Kama ningerudi ku "date" tena ...24year old boy and nothing else

Duh
Kazi ipo mpaka naogopa ku reply
Ulitukataa wa age mate yako, probably ukaenda kwa mbaba kisa kina hela, sasa kawa mbabu hadindishi vizuri, age mate wako now tumeshajitafuta ni kutumia tu, now ukirudi kwetu nasi tunakukataa kwasababu ushazeeka, tunadinya vibinti vya 20-25 yrs.
 
msimsingizie shetani kila kitu,kwanza tambua mpaka shetan ameingia kwako ni wewe umempa access ,na access maana umetenda dhambi Mungu anakuacha ule raha anajua mbele utajuta tu na kurudi na kumpigia magoti kama mwanampotevu alierudi kwa baba yake baads ya kutapanya mali ya urithi na kuishiwa na kila kitu ila yeye hakulaumu mtu hakulaumu shetani alisema anajua alikosea na anaomba msamaha
 
Elezea fumbo hilo lina maana gan mzee acha ngonjera na hadithi za alfu lella ulela
 
Yakishawashinda mnamsingizia shetani. Jamaa anapewa lawama za bure tu juu ya shida zenu wenyewe.
 
ahhh nishakujua wewe unapenda sex sana wewe, unaona ukidate kwa lengo la ndoa utafikia wakat huyo kijana atazeeka wakat wew bado kitu inadai
 
maisha yana wapiga kisa mna puuza elimu za kiroho. Mfano tabia za mtu hazifichikagi ukitumia nyota zake kumjua.
yaan ilifaa uchague mmeo kwa kutumia nyota ungempata mme alie sahihi isinge hitaji mwekeane tabia wazi maana mngeendana tabia bila hata ya kujuana.

kosa la pili kama uliolewa bila bikra . . hapo ulichemka yaan kama ulisha wahi kua mzinifu na mtu wa kubadili wapen, na hasa kuwamiliki hata zaid ya mmoja kwa mpigo ni kosa kubwa sana . kiroho utaadhibiwa ndoa itakua ngumu kama kisasi chako kwa kosa la kudanga ujanan.
 
Binafsi sidhani kama ulikua na mtu anakufanya ' at least' happy at 24 years ndio guarantee utakua happy maisha yako yote....labda muoane ...napo haiko certain

Unaweza kuwa nayo ulivyokuwa miaka 23 ila happiness inaweza kuja again ukiwa 60 huko...na kuna periods katikati hapo smbazo zina experiences tofauti; hurt, confused,etc yote ni maisha,

Kama una mbabu sasa hivi sio kwamba unamiss kitu huko nje ...I'm sure kuna mazuri yake yaliyokufanya ukawa nae ambayo yanafidia mapungufu yake ...si kweli kuwa na vijana wadogo ndio raha, immaturity yao inaweza kuku cost, ukiachana nako katajitahidi kakuumize hisia..emotional blackmail...etc

Nachotaka kusema usidhanie umemiss ulivyokuwa 24 years old, inawezekana ungemdate mkaka kijana na angekuchanganya..

Date at 24 the same as date at 50 , zote ni experiences tu have fun, don't regret anything
 
Ona hapa ulivyompa ushauri mzuri Becky, hawa wanawake wanatutenga sana wazee siku hizi. Mi nawaangalia tu😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…