umeona eeeh!
nilipopigiwa simu baba amefariki nilikuwa ofisini....... bahati nzuri nilikuwa na mkaka mmoja hivi.......
yeye ndo alikumbuka kuzima laptop yangu na kunibebea handbag kunirudisha home maana naona alihisi drama inaweza tokea...... nilichokuwa nawaza ni ntafikaje huko muda huo huo, angalau kuwa pamoja na mama na wadogo zangu tukilia pamoja kutanipa faraja........ hapo unafikiri kuna kuwaza kama nina mtoto? nilikumbuka baadae dada aliponiletea nimnyonyeshe, lol! nini kukumbuka kujipamba
ha haaa, Smile aliniambia watanifundisha jinsi ya kulia, lol!yaani siku hizi mtu anatafuta swaga za kulia msibani, ushaona mtu analia huku amesmile weye? mambo ya kulia huku unajigalagaza hakuna tena.
shem Nicas Mtei, Barikiwa sana
habari ndo hiyo rafiki.....hii sijawahi sijawahi kuisikia jamani, salon???????????????????? na kaka amekufa!!!!!!!!!! huyo akilia ana-pretend
kwangu mimi never my dear, hao wanajifanya wa mjini kumbe ndio wanaonekana wa ajabu, huo ni ushetani kabisa, haiwezekani kaka yako amefariki halafu wewe unaenda kujiremba ili ukamzike!!!!!, mimi nikimuona mtu wa hivyo hata pole simpi kabisahabari ndo hiyo rafiki.....
ukifiwa kimujini unawahi salon fasta, lol!
ha haaa, ndo ukijijini huo, lol!kwangu mimi never my dear, hao wanajifanya wa mjini kumbe ndio wanaonekana wa ajabu, huo ni ushetani kabisa, haiwezekani kaka yako amefariki halafu wewe unaenda kujiremba ili ukamzike!!!!!, mimi nikimuona mtu wa hivyo hata pole simpi kabisa
Kwetu ukitokea msiba huogi hadi mazishi yapite, tena unaogeshwa na watani, mnalala kwenye mkeka siku zote, baada ya hapo majirani wanawapikia kama siku tatu mfululizo au zaidi ndio angalau unaweza kufanya kazi taratibu, sasa hayo ya kwenda salon tena ni mengine, hao wanakurupukia mambo wasiyoyajua kwa kweli.
h haaaa, hao pia si ni wa huko huko?Ni kweli hata juzi baada ya msiba wa Bob Sambeke kuna ndugu niliwaona kwa fb washindana na watu wakitoa wasifu wa marehemu kinyume na matarajio yao
Ukienda msibani mwenye msiba utamjua tu, huyo hakuwa ndugu yake. inawezekana ni kaka wa kuvuna kwa manati, au Udugu wa nazi kukutana kwenye tenga, kwa sababu zote ni nazi.kama niliposema hapo juu kweli sishangai sana kwa watu wa mbali walioenda msibani....
lakini huyu aliyefiwa na kakake, tena kaugua kwa siku 2 tu! mmmh!:nono:
Lisa,Ukienda msibani mwenye msiba utamjua tu, huyo hakuwa ndugu yake. inawezekana ni kaka wa kuvuna kwa manati, au Udugu wa nazi kukutana kwenye tenga, kwa sababu zote ni nazi.
Siku hizi msiba ni show tupu my dear. Hawakuongelea mwenye saluni akawapake makeup ama maznat alishawahi tenda?
Ningekuwa mie ndo wewe mbona ningechomekea tenda ya sare!
he he heee, shosti kama nakuona na mavitenge yako, lol!sishangai ulichoona baby,
Huko moshi misiba imekuwa kama sehemu ya kuonyeshana how am i
nilienda kwenye msiba wa kaka yangu paris nilijiona mshamba mimi mwenyewe
wamama wamevaa suti za bei ghali, kofia kama za malkia elizabeth ndo zimevalika
nguo za less material ndo usiseme, hata wale ndugu wa karibu, hata mke wake mwenyewe
wamejipamba hadi kufuru, i was with binti yangu though was mdogo ila alisema ni mambo gani haya, akaniacha na ndugu zangu akarudi kwa bibi yake.
naona kwa kuwa wakati wa msiba matajiri wengi wanakuwepo inakuwa pia chance ya watu kutafuta mahusiano mapya.
na kwa kuwa Mungu ameshatuona kuwa wajin.ga sisi wenyewe ndo anatupiga na misiba kila leo.
sishangai ulichoona baby,
Huko moshi misiba imekuwa kama sehemu ya kuonyeshana how am i
nilienda kwenye msiba wa kaka yangu paris nilijiona mshamba mimi mwenyewe
wamama wamevaa suti za bei ghali, kofia kama za malkia elizabeth ndo zimevalika
nguo za less material ndo usiseme, hata wale ndugu wa karibu, hata mke wake mwenyewe
wamejipamba hadi kufuru, i was with binti yangu though was mdogo ila alisema ni mambo gani haya, akaniacha na ndugu zangu akarudi kwa bibi yake.
naona kwa kuwa wakati wa msiba matajiri wengi wanakuwepo inakuwa pia chance ya watu kutafuta mahusiano mapya.
na kwa kuwa Mungu ameshatuona kuwa wajin.ga sisi wenyewe ndo anatupiga na misiba kila leo.
hayo ya miwani mwenzangu nayaona makaburini huko......na siku hizi bila kupigia yale mamiwani makubwa kama ya fundi wa kuchomelea, wewe bado sana, usiongelee khanga na vitenge, kwani umetoka njoro leo? khaa, ukitaka fashion mpya siku hizi wewe hudhuria tu misiba hasa ya kimujini mujini.