Kama sio chuki zako Kikwete na Lowassa tungempata wapi?

Kama sio chuki zako Kikwete na Lowassa tungempata wapi?

Yericko Nyerere

Watu kwa kupenda kupotosha ngoja nbasi nikusaidie kama haufahamu! Kuhusu uuzwaji wa nyumba wala haukuwa Uamuzi wa Magufuli wala Mkapa bali hili pendekezo lilitoka Benki ya Dunia na IMF ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa nchi masikini, wao ndiyo waliiambia Serikali yetu ni lazima iuze nyumba ili kubana Matumizi (austerity) kwamba hizi nyumba zilikuwa na gharama kubwa sana kwa Serikali na siyo TZ tu ndio waliuza nyumba hata Kenya pia nyumba za Serikali nyingi ziliuzwa na sababu ni hiyo hiyo IMF hivyo kwa Magufuli ni kwamba alitokea tu kuwa Waziri muhusika wakati huo lkn kitendo kilikuwa ni lazima kifanyike maadamu TanZania ilikuwa inashirikiana na IMF na Benki ya Dunia hata Jefrey Sachs aliliongelea hili kwenye moja ya vitabu vyake, ni kama vile masharti mengine mengi yaliyowekwa na IMF ambayo hat fisado Lowasa mwenyewe aliyatekeleza... Hivyo acha kupotosha!
na naamini WB na IMF ndo waliwamuru kuuza kwa bei ya mkaa, na isitokeshe waliwashika masikioo kiasi kwamba hawakuwa na njia mbadala ya kubana matumizi.
 
nazile traffic light za pale chato zina manufaa gani???sio matumizi mabaya ya ofisi hayo
 
Loooh...inanisiktsha kuona comments za instagram na facebook zmehamia jamiiforum,wanaojiita wasomi na wapembuzi wa mambo makubwa leo hii wamegeuka kuwa wajadili maada kwa hoja za kipuuzi zilozojaa chuki,udini,ukabila,ukanda,na ufinyu wa kifikra jinsi ya kujikwamua kimaisha wanaishia kulalamika et CCM ndo imesababisha...hivi chama gani kitakuja kikujaze pesa mfukon,ama kikuletee maisha bora bila kujtuma mwenyew,vijana tunatumiwa vibaya sana na wanasiasa kwa kuzitangaza njaa zetu bila kujua wapi na vipi tutapata chakula cha kukidhi hzo njaa zetu....libya walianza hivhiv nadhan octoba tutatia akili vzr na huu ushabiki wa kichaga,kaskazini,ukawa.[/QU

hizi ndio akili za wana ccm nyie baada ya kuishiwa hoja,nani alikwambia watu wanategemeea chama kiwaletee pesa au maendeleo nadhani hujui hata unachotetea,ila unajaribu kukashifu harakati za UKAWA..kwan hao viongozi tunawachagua ili iweje sasa,sawa hawatuletei hela mfukoni ila tunawachagua waje kufanya nini??Unajituma kwa kufanya biashara au kazi yenye ujira mdogo serikali inakulima kodi bila hata huruma,kazi zenyewe haziko fair bado unang'ang'aniza watu upumbavu...Usifananishe Libya na hapa wao vijana walikuwa na kila mahitaji ya muhimu hasa kwa graduates kasoro uhuru katika mambo fulani,lakini Tanzania vijana hatuna chochote hapa,kazi ambayo ni haki yako kuipata tu inakuwa kama zari za mentali,serikali haina sera madhubuti kwa ajili ya vijana ni blahhblahh.....we binafsi hujaja na solution zaidi ya majigambo ya kiccm tu
 
Wewe bibi ndio umekuwa afisa uhusiano Wa Tanesco? Wanakata umeme siku nzima na hawasemi, utadhani mnatupa bure huo umeme.

Licha ya TANESCO kutangaza hata Waziri wa Nishati kalitangaza hilo, wewe kutwa kucha uko bar, utayasikia saa ngapi?
 
