Kama Samia alishinda Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa 98%, ni wazi Nchimbi atashinda kwa 100% uchaguzi mkuu wa 2030

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,823
Kwasababu,
ni vizuri kuyaeleza haya mambo mapema ili kuepusha suprise amabazo zinaweza kuleta madhara kwa baadhi ya wanasiasa hasa wa upinzani ambao daima huangukia pua kwa kutegemea public sympathy votes.

Katika uchaguzi mkuu huru, wa haki na uwazi uliofanyika mapema Oct.29,2025, mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan alishinda kwa kishindo kikuu uchaguzi ule mkuu ambao ulikua wa ushindani mkali sana kutoka kwa wanaume kadhaa nguli wa siasa dhidi ya .mwanamke moja shupavu.

Je,
kama mwanamama shupavu tu kama Dr.Samia Suluhu Hassan wa CCM amewashinda wanaume nguli wa siasa za Tanzania kwa kishindo nanama ile, itakuaje kwa mwanaume kamili Dr.Emmanuel John Nchimbi dhidi ya wapinzani vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliopo?

Dr.Emmanuel John Nchimbi si atashinda kwa 100% mapema asubuhi tu?

Toa maoni yako bila mihemko na itapendeza zaidi ndugu mdau wa JF.
 
Kwani kakwambia atakua hai? Na anataka? Huko kwa vikao vya chama la mauaji mnaaminiana bado? Ushaanza uchuro kumzuga sio chawa? mwanamama alishinda kicheni pati labda
 
Labda huo ushindi utakuwa ni wa chama kimoja au CCM ishirikishe tena vile vyama vya mchongo
 
Kwani kakwambia atakua hai? Na anataka? Huko kwa vikao vya chama la mauaji mnaaminiana bado? Ushaanza uchuro kumzuga sio chawa?
huna haja ya kua na kiherehere na uhai wa kiumbe chochote cha Mungu gentleman,
nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana.

kwasababau huna imani,
huenda huna hata malengo ya kula baadae jioni gentleman, ikiwa huna mipango ya miaka 10 ijayo :CouldYouNot:
 
Mkuu mpaka huo mwaka serikali isiporekebisha mfumo wa haki nchini nafikiri tutakuwa vitani.
LABADA VITA VYA PANZI GENTLEMAN :pedroP:

soma vyema ilani ya uchaguzi ya CCM2025-2030 ambayo ndio jawabu na muarobaini wa hayo marekebisho ambayo hujayaeleza ni yapi, ingawa ndani ya ilani hiyo ya ccm hakuna kilichosahaulika.
 
Mgombea urais kupitia CCM 2030 ni PCM na si mwingine yeyote,niamini mimi.
 
Labda kama atafanikiwa kupata urais kwa njia kama ya Samia.
 
Labda huo ushindi utakuwa ni wa chama kimoja au CCM ishirikishe tena vile vyama vya mchongo
Gentleman,
vyama vya siasa zaidi ya15 vilishiriki uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa oct.29,2025.

Dr.Smaia Suluhu Hassana alipata kura milioni 31,913,866 bila mbambamba:NoGodNo:
 
Labda kama atafanikiwa kupata urais kwa njia kama ya Samia.
chaguzi zote za Tanzania daima hua ni huru, za haki na za wazi, tena ni kwa mujibu wa sheria na sio uropokaji wa waliokataliwa na wananchi.
hakunaga mbambamba kwenye hilo gentleman.

epuka porojo na uzushi wa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi:NoGodNo:
 
huna haja ya kua na kiherehere na uhai wa kiumbe chochote cha Mungu gentleman,
nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana.

kwasababau huna imani,
huenda huna hata malengo ya kula baadae jioni gentleman, ikiwa huna mipango ya miaka 10 ijayo :CouldYouNot:

Mwenye kiherehere wa taifa anajulikana mwegulu, naye mtamuweka wapi?

Hivi mkuu ulipewa ubonge? Tupe update kama ulivotushirikisha kampeni basi au walikuchinjia baharini unaanza strategy za uchawa wa future 😀 😀
 
Kwasababu,
ni vizuri kuyaeleza haya mambo mapema ili kuepusha suprise amabazo zinaweza kuleta madhara kwa baadhi ya wanasiasa hasa wa upinzani ambao daima huangukia pua kwa kutegemea public sympathy votes.

Katika uchaguzi mkuu huru, wa haki na uwazi uliofanyika mapema Oct.29,2025, mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan alishinda kwa kishindo kikuu uchaguzi ule mkuu ambao ulikua wa ushindani mkali sana kutoka kwa wanaume kadhaa nguli wa siasa dhidi ya .mwanamke moja shupavu.

Je,
kama mwanamama shupavu tu kama Dr.Samia Suluhu Hassan wa CCM amewashinda wanaume nguli wa siasa za Tanzania kwa kishindo nanama ile, itakuaje kwa mwanaume kamili Dr.Emmanuel John Nchimbi dhidi ya wapinzani vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliopo?

Dr.Emmanuel John Nchimbi si atashinda kwa 100% mapema asubuhi tu?

Toa maoni yako bila mihemko na itapendeza zaidi ndugu mdau wa JF.
ICC itakuwa haijawahukumu kweli???!!!!
 
Tatizo wote mtakuwa icc na mgombea huku atakuwa makonda na atachuana na lisu.kumbuka wakati huo ccm itakuwa reject na kuwa ejected na watznia wote.hakuna mwenye imani na ccm ya wauaji watekaji na wabakaji.amini usiamini itapigwa vibaya ngazi zote hadi urais.nakukumbusha HAKUNA UCHAGUZ WOWOTE TZ UTAKAOFANYIKA BILA KATIBA MPYA.NA KATIBA MPYA NI KIFO MKALI KWA CCM
 
achana na porojo useless gentleman,
jikite kwenye hoja ya msingi mezani na itapendeza zaidi :NoGodNo:
 
Kwasababu,
ni vizuri kuyaeleza haya mambo mapema ili kuepusha suprise amabazo zinaweza kuleta madhara kwa baadhi ya wanasiasa

Je Dr.Emmanuel John Nchimbi si atashinda kwa 100% mapema asubuhi tu?
Naunga mkono hoja
p
 
Back
Top Bottom