Kama sio chuki zako Kikwete na Lowassa tungempata wapi?

LOWASSA, Karibu Arusha! Tunakusubiri kwa hamu kubwa! Kesho watu wanakesha wakikusubiri!
 
Watu kwa kupenda kupotosha ngoja nbasi nikusaidie kama haufahamu! Kuhusu uuzwaji wa nyumba wala haukuwa Uamuzi wa Magufuli wala Mkapa bali hili pendekezo lilitoka Benki ya Dunia na IMF ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa nchi masikini, wao ndiyo waliiambia Serikali yetu ni lazima iuze nyumba ili kubana Matumizi (austerity) kwamba hizi nyumba zilikuwa na gharama kubwa sana kwa Serikali na siyo TZ tu ndio waliuza nyumba hata Kenya pia nyumba za Serikali nyingi ziliuzwa na sababu ni hiyo hiyo IMF hivyo kwa Magufuli ni kwamba alitokea tu kuwa Waziri muhusika wakati huo lkn kitendo kilikuwa ni lazima kifanyike maadamu TanZania ilikuwa inashirikiana na IMF na Benki ya Dunia hata Jefrey Sachs aliliongelea hili kwenye moja ya vitabu vyake, ni kama vile masharti mengine mengi yaliyowekwa na IMF ambayo hat fisado Lowasa mwenyewe aliyatekeleza... Hivyo acha kupotosha!
Mkuu wakati huo jk hakuwepo kwenye baraza la mawaziri nn? mbona hakuwaambia akili ya kuambiwa wachanganye na zao.anyway naona hata barabara za mabasi yaendayo kasi zimejengwa kwa mfumo huo huo wa kuambiwa na sijui benk ya dunia na IFM.kwa maana nyingine Kuwa ccm Kazi Yao ni kuiba tu ila nchi inaongozwa na WB na IFM
 
Unamaanisha nini unaposema hakujiandaa? Sasa kama hakuajiandaa aliingiaje kwenye wagombea uraisi? Au unafikiri alikwenda kuchukuwa fomu na kutumia fedha kutafuta wadhamini kwa ajili ya kujifurahisha tu?
Mkuu kumbuka hata Yule kiijana wa miaka 34 alichukua form,mwingulu and the like.kuchukua form na kutafuta wadhamini isikutishe
 
Yericko Nyerere

Moja ya posts za kufaa sana katika Forum. Ametoa hoja kwa vielelezo bora bila upendeleo ama chuki kwa wahusika. Hongera mwasilishaji. Naunga mkono hoja na tuwe tunapata nyingi Kama hizi!
 
Last edited by a moderator:
Uko Nje ya Mada, jaribu siku zote kusoma na kuelewa kilichoandikwa kwanza kabla ya kujibu itakupunguzia mengi! Mada ilihusu uuzwaji wa nyumba za serikali kulikofanywa na Magufuli na siyo kuipigia kura CCM au sijui fisadi Lowasa!

We ni mjinga huna lolote
Bora hata ukawa wasishinde lakini sio kuyarudisha nyie ma ccm..unaandika ujinga jehanam inakusubiri
 
Dr Slaa unamfahamu sana kuliko mimi? Pole mkuu, Dr yupo anaendelea na likizo yake, mda ukifika atarejea ofisini

Ungekuwa unamfahamu angekushushuwa?

Unadhani unamfahamu lakini alivyokushushuwa mbele ya halaiki ya wana JF kuwa ni muongo ni aibu kubwa sana na ni wazi kuwa humfahamu, labda unamjuwa tu.

Sasa unadanganya tena kuwa yuko "likizo".

Hivi wewe uongo huachi na kushushuliwa kote? Kuna siku utasutwa na mchiriku.
 
