Kama Samia alishinda Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa 98%, ni wazi Nchimbi atashinda kwa 100% uchaguzi mkuu wa 2030

Kama Samia alishinda Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa 98%, ni wazi Nchimbi atashinda kwa 100% uchaguzi mkuu wa 2030

Kwasababu,
ni vizuri kuyaeleza haya mambo mapema ili kuepusha suprise amabazo zinaweza kuleta madhara kwa baadhi ya wanasiasa hasa wa upinzani ambao daima huangukia pua kwa kutegemea public sympathy votes.

Katika uchaguzi mkuu huru, wa haki na uwazi uliofanyika mapema Oct.29,2025, mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan alishinda kwa kishindo kikuu uchaguzi ule mkuu ambao ulikua wa ushindani mkali sana kutoka kwa wanaume kadhaa nguli wa siasa dhidi ya .mwanamke moja shupavu.

Je,
kama mwanamama shupavu tu kama Dr.Samia Suluhu Hassan wa CCM amewashinda wanaume nguli wa siasa za Tanzania kwa kishindo nanama ile, itakuaje kwa mwanaume kamili Dr.Emmanuel John Nchimbi dhidi ya wapinzani vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliopo?

Dr.Emmanuel John Nchimbi si atashinda kwa 100% mapema asubuhi tu?

Toa maoni yako bila mihemko na itapendeza zaidi ndugu mdau wa JF.
Kama Tena
Ina maana na wewe chawa wake huna uhakika sio
 
Back
Top Bottom