mazuzu ndo wakishauriwa na IMF na WORLD BANK wanafanya kama walivyo agizwa.great thinkers wanapembua pumba kwanza.kwani huko ulaya waliuza nyumba za watumishi wao?NACHUKIA SANA VIONGOZI VICHWA MAJI.
Watu kwa kupenda kupotosha ngoja nbasi nikusaidie kama haufahamu! Kuhusu uuzwaji wa nyumba wala haukuwa Uamuzi wa Magufuli wala Mkapa bali hili pendekezo lilitoka Benki ya Dunia na IMF ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa nchi masikini, wao ndiyo waliiambia Serikali yetu ni lazima iuze nyumba ili kubana Matumizi (austerity) kwamba hizi nyumba zilikuwa na gharama kubwa sana kwa Serikali na siyo TZ tu ndio waliuza nyumba hata Kenya pia nyumba za Serikali nyingi ziliuzwa na sababu ni hiyo hiyo IMF hivyo kwa Magufuli ni kwamba alitokea tu kuwa Waziri muhusika wakati huo lkn kitendo kilikuwa ni lazima kifanyike maadamu TanZania ilikuwa inashirikiana na IMF na Benki ya Dunia hata Jefrey Sachs aliliongelea hili kwenye moja ya vitabu vyake, ni kama vile masharti mengine mengi yaliyowekwa na IMF ambayo hat fisado Lowasa mwenyewe aliyatekeleza... Hivyo acha kupotosha!I'm
On a serious NOTE, hivi wakati wa mchakato wa kutafuta mgombea ndani ya CCM, slogan/kauli mbiu ya Magufuli ilikuwa nini? Nakumbuka Lowassa ailikuwa maamuzi magumu, Safari ya matuimani na mchakamchaka wa maendeleo.
Je, slogan/kauli mbiu ya Magufuli ilikuwa nini? ili kujitofautisha na watia nia wengine?!
Maana watia nia wote wa CCM tulifahamu mwisho wa siku atakayechaguliwa lazima anadi ILANI YA CCM.
Ili kujitofautisha na wana-CCM wengine basi kila mtia nia alikuwa na kauli mbiu yake. Je, kauli mbiu ya Magufuli ilikuwa nini?
Kama kweli Magufuli alikuwa hana kauli mbiu na kusubiri ILANI YA CCM, imtengenezee kauli mbiu, basi inawezekana kweli Magufuli alikuwa hakujiandaa kuwa Urais wa JMT. Magufuli ameokota pochi kwenye maandamano ya UKAWA.
Hiyo ni mada nyingine kabisa na ukipenda unaweza kuianzisha halafu ukapata ufafanuzi ila hapa ilihusu tu masahihisho ya kwamba Magufuli aliuza nyumba za Serikali, jambo ambalo siyo KWELI yeye alikuwa mtendaji tu aliyepokea Maagizo!
IMF hushauri, hawalazimishi, kabla ya kukubali Ushauri lazima ujiridhishe kuwa utakuwa na manufaa! Usidangsnye watu, serikali na waziri mhusika wanawajibika kwa maamuzi wanayoyafanya!
Watu kwa kupenda kupotosha ngoja nbasi nikusaidie kama haufahamu! Kuhusu uuzwaji wa nyumba wala haukuwa Uamuzi wa Magufuli wala Mkapa bali hili pendekezo lilitoka Benki ya Dunia na IMF ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa nchi masikini, wao ndiyo waliiambia Serikali yetu ni lazima iuze nyumba ili kubana Matumizi (austerity) kwamba hizi nyumba zilikuwa na gharama kubwa sana kwa Serikali na siyo TZ tu ndio waliuza nyumba hata Kenya pia nyumba za Serikali nyingi ziliuzwa na sababu ni hiyo hiyo IMF hivyo kwa Magufuli ni kwamba alitokea tu kuwa Waziri muhusika wakati huo lkn kitendo kilikuwa ni lazima kifanyike maadamu TanZania ilikuwa inashirikiana na IMF na Benki ya Dunia hata Jefrey Sachs aliliongelea hili kwenye moja ya vitabu vyake, ni kama vile masharti mengine mengi yaliyowekwa na IMF ambayo hat fisado Lowasa mwenyewe aliyatekeleza... Hivyo acha kupotosha!
Unajua ninyi ni watu wa ajabu kidogo! Alipokea maagizo kutoka kwa nani? Kutoka Chadema? Au kutoka UKAWA? Ndio maana mnaambiwa huu mfumo uliopo ni wa kishenzi na unatakiwa kuondolewa once and forever. Waziri anapokea maagizo kutoka wapi? Juha kweli wewe.
Watu kwa kupenda kupotosha ngoja nbasi nikusaidie kama haufahamu! Kuhusu uuzwaji wa nyumba wala haukuwa Uamuzi wa Magufuli wala Mkapa bali hili pendekezo lilitoka Benki ya Dunia na IMF ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa nchi masikini, wao ndiyo waliiambia Serikali yetu ni lazima iuze nyumba ili kubana Matumizi (austerity) kwamba hizi nyumba zilikuwa na gharama kubwa sana kwa Serikali na siyo TZ tu ndio waliuza nyumba hata Kenya pia nyumba za Serikali nyingi ziliuzwa na sababu ni hiyo hiyo IMF hivyo kwa Magufuli ni kwamba alitokea tu kuwa Waziri muhusika wakati huo lkn kitendo kilikuwa ni lazima kifanyike maadamu TanZania ilikuwa inashirikiana na IMF na Benki ya Dunia hata Jefrey Sachs aliliongelea hili kwenye moja ya vitabu vyake, ni kama vile masharti mengine mengi yaliyowekwa na IMF ambayo hat fisado Lowasa mwenyewe aliyatekeleza... Hivyo acha kupotosha!
tuache kudanganyana, yaani word bank watuamuru kuuza nyumba za serikali?
hata kipindi kile mwapanga iuza nbc mlisema hivyo hivyo kwa mwalimu ila alipoenda kwa rais wa world bank mlikanwa...:mod:
Aliselema, alija. Aliitofautisha kidogo na ile ya mchakamchaka ya fisadi mwenzake lowasa.On a serious NOTE, hivi wakati wa mchakato wa kutafuta mgombea ndani ya CCM, slogan/kauli mbiu ya Magufuli ilikuwa nini? Nakumbuka Lowassa ailikuwa maamuzi magumu, Safari ya matuimani na mchakamchaka wa maendeleo.
Je, slogan/kauli mbiu ya Magufuli ilikuwa nini? ili kujitofautisha na watia nia wengine?!
Maana watia nia wote wa CCM tulifahamu mwisho wa siku atakayechaguliwa lazima anadi ILANI YA CCM.
Ili kujitofautisha na wana-CCM wengine basi kila mtia nia alikuwa na kauli mbiu yake. Je, kauli mbiu ya Magufuli ilikuwa nini?
Kama kweli Magufuli alikuwa hana kauli mbiu na kusubiri ILANI YA CCM, imtengenezee kauli mbiu, basi inawezekana kweli Magufuli alikuwa hakujiandaa kuwa Urais wa JMT. Magufuli ameokota pochi kwenye maandamano ya UKAWA.
Haya ni masharti ili upate Mkopo, ni kwamba kama unataka upate mkopo ktk IMB na Benki ya Dunia wanakupa masharti ambayo ni lazima uyatimize na moja kati ya masharti ya IMF ni kubana matumizi austerity na pia moja kati ya matatizo waliyonayo Ugiriki pia walipewa masharti ili wapate fedha ni lazima wafanye ABC kwa mfano ugiriki waliambiwa ni lazima wapunguze watu, mambo ya penseni n.k sasa hata TanZania ni hivyo hivyo tuliambiwa ili tupate fedha ni lazima tubane matumizi kwenye maeneo ABC na mojawapo lilikuwa ni kuuza nyumba za Serikali ili kupunguza gharama, ingawaje tungeweza kukataa masharti na kutokuchukuwa fedha lkn nchi yetu inaendeshwa kwa Misaada na hiyo pia ni mada nyingine ambayo iko nje ya Magufuli kwa sasa!
Hili swala limeongelewa sana na Jefrey Sachs ambaye ndiye alikuwa Mshauri Mkuu wa UN-Ban Ki Moon on ,,Millenium Development Goals" hivyo kumlaumu Magufuli kama waziri kwa kutekeleza Uuzwaji wa Nyumba ni kupotosha, kama ungelaumu Serikali kwa kutekeleza maagizo ya Benki ya Dunia na IMF hapo sawa lkn siyo kumlaumu waziri wa Wizara!