May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,162
- 8,820
Kama jesus angekuwepo bado duniani angesema "Ni rahisi kwa Ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko Mwanasiasa kuuona ufalme wa Mbinguni"
Umemaliza kwa kusema "mjumbe auwawi" ila kumbuka yule Baba wa Kinyaturu alileta ujumbe kutoka 'Dear bomba' wasiofahamika wakammiminia shaba za kutosha. Sema tu Sir God akaweka pingamizi asiiache Dunia kwa wakati huu.