Watu kwa kupenda kupotosha ngoja nbasi nikusaidie kama haufahamu! Kuhusu uuzwaji wa nyumba wala haukuwa Uamuzi wa Magufuli wala Mkapa bali hili pendekezo lilitoka Benki ya Dunia na IMF ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa nchi masikini, wao ndiyo waliiambia Serikali yetu ni lazima iuze nyumba ili kubana Matumizi (austerity) kwamba hizi nyumba zilikuwa na gharama kubwa sana kwa Serikali na siyo TZ tu ndio waliuza nyumba hata Kenya pia nyumba za Serikali nyingi ziliuzwa na sababu ni hiyo hiyo IMF hivyo kwa Magufuli ni kwamba alitokea tu kuwa Waziri muhusika wakati huo lkn kitendo kilikuwa ni lazima kifanyike maadamu TanZania ilikuwa inashirikiana na IMF na Benki ya Dunia hata Jefrey Sachs aliliongelea hili kwenye moja ya vitabu vyake, ni kama vile masharti mengine mengi yaliyowekwa na IMF ambayo hata fisadi Lowasa mwenyewe aliyatekeleza... Hivyo acha kupotosha!

Kwa hiyo ni haohao IMF na World Bank walimwambia hizo nyumba kuwahonga mahawara na kuwapa ndugu wasiostahili huwa watumishi waliotumikia nchi muda mrefu na kwa uadilifu wakiachwa pembeni?
Haponi hapo!
 
Barbarosa

Unahitaji elimu kubwa sana juu ya mambo haya mtambuka,

WB na IMF hawana mandate ya kuiamrisha nchi yoyote duniani, wao ni washauri tu,

Uamuzi wa kuuza NBC na mwizi Mkapa uliletwa kitapeli kwa mgongo wa IMF hivyo hivyo ikidaiwa "wameagiza" NBC iuzwe,

Mwalimu Nyerere miezi michache kabla ya mauti yake alipinga uamuzi huo na kuamua kusafiri hadi Washington kwenda kuwahoji wakuu wa IFM kwanini wanaitawala Tanzania tokea huko kwakutulazimisha tuuze benki yetu ya makabwela ambayo ilikuwa ni sehemu ya Usalama wa Taifa,

Mkuu wa IMF akamwambia JKN, "Mr president, sisi imf hatuna mamlaka hayo na hatujawahi kuwa nayo na hatutakuwa nayo kamwe, kazi yetu ni kushauri tu namna ya kukuza uchumi katika nchi mwanachama wetu"

Sasa wewe Barbarosa unaturudisha kwenye uongo uleule wa Mkapa mbele ya Mwalimu Nyerere alipomuita pale Msasani kuhoji juu ya NBC?? Masikini, alienda kucheki afya yake tu, alirudi jeneza na bendera ikipepea nusu mlingoti!
 
Last edited by a moderator:
Watu kwa kupenda kupotosha ngoja nbasi nikusaidie kama haufahamu! Kuhusu uuzwaji wa nyumba wala haukuwa Uamuzi wa Magufuli wala Mkapa bali hili pendekezo lilitoka Benki ya Dunia na IMF ambao ndiyo wafadhili wakubwa wa nchi masikini, wao ndiyo waliiambia Serikali yetu ni lazima iuze nyumba ili kubana Matumizi (austerity) kwamba hizi nyumba zilikuwa na gharama kubwa sana kwa Serikali na siyo TZ tu ndio waliuza nyumba hata Kenya pia nyumba za Serikali nyingi ziliuzwa na sababu ni hiyo hiyo IMF hivyo kwa Magufuli ni kwamba alitokea tu kuwa Waziri muhusika wakati huo lkn kitendo kilikuwa ni lazima kifanyike maadamu TanZania ilikuwa inashirikiana na IMF na Benki ya Dunia hata Jefrey Sachs aliliongelea hili kwenye moja ya vitabu vyake, ni kama vile masharti mengine mengi yaliyowekwa na IMF ambayo hat fisado Lowasa mwenyewe aliyatekeleza... Hivyo acha kupotosha!

Well said Mkuu kama nakumbuka vizuri Waziri Mkuu mstaafu Mh.Sumaye aliwahi kufafanua suala hili kiundani na watu wakamuelewa - lakini kwa bahati mbaya wapo baadhi ya watu wamepania kupotosha wananchi kwa kug'ang'ania MANTRA ya kusema eti "Mh.Magufuli kama Magufuli ndiye kahamua peke yake kuuza nyumba za Serikali!!" as if Serikali ilikuwa imekwenda likizo, tafuteni hoja nyingine zenye mshiko sio mnasingizia watu. Yeriko huna cha kutetea hapo.
 