Dhana gani unayoiongelea? Kwanza kubali kwamba unapotosha, na Bw.Magufuli siye aliyetoa uamuzi ya uuzwaji wa nyumba za Serikali, bali ni uamuzi wa Serikali ambayo pia fisadi Lowasa alikuwa ni mmoja wao na wala hakuwahi kuliongelea hili swala kwa maana yeye (fisadi Lowasa) na wenzake akiwemo Rostamu Aziz anaishi nyumba ya serikali Oysterbay ingawaje hajawahi kuwa Mfanyakazi wa Serikali ndiyo moja wa wafaidika wakubwa wa hizi nyumba kama ishu ni nani kauziwa na nani hakuuziwa!
Hivyo tuweke record sawa kwanza; Kwamba Magufuli hakutoa uamuzi wa kuuza Nyumba za Serikali!
halafu ndiyo tuanze sasa kumjadili Bw.Magufuli vs Fisadi Lowasa hoja baada ya hoja mapungufu baada ya mapungufu, mazuri baada ya mazuri n.k!

Dhana ni serikali chini ya waziri mhusika kufanya kosa kwa kuuza nyumba kwa bei nafuu kwakuangalia namba ya nyumba tu sio thamani ya jengo.

Kasome mamlaka ya waziri mhusika katika sheria ya utumishi ndugu yangu,
 
Hilo la bei ya nyumba ni la Serikali nzima na wala Bw.Magufuri hakuhusika na kupanga bei ya uuzwaji wa Nyumba za Serikali bali ni Serikali nzima chini ya Baraza la Mawazili akiwemo fisadi Lowasa, lengo la Serikali aidha baya au zuri hilo siwezi kujibu lilikuwa ukichukulia ni lazima nyumba ziuzwe basi wauziwe Waajiriwa wa Serikali kwa bei nafuu lkn kwa masharti ya kutokuziuza au kubadilisha matumizi, kwanza hata miti ndani ya uzio walikuwa hawaruhusiwi kukata lkn Mafisadi wakiongozwa na Lowasa, Rostam na genge lao walikiuka hayo masharti hali iliyopelekea fisadi Lowasa kujimilikisha nyumba nyingi Oysterbay na Masaki na kuzibomoa kujenga Maghorofa makubwa ya kupangisha watu binafsi!

* Simtetetei Magufuli bali nataka uwe fair na umshutumu mtu kwa jambo ambalo kweli amelifanya na siyo kupotosha Ukweli! Na kuweka record vizuri kwamba Magufuli hakutoa uamuzi wa kuuza nyumba za Serikali!
 
Yericko Nyerere

Watu kwa kupenda kupotosha ngoja nbasi nikusaidie kama haufahamu! Kuhusu uuzwaji wa nyumba wala haukuwa Uamuzi wa Magufuli wala Mkapa bali hili pendekezo lilitoka Benki ya Dunia na IMF ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa nchi masikini, wao ndiyo waliiambia Serikali yetu ni lazima iuze nyumba ili kubana Matumizi (austerity) kwamba hizi nyumba zilikuwa na gharama kubwa sana kwa Serikali na siyo TZ tu ndio waliuza nyumba hata Kenya pia nyumba za Serikali nyingi ziliuzwa na sababu ni hiyo hiyo IMF hivyo kwa Magufuli ni kwamba alitokea tu kuwa Waziri muhusika wakati huo lkn kitendo kilikuwa ni lazima kifanyike maadamu TanZania ilikuwa inashirikiana na IMF na Benki ya Dunia hata Jefrey Sachs aliliongelea hili kwenye moja ya vitabu vyake, ni kama vile masharti mengine mengi yaliyowekwa na IMF ambayo hat fisado Lowasa mwenyewe aliyatekeleza... Hivyo acha kupotosha!

