wa Magufuli wala Mkapa bali hili pendekezo lilitoka Benki ya Dunia na IMF ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa nchi masikini, wao ndiyo waliiambia Serikali yetu ni lazima iuze nyumba ili kubana Matumizi (austerity) kwamba hizi nyumba zilikuwa na gharama kubwa sana kwa Serikali na siyo TZ tu ndio waliuza nyumba hata Kenya pia nyumba za Serikali nyingi ziliuzwa na sababu ni hiyo hiyo IMF hivyo kwa Magufuli ni kwamba alitokea tu kuwa Waziri muhusika wakati huo lkn kitendo kilikuwa ni lazima kifanyike maadamu TanZania ilikuwa inashirikiana na IMF na Benki ya Dunia hata Jefrey Sachs aliliongelea hili kwenye moja ya vitabu vyake, ni kama vile masharti mengine mengi yaliyowekwa na IMF ambayo hat fisado Lowasa mwenyewe aliyatekeleza... Hivyo acha kupotosha!

Yawezekana unachokisema kuwa ni maagizo ya IMF na World Bank hilo hatuna tatizo nalo, tatizo ni namna na gharama halisi ya nyumba zilivyouzwa na ukifatilia watu waliozinunua utajua kuwa mamlaka hazikutimiza wajibu wao ipasavyo chini ya Dr. Magufuli.
Ukweli utabaki pale pale kuwa Dr. hakujiandaa kwa nafasi hiyo,
Natamani sana kama angekuwa waziri mkuu badala ya hiyo anayopigania sasa.
 
Unamaanisha nini unaposema hakujiandaa? Sasa kama hakuajiandaa aliingiaje kwenye wagombea uraisi? Au unafikiri alikwenda kuchukuwa fomu na kutumia fedha kutafuta wadhamini kwa ajili ya kujifurahisha tu?
 
Yeriko, your leaders ( mbowe, lisu, and Mnyika) might be wrong learn to think for yourself
 
Watu kwa kupenda kupotosha ngoja nbasi nikusaidie kama haufahamu! Kuhusu uuzwaji wa nyumba wala haukuwa Uamuzi wa Magufuli wala Mkapa bali hili pendekezo lilitoka Benki ya Dunia na IMF ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa nchi masikini, wao ndiyo waliiambia Serikali yetu ni lazima iuze nyumba ili kubana Matumizi (austerity) kwamba hizi nyumba zilikuwa na gharama kubwa sana kwa Serikali na siyo TZ tu ndio waliuza nyumba hata Kenya pia nyumba za Serikali nyingi ziliuzwa na sababu ni hiyo hiyo IMF hivyo kwa Magufuli ni kwamba alitokea tu kuwa Waziri muhusika wakati huo lkn kitendo kilikuwa ni lazima kifanyike maadamu TanZania ilikuwa inashirikiana na IMF na Benki ya Dunia hata Jefrey Sachs aliliongelea hili kwenye moja ya vitabu vyake, ni kama vile masharti mengine mengi yaliyowekwa na IMF ambayo hat fisado Lowasa mwenyewe aliyatekeleza... Hivyo acha kupotosha!
Ndio walishauri Nyumba ziuzwe bei Chee sababu zina gharama Kubwa? na pia isiwe tenda ya Watanzania wote only kwa waliotawala tu hadi Mdogo wake Magufuli pia aliruhusiwa?.... Somethning Fishy goin on here...

Punguza Mapovu utawavua Nguo unaowatetea
 
Back
Top Bottom