Kwa hesabu za kadirio la chini kabisa laptop moja 500,000/~ kijiji kimoja kina wastani wa walimu 10(shule za kata) Jumla tsh 5,000,000/~ kwa kijiji. Jumlisha na ahadi ya 50,000,000/~ kwa kila kijiji jumla tunapata 55,000,000/~

Haya sasa tz kuna vijiji/kata zaidi ya 12,000/~ zidisha mara milion 55 jumla tunapata 600,000,000,000/~ haya sasa mtanzania fikiri wakati deni la taifa ni 36,000,000,000,000/~ hyo pesa ya laptop tukope benki ya dunia?-

Wakati deni letu bado kubwa na linazidi kuongezeka kila siku?? Kwanini hizo pesa zisifanyie vipaombele muhimu kama kuwasaidia walimu mikopo ya masharti nafuu kupunguza ugumu wa maisha au zitumike kununua madawati na kujenga vyoo mashuleni??
 
Well said Mkuu kama nakumbuka vizuri Waziri Mkuu mstaafu Mh.Sumaye aliwahi kufafanua suala hili kiundani na watu wakamuelewa - lakini kwa bahati mbaya wapo baadhi ya watu wamepania kupotosha wananchi kwa kug'ang'ania MANTRA ya kusema eti "Mh.Magufuli kama Magufuli ndiye kahamua peke yake kuuza nyumba za Serikali!!" as if Serikali ilikuwa imekwenda likizo, tafuteni hoja nyingine zenye mshiko sio mnasingizia watu. Yeriko huna cha kutetea hapo.

Ninachofanya nikuweka sawa upotoshaji wa ndugu yetu,

IMF na WB yana utaratibu na miiko yake katika kufanya shughuli zake, kamwe hayaingilii uhuru wa nchi mwanachama.
 
NIMEAMUA KUSIMAMA UPANDE WA UKAWA NA KUMPIGIA KURA LOWASA AWE RAISI KWA MOYO MWEUPEE!!

Baada ya kutafakari kwa kina, Na kwa muda mrefu sana.... Nimeamua Kumpigia kura edwardlowassa kuwa Rais wangu wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania bila kujali kashfa zake. Kama kweli alikuwa ana hatia, hao wanaohubiri kashfa hizi ndio waliotakiwa kumfikisha mahakamani.

Nimeamua kwa Moyo mweupe, Akili Timamu, Bila kushawishiwa na kwa uthabiti kumpigia Lowassa kura kwasababu zifuatazo; - Hatia yake ingethibitishwa na Mahakama pekee.
-Wanaomtuhumu leo (CCM) na serikali walitakiwa kumfikisha mahakamani.
.
-Chini ya CCM wanafunzi wanakaa chini

-Chini ya CCM huduma ya Maji ni shida

-Chini ya CCM rushwa na ufisadi umekita mizizi.

-Chini ya CCM shilingi imeporomoka na kufariki.

-Chini ya CCM huduma ya Afya ni shida

-Chini ya CCM Wajawazito wanajifungulia chini mahosptalini

-Chini ya CCM gharama za maisha zimepanda kukithiri.

-Chini ya CCM ajira hakuna kwa wasomi.

-Chini ya CCM viwanda vimekufa

-Chini ya CCM mashirika ya Umma yamekufa.

-Chini ya CCM Rasilimali zinatumika hovyo.

-Chini ya CCM Twiga wamepanda ndege bila kuonekana na rada.
Hawa twiga sijui walikuwa na Passport!

-Chini ya CCM waandishi wa habari wameuawa.

-Chini ya CCM maelfu ya wanavyuo hawana mikopo

-Chini ya CCM Elimu ya kuanzia shule ya Msingi hadi Chuo kikuu imeshuka kiwango cha ubora.

-Chini ya CCM maisha yamekuwa magumu zaidi

-Chini ya CCM ni asilimia Chini ya 20 ya watanzania wanaumeme wa uhakika

-Chini ya CCM foleni kwenye majiji ni shiiiiiiiida

-Chini ya CCM kilimo hskina tija kabisa na umaskini umewatafuna watanzania wengi

-NIMEJIANDIKISHA
-Nimejipanga
-NITATUMIA KICHINJIO CHANGU VIZURI
 
Dah..hoja zako ni nyepesi bora ungekaa kimya tu...we ni bendera fuata upepo.
 