Ndo umeandika nn sasa, inamaana IMF wangemwambia auze na familia yake angekubali sababu ye ni masikini?this is ridiculous mkuu kajipange upya
 
Last edited by a moderator:
Yericko, Je mtaipigania Katiba ya Warioba? tungependa kusikia hilo !
 
Mwanafalsafa mmoja wa kiyunani alisema jambo moja linaloishi mpaka leo, kwamba hakuna upuuzi ulio upuuzi mtupu, pia kauli ilikuja kuchagizwa na kauli ya mfalisayo wa Ukaridayo aliyesema alama za nyakati zikifika mwamuzi ni Muumba tu,

Nafasi ya Urais sio nafasi ya kupata "kama zali". Hata uwe kiongozi mzuri kiasi gani huwezi kushtukizwa na kupewa mikoba ya nchi kirahisi rahisi tu. Lazima uwe umejipanga, umejiandaa na uko tayari. Hotuba za Magufuli zinadhihirisha kuwa aliingia kwenye kinyang'anyiro kwa kujaribu.

Membe alitangaza nia Lindi, Makamba alitangaza nia Mlimani City, Muhongo- Musoma, Mh.Lowassa;Arusha n.k. Magufuli alitangaza nia wapi? Alitaja vipaumbele gani? Nini kauli mbiu yake? HAKUNA. Huwezi kumpa mtu 'miaka 5 ya kujiandaa' kuongoza nchi. Tunataka mtu aliyejiandaa an akiingia ikulu aanze kuongozanchi mara moja. Mtu huyu ni Edward Lowassa.

Kuna tofauti kubwa kati ya Magufuli na Lowassa. Wote ni wepesi katika kufanya maamuzi. Lakini mmoja hufanya maamuzi yenye tija wakati mwingine hufanya maamuzi yenye madhara. Tuangalie mifano:

Mh.Magufuli 'alipiga' bei nyumba za serikali na leo hii serikali inatumia mamilioni kuwapangishia hotelini watumishi wake.HASARA! Mh.Lowassa amesimamia ujenzi wa UDOM na kuongeza idadi ya wataalam mbalimbali nchini.FAIDA.

Ndg.Makufuli amenunua vivuko, pantoni na mashine za tiketi kwa mabilioni lakini hazifanyi kazi/ hazina ufanisi.HASARA. Mh.Lowassa alisimamia ujenzi wa bomba la maji kutoka ziwa Victoria mpaka Shinyanga huku akipuuzia vitisho vya Wasudani na Wamisri vya kuhodhi matumizi ya maji ya Victoria kwa mkataba wa kikoloni.FAIDA.

Mh.Magufuli alibomoa fuel station "shell" huko Mwanza, serikali ikashindwa kesi, tukalipa mabilioni.HASARA. Mh.Lowassa alivunja mkataba wa City Water, hatukushtakiwa.FAIDA.

Mh.Magufuli alikamata wavuvi "halali" wa Asia ya mbali tumeshitakiwa, tumedondokea pua, tutawalipa meli yao na gharama nyingine kadhaa zenye thamani ya 16bilioni hapo hujajumlisha gharama za utunzaji wa wale samaki.HASARA. Mh.Lowassa, wakati ndege za Malawi zishaanza kuzurura maeneo ya Kyera na Nyasa huku tukiwachekea, alitoa tamko Bungeni...."tuko imara, tumejipanga...". Wakafunga Virago.FAIDA.

Ndg.Magufuli amewanyang'anya kandarasi wajenzi kadhaa kwa matamko tu bila kuzingatia taratibu za mikataba. Wametushtaki, wameshinda, tumewalipa.HASARA. Mh.Lowassa alitaka kuvunja mkataba wa Richmond, kama sio AG Johnson Mwanyika kuomba..."mapumziko ya saa moja nje ya mkutano" ili awasiliane na mamlaka ya juu na baadae kurejea na agizo kuwa..."imeagizwa; mkataba usivunjwe.." pengine leo tusingekuwa tunazungumzia Richmond, baba yake na Dowans, babu wa Symbion Powers. TUNGENUFAIKA.

