Kama sio chuki zako Kikwete na Lowassa tungempata wapi?

Kama sio chuki zako Kikwete na Lowassa tungempata wapi?

Loooh...inanisiktsha kuona comments za instagram na facebook zmehamia jamiiforum,wanaojiita wasomi na wapembuzi wa mambo makubwa leo hii wamegeuka kuwa wajadili maada kwa hoja za kipuuzi zilozojaa chuki,udini,ukabila,ukanda,na ufinyu wa kifikra jinsi ya kujikwamua kimaisha wanaishia kulalamika et CCM ndo imesababisha...hivi chama gani kitakuja kikujaze pesa mfukon,ama kikuletee maisha bora bila kujtuma mwenyew,vijana tunatumiwa vibaya sana na wanasiasa kwa kuzitangaza njaa zetu bila kujua wapi na vipi tutapata chakula cha kukidhi hzo njaa zetu....libya walianza hivhiv nadhan octoba tutatia akili vzr na huu ushabiki wa kichaga,kaskazini,ukawa.

Sasa na wewe ni fxxxxxxkng sasa wachagga wanhusiana nini hapa Mbeya alio.mpokea lowassa ni wachang acha upumbu wewe eti unajiita msomi wa facebook oh instagrm rudi darasani wewe pumba
 
Sasa kama wewe ni wa facebook huku umefuata nini kuja kueneza ukabila eti wakanda ooh wachagga elimu yako ni finyu sana wewe
 
Yericko Nyerere

Watu kwa kupenda kupotosha ngoja nbasi nikusaidie kama haufahamu! Kuhusu uuzwaji wa nyumba wala haukuwa Uamuzi wa Magufuli wala Mkapa bali hili pendekezo lilitoka Benki ya Dunia na IMF ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa nchi masikini, wao ndiyo waliiambia Serikali yetu ni lazima iuze nyumba ili kubana Matumizi (austerity) kwamba hizi nyumba zilikuwa na gharama kubwa sana kwa Serikali na siyo TZ tu ndio waliuza nyumba hata Kenya pia nyumba za Serikali nyingi ziliuzwa na sababu ni hiyo hiyo IMF hivyo kwa Magufuli ni kwamba alitokea tu kuwa Waziri muhusika wakati huo lkn kitendo kilikuwa ni lazima kifanyike maadamu TanZania ilikuwa inashirikiana na IMF na Benki ya Dunia hata Jefrey Sachs aliliongelea hili kwenye moja ya vitabu vyake, ni kama vile masharti mengine mengi yaliyowekwa na IMF ambayo hat fisado Lowasa mwenyewe aliyatekeleza... Hivyo acha kupotosha!

Pale historia inapochanganywa na uhalisia. Kama upo deep tupe na vyanzo, kama vile Mwandosya alivyomjibu Zito
 
Last edited by a moderator:
Wadau, mimi binafsi nashangazwa na Lowasa, kila kukicha umaarufu wake unaongezeka. Lowasa namfananisha na gogo la Udi, yaani kila ukilikata linazidi kutoa Marashi ya kuvutia, na Lowasa kila akichafuliwa anazidi kuwa maarufu. Imetumika gharama kubwa kumchafua Lowasa lakini naona umaarufu wake unazidi, kila kona ya nchi sasa ni Lowasa. Sijui kama imewahi kutokea duniani mtu akachafuliwa hivi lakini akazidi kuwa maarufu kiasi hiki. Nadhani huyu jamaa ana nyota isiyo na kifani

Unajua kinachotuumiza Watanzania wengi ni njaa, kwa kazi anayoifanya Lowassa ya kuwanunua watu lazima awe maarufu.
 
lowasa yupi mkuu unamzungumza au ni huyu hapa chini..
 

Attachments

  • 1439583785351.jpg
    1439583785351.jpg
    28.5 KB · Views: 64
Mwanafalsafa mmoja wa kiyunani alisema jambo moja linaloishi mpaka leo, kwamba hakuna upuuzi ulio upuuzi mtupu, pia kauli ilikuja kuchagizwa na kauli ya mfalisayo wa Ukaridayo aliyesema alama za nyakati zikifika mwamuzi ni Muumba tu,

Nafasi ya Urais sio nafasi ya kupata "kama zali". Hata uwe kiongozi mzuri kiasi gani huwezi kushtukizwa na kupewa mikoba ya nchi kirahisi rahisi tu. Lazima uwe umejipanga, umejiandaa na uko tayari. Hotuba za Magufuli zinadhihirisha kuwa aliingia kwenye kinyang'anyiro kwa kujaribu.