Well said Mkuu kama nakumbuka vizuri Waziri Mkuu mstaafu Mh.Sumaye aliwahi kufafanua suala hili kiundani na watu wakamuelewa - lakini kwa bahati mbaya wapo baadhi ya watu wamepania kupotosha wananchi kwa kug'ang'ania MANTRA ya kusema eti "Mh.Magufuli kama Magufuli ndiye kahamua peke yake kuuza nyumba za Serikali!!" as if Serikali ilikuwa imekwenda likizo, tafuteni hoja nyingine zenye mshiko sio mnasingizia watu. Yeriko huna cha kutetea hapo.

..hoja za Sumaye zilikuwa nyepesi sana.

..kwa mfano alidai serikali ilikuwa na nyumba nyingi zilizokuwa na gharama kubwa kuzitunza.

..sasa kwanini wanajenga nyumba nyingine mpya kwa ajili ya wafanyakazi wa serikali? si walishasema kumiliki nyumba ni gharama kubwa.

..halafu hivi kweli unaamini IMF na WB wanaweza kushauri nyumba zile ziuzwe kwa bei ya hasara na serikali inayotegemea misaada kama yetu?

..nyumba zile zingeuzwa kwa bei ya soko serikali ingeweza kupata fedha za kutosha kugharamia ujenzi wa nyumba mpya wanazojenga sasa hivi. sasa kwanini waliamua kuuza kwa hasara?

..hata kama ilikuwa ni ushauri wa IMF na WB bado waziri wa ujenzi alikuwa na nafasi ya kukubaliana na ushauri huo, au kuukataa, ktk kikao cha baraza la mawaziri. nyumba hizo zilikuwa chini ya dhamana ya Dr.Magufuli.

..nafasi ya mwisho ya Magufuli kutoka msafi ktk suala hili ilikuwa ni yeye binafsi kutokujiuzia nyumba kwa bei ya kutupa. Lakini yeye NAFSI HAIKUMSUTA na ndiyo maana msalaba huu anapaswa kuubeba.

NB:

..Sumaye alidai waliuziana nyumba zile kwasababu Mkapa alitaka waafrika waendelee kuishi/kuonekana maeneo ya Oysterbay. hoja hiyo haina msingi kwasababu ukizingatia projections za ukuaji wa jiji la dsm eneo lile linapaswa kujengwa maofisi. hivyo basi eneo lile lilipaswa kuuzwa kwa bei ya soko kwa wawekezaji wenye nia ya kujenga majengo makubwa ya kisasa.

cc Yericko Nyerere, Bukyanagandi
 
Ninachofanya nikuweka sawa upotoshaji wa ndugu yetu,

IMF na WB yana utaratibu na miiko yake katika kufanya shughuli zake, kamwe hayaingilii uhuru wa nchi mwanachama.

Mkuu Yericko, Kiongozi Duniani aliyekuwa na ubavu wa kubishana na IFM na WB alikuwa ni Kambarage (R.I.P) hata hivyo IMF na WB walikuwa na mbinu za kutuwekea kibano mpaka tukapata adabu yetu, si rahisi kushindana na wakubwa hao.

Yericko pamoja na mapungufu ya WB na IFM lakini wakati mwingine mapendekezo yao yana mshiko, chukulia uuzaji wa nyumba za Serikali kwa mfano - hivi unajua maintenance expenses za nyumba hizo ilikuwa inaligharimu Taifa kiasi gani cha fedha, si unajua tena wizi wa ma-contactor na vifaa vya ujenzi/repair walikuwa wana inflate au wakati mwingine kuorodhesha vifaa hewa!! Mwisho wa mwaka repair cost zinazidi thamani ya nyumba yenyewe - binafsi naona zoezi la kuwauuzia wapangaji nyumba za Serikali ulikuwa na uhamuzi sahihi kabisa, na kusema kweli Mzee Mkapa alifanya vizuri kutotafanya mnada maanake Waswahili wasingemudu kuzinununua zingeishia kununuliwa na Wahindi na Wazungu na waswahili wachache wenye uwezo, majority ya Waswahili wangehama. Walio nikasirisha katika zoezi hilo ni wale waliuziwa kwa bei chee alafu wakakihuka makubaliano na kuziuza kwa watu wenye pesa nyingi - hao wanapaswa kuchukuliwa hatua kali na kufungwa ikiwezekana.
 
Back
Top Bottom