UCCM wangu hauwezi kunipofua nisiuone ukweli huo hapo juu. Ujirani wangu na Mh.Magufuli hapa Chato hauwezi kunishinikiza nimuazime miaka 5 ya kujiandaa badala ya kutawala.

NITAMPIGIA KURA LOWASSA.

Hivi wakati mnamwita fisadi na dhaifu hamkujua yote haya?kila nikitafakari nadhani nazidi kushangaa mambo mengi sana.eti unalala na mwanamke wa ukimwi ukijua kwa sababu tu una hamu ya ngono?tumerogwa na nani?unadhan Chadema imejipanga kutawala au kuongoza watanzania?kama ilijiandaa sarakasi na maigizo yote haya ya nini?binafsi naamini bila shaka,mmeisaidia CCM kuendelea kutawala kwa ujinga wenu.subiri oktoba and mark my word!
 
Hakika Lowasa ana kura nyingi tu za ushindi.

Ndio maana wanaweweseka .....
 
Hivi wakati mnamwita fisadi na dhaifu hamkujua yote haya?kila nikitafakari nadhani nazidi kushangaa mambo mengi sana.eti unalala na mwanamke wa ukimwi ukijua kwa sababu tu una hamu ya ngono?tumerogwa na nani?unadhan Chadema imejipanga kutawala au kuongoza watanzania?kama ilijiandaa sarakasi na maigizo yote haya ya nini?binafsi naamini bila shaka,mmeisaidia CCM kuendelea kutawala kwa ujinga wenu.subiri oktoba and mark my word!

Birds of a feather flock together..tulimwita Fisadi sababu alikuwa anakula na kunywa na mafisadi...Ukawa birds pitch down his door step..and the guy is on board..clean with lots of support..We are on our way to Caanan..Nchi ya ahadi
 
Inawezekana ukawa sahihi lakini haupo sahihi kabisa.tofautisha hapo then tutarudi hapa mtakakuja na lugha zingine.
 
fact fact fact ,,,,nkuone wapi nkupe zawadi ya ushindi....compare and contract yako ilikuwa nzuri sana shuleni
 
Tuwekee ushahidi vinginevyo hatutakuelewa na hatajitoa kwenye hiyo tuhuma.MSAIDIE KWA HILO
Yericko Nyerere

Watu kwa kupenda kupotosha ngoja nbasi nikusaidie kama haufahamu! Kuhusu uuzwaji wa nyumba wala haukuwa Uamuzi wa Magufuli wala Mkapa bali hili pendekezo lilitoka Benki ya Dunia na IMF ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa nchi masikini, wao ndiyo waliiambia Serikali yetu ni lazima iuze nyumba ili kubana Matumizi (austerity) kwamba hizi nyumba zilikuwa na gharama kubwa sana kwa Serikali na siyo TZ tu ndio waliuza nyumba hata Kenya pia nyumba za Serikali nyingi ziliuzwa na sababu ni hiyo hiyo IMF hivyo kwa Magufuli ni kwamba alitokea tu kuwa Waziri muhusika wakati huo lkn kitendo kilikuwa ni lazima kifanyike maadamu TanZania ilikuwa inashirikiana na IMF na Benki ya Dunia hata Jefrey Sachs aliliongelea hili kwenye moja ya vitabu vyake, ni kama vile masharti mengine mengi yaliyowekwa na IMF ambayo hat fisado Lowasa mwenyewe aliyatekeleza... Hivyo acha kupotosha!
 
Last edited by a moderator:
Na ndiyo hiyo hiyo ambayo Mamvi aliwahi kuwa waziri mkuu.

na ndio hiyo hiyo alijiudhuru miaka 8 iliyopita na ufisadi bado uliendelea tena kwa ari mpya na kasi ya ajabu

na hiyo serikali lazima iondoke madarakan mwaka huu

TUKUTANE OCTOBER
 
Back
Top Bottom