secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,926
- 50,938
Mkuu, kwenye masuala ya mahusiano ya mapenzi Mimi naamini hakuna Unconditional love (upendo usio na masharti, ambapo mtu anapenda mwingine bila kuweka vikwazo au masharti yoyote).Iko mambo hapo.
Huu wbo ni wa kimasihara sana lakini naikubali sana.Nmemiss hili song!
Aanh akatuma picha mrembo shatashata,
akili ikanituma kutaka kumkata, nimetuma fungu tayari kalipa,
anakuja na tax leo ataipata!
Bado hajafika jogoo ameshawikaaβ¦π₯°
Kila binadamu ana asili ya ubinafsi.Mkuu, kwenye masuala ya mahusiano ya mapenzi Mimi naamini hakuna Unconditional love (upendo usio na masharti, ambapo mtu anapenda mwingine bila kuweka vikwazo au masharti yoyote).
Mara zote, mwanaum/mwanamke humpenda mwenzake Kwa sababu fulani fulani hata iweje.
Ndo maana hata Katia masuala ya mahusiano ya kimapenzi ukiona umependwa/umependa basi Kuna sababu fulani inafanya hivyo, kwa mfano pesa, uzuri, umaarufu n.k.Kila binadamu ana asili ya ubinafsi.
Umimi kwanza.
For that reason, Unconditional love doesn't exist.
Kila mtu anapima na kujali maslahi yake kwanza.
Unakuta mzazi kazaa watoto wanne au watano. Wale watoto wanaomjali na kumpa pesa ndio atakao wapenda. Kwa sababu maslahi yake mzazi yanajaliwa.
AChana naye, saiv nipo na wwHuo mmama utakuwa na mpunga hatareππΎ
Hapana huyu anapenda dudu kupitiliza.Kwamba ana sahani kubwa au nini mkuu Manga ML?
Wakati ukuta, nakumbuka kuna wakati alikuwa anasema hivyo. Kuna watu mahusiano yanawasumbua sana.Hapana huyu anapenda dudu kupitiliza.
Anatamani aanze upya kwa usahihi kukichafua
π€£π€£π€£π€£ nikiwa sober sipigani usijaliπ€Mimi najua ni wewe...tatizo mikwara yako inasababisha mbio za barazani huku nageuka nyuma naangalia unaokota nini kunipiga nacho π€£π€£π€£
Hahahah umemix ngoja nikuteremshie verseβ¦Verse ya Nikki wa pili hii...π
Halafu anaingia Joh Makini,
πΆNa miss wale tuma kwa namba hii, machizi mi nawaliza ki namna hii, Vile nawa marinate waje eeeh! Vile nawa peti peti waje eeeh! Wakisema tuma picha, nashusha naweka, wakitaka za utupu, nashusha nawekaa.
Mimi naupenda sana kuna siku nmeuimba nikajipost statusπ€£π€£Huu wbo ni wa kimasihara sana lakini naikubali sana.
"Samahani! Namba uliyopiga umepigwa!" π.
Usijali totoβAChana naye, saiv nipo na ww
Si utanitaftia na Kazi hapo Daslamu?Usijali totoβ
Hebu nitumie hicho kipande wakati ukiimba nami nivunje mbavu japo kidogo π.Mimi naupenda sana kuna siku nmeuimba nikajipost statusπ€£π€£
Na kuna vacay moja niliuimba staff wananishangaa kama ni mm ila hizi pombeππΎ
Navutia sana utaerect bureπ€£Hebu nitumie hicho kipande wakati ukiimba nami nivunje mbavu japo kidogo π.
Nyuki?daslamu?π€Si utanitaftia na Kazi hapo Daslamu?
Nimesoma chuo cha Nyuki Tabora, ngazi ya cheti.
πππ ndio Elimu yanguNyuki?daslamu?π€
Sasa huku utakuja kufanya kazi gani?πππ ndio Elimu yangu
Mbona mim sitesekagiKuteseka kuko