haitusaidii kitu, sisi tunataka pesa kitaaInafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru. Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.
Who is the head of state?Rais wa Zanzibar ni mwenyeji lazima akajiandae kumpokea mgeni Rais wa Tanzania Ikulu hivyo kuondoka kwake ni maandalizi ya mapokezi ya Rais Samia Ikulu Zanzibar
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tena mno bora muungano fake uvunjwe harakaHiki kisiwa ni kero tu kwa kweli kimeinyonya sana Tanganyika
Sio uboreshwe Babati!?Tena mno bora muungano fake uvunjwe haraka
Zanzibar ni nchi huru na ina Rais wake ambaye amepigiwa kura* hata kama hazikutosha.Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru. Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.
Uvunjwe mkuu hauna maana yoyote faida za muungano wanazijua watawala pekeeSio uboreshwe Babati!?
Haueleweki kabisa.Muungano huu una mkanganyiko balaa!
Uvunjwe na bibi tozo arudi PembaMuungano huu una mkanganyiko balaa!
Kumbe ile "F" ya Civics hukuipata kwa bahati mbayaKwani nani ni Mkubwa kiumri?
Hiki kisiwa ni kero tu kwa kweli kimeinyonya sana Tanganyika
Mwanamke hana ukoo. Mtoto wa kiume ndiye mkubwa (by precedence)Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru. Sasa leo Mbona rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekuwa wa kwanza kuondoka uwanjani? Kwa nini isiwe rais wa JMT ambae ni mkuu wa dola ya Tanzania?
Msaada kwenye tuta.
Duuh kweli umevurugwa mkuu,Host nje ya nchi?