Membe alitangaza nia Lindi, Makamba alitangaza nia Mlimani City, Muhongo- Musoma, Mh.Lowassa;Arusha n.k. Magufuli alitangaza nia wapi? Alitaja vipaumbele gani? Nini kauli mbiu yake? HAKUNA. Huwezi kumpa mtu 'miaka 5 ya kujiandaa' kuongoza nchi. Tunataka mtu aliyejiandaa an akiingia ikulu aanze kuongozanchi mara moja. Mtu huyu ni Edward Lowassa.

Kuna tofauti kubwa kati ya Magufuli na Lowassa. Wote ni wepesi katika kufanya maamuzi. Lakini mmoja hufanya maamuzi yenye tija wakati mwingine hufanya maamuzi yenye madhara. Tuangalie mifano:

Mh.Magufuli 'alipiga' bei nyumba za serikali na leo hii serikali inatumia mamilioni kuwapangishia hotelini watumishi wake.HASARA! Mh.Lowassa amesimamia ujenzi wa UDOM na kuongeza idadi ya wataalam mbalimbali nchini.FAIDA.

Ndg.Makufuli amenunua vivuko, pantoni na mashine za tiketi kwa mabilioni lakini hazifanyi kazi/ hazina ufanisi.HASARA. Mh.Lowassa alisimamia ujenzi wa bomba la maji kutoka ziwa Victoria mpaka Shinyanga huku akipuuzia vitisho vya Wasudani na Wamisri vya kuhodhi matumizi ya maji ya Victoria kwa mkataba wa kikoloni.FAIDA.

Mh.Magufuli alibomoa fuel station "shell" huko Mwanza, serikali ikashindwa kesi, tukalipa mabilioni.HASARA. Mh.Lowassa alivunja mkataba wa City Water, hatukushtakiwa.FAIDA.

Mh.Magufuli alikamata wavuvi "halali" wa Asia ya mbali tumeshitakiwa, tumedondokea pua, tutawalipa meli yao na gharama nyingine kadhaa zenye thamani ya 16bilioni hapo hujajumlisha gharama za utunzaji wa wale samaki.HASARA. Mh.Lowassa, wakati ndege za Malawi zishaanza kuzurura maeneo ya Kyera na Nyasa huku tukiwachekea, alitoa tamko Bungeni...."tuko imara, tumejipanga...". Wakafunga Virago.FAIDA.

Ndg.Magufuli amewanyang'anya kandarasi wajenzi kadhaa kwa matamko tu bila kuzingatia taratibu za mikataba. Wametushtaki, wameshinda, tumewalipa.HASARA. Mh.Lowassa alitaka kuvunja mkataba wa Richmond, kama sio AG Johnson Mwanyika kuomba..."mapumziko ya saa moja nje ya mkutano" ili awasiliane na mamlaka ya juu na baadae kurejea na agizo kuwa..."imeagizwa; mkataba usivunjwe.." pengine leo tusingekuwa tunazungumzia Richmond, baba yake na Dowans, babu wa Symbion Powers. TUNGENUFAIKA.

UCCM wangu hauwezi kunipofua nisiuone ukweli huo hapo juu. Ujirani wangu na Mh.Magufuli hapa Chato hauwezi kunishinikiza nimuazime miaka 5 ya kujiandaa badala ya kutawala.

NITAMPIGIA KURA LOWASSA.
mkuu ni lowasa yupi au huyu hapa???
 
Dhana gani unayoiongelea? Kwanza kubali kwamba unapotosha, na Bw.Magufuli siye aliyetoa uamuzi ya uuzwaji wa nyumba za Serikali, bali ni uamuzi wa Serikali ambayo pia fisadi Lowasa alikuwa ni mmoja wao na wala hakuwahi kuliongelea hili swala kwa maana yeye (fisadi Lowasa) na wenzake akiwemo Rostamu Aziz anaishi nyumba ya serikali Oysterbay ingawaje hajawahi kuwa Mfanyakazi wa Serikali ndiyo moja wa wafaidika wakubwa wa hizi nyumba kama ishu ni nani kauziwa na nani hakuuziwa!
Hivyo tuweke record sawa kwanza; Kwamba Magufuli hakutoa uamuzi wa kuuza Nyumba za Serikali!
halafu ndiyo tuanze sasa kumjadili Bw.Magufuli vs Fisadi Lowasa hoja baada ya hoja mapungufu baada ya mapungufu, mazuri baada ya mazuri n.k!

Magufuli kuuza nyumba ni uamuzi wa serikali ila lowassa richmond ni uamuzi wake binafsi.. Watu bana kwa hiyo ukwapuaji wa escrow ulikua uamuzi wa serikali pia? Report ya CAG inaonyesha kupotea zaidi ya bilioni 200 wizara ya ujenzi, hizo nazo ni uamuzi wa serikali kuzipoteza?
 
Dhana gani unayoiongelea? Kwanza kubali kwamba unapotosha, na Bw.Magufuli siye aliyetoa uamuzi ya uuzwaji wa nyumba za Serikali, bali ni uamuzi wa Serikali ambayo pia fisadi Lowasa alikuwa ni mmoja wao na wala hakuwahi kuliongelea hili swala kwa maana yeye (fisadi Lowasa) na wenzake akiwemo Rostamu Aziz anaishi nyumba ya serikali Oysterbay ingawaje hajawahi kuwa Mfanyakazi wa Serikali ndiyo moja wa wafaidika wakubwa wa hizi nyumba kama ishu ni nani kauziwa na nani hakuuziwa!
Hivyo tuweke record sawa kwanza; Kwamba Magufuli hakutoa uamuzi wa kuuza Nyumba za Serikali!
halafu ndiyo tuanze sasa kumjadili Bw.Magufuli vs Fisadi Lowasa hoja baada ya hoja mapungufu baada ya mapungufu, mazuri baada ya mazuri n.k!

Ni kweli baraza la mawaziri hufanya maamuzi kama hayo ya nyumba hizo za serikali.

Lakini kuna sababu ya raisi kuwachagua mawaziri na kuwapanga kwenye wizara mbalimbali.

Magufuli alikuwa na dhamana aliyopewa kusimamia wizara yake kiutendaji na kimatumizi, pengine fedha ambazo zingepatikana kutokana na mauzo hayo zingekuwa sehemu ya fedha za kwenye bajeti ya kuendesha wizara hio.

Pia ana nafasi ya kujadiliana na washauri wake kwamba ni faida ipi inapatikana kwa kuuza nyumba hizo na hasara yake.

Faida ambayo ingepatikana ni kupata maeneo mengine na kujenga nyumba zingine tena kwa bei nafuu kuliko hizo zilizojengwa na wakoloni tena hata kwa kuwapa zabuni NHC. Kwa mfano nyumba zingine zingweza kuuzwa hata kwa bilioni 1 na kuendelea kulingana na eneo lake na uimara.

Hasara kubwa ni kuendelea kuwalipia baadhi ya mawaziri ambao mpaka leo wanaishi kwenye mahoteli ya kitalii.

Sasa Magufuli alikuwa anao uamuzi wa kuridhia majadiliano ya baraza na mawaziri, lakini kama waziri mwenye dhamana alipaswa kujiuzulu kulinda nafasi yake ndani ya CCM kama mtu mwenye msimamo kwamba uuzaji kiholela wa nyumba hizo haukuwa sahihi na ulijaa chembechembe za upendeleo na kujuana.
 
Hilo la bei ya nyumba ni la Serikali nzima na wala Bw.Magufuri hakuhusika na kupanga bei ya uuzwaji wa Nyumba za Serikali bali ni Serikali nzima chini ya Baraza la Mawazili akiwemo fisadi Lowasa, lengo la Serikali aidha baya au zuri hilo siwezi kujibu lilikuwa ukichukulia ni lazima nyumba ziuzwe basi wauziwe Waajiriwa wa Serikali kwa bei nafuu lkn kwa masharti ya kutokuziuza au kubadilisha matumizi, kwanza hata miti ndani ya uzio walikuwa hawaruhusiwi kukata lkn Mafisadi wakiongozwa na Lowasa, Rostam na genge lao walikiuka hayo masharti hali iliyopelekea fisadi Lowasa kujimilikisha nyumba nyingi Oysterbay na Masaki na kuzibomoa kujenga Maghorofa makubwa ya kupangisha watu binafsi!

* Simtetetei Magufuli bali nataka uwe fair na umshutumu mtu kwa jambo ambalo kweli amelifanya na siyo kupotosha Ukweli! Na kuweka record vizuri kwamba Magufuli hakutoa uamuzi wa kuuza nyumba za Serikali!

Mkuu Barbarosa,

Kweli unaamini kwamba baraza la mawaziri lilipanga bei ya hizo nyumba na kumwambia Magufuli aendelee na uuzaji na akina nani wauziwe?

Uwe mkweli kwenye jibu lako.
 
Magufuli kuuza nyumba ni uamuzi wa serikali ila lowassa richmond ni uamuzi wake binafsi.. Watu bana kwa hiyo ukwapuaji wa escrow ulikua uamuzi wa serikali pia? Report ya CAG inaonyesha kupotea zaidi ya bilioni 200 wizara ya ujenzi, hizo nazo ni uamuzi wa serikali kuzipoteza?

Hapo ndio uone maajabu ya vijana wa kitanzania
 
Hakuna mgao mitambo mipya ya kufua umeme kwa kutumia gas iliyopo Kinyerezi inafanyiwa majaribio na mitambo ya zamani inayotumia mafuta mazito nayo inabadilishwa ili itumie gas yetu, kwa hiyo tutegemee umeme kukatika hapa na pale kwa takriban miezi miwili.

Kukatika katika ndo 24 hours hakuna umeme na je majaribio hufanywa hadi ucku.
 
Back
Top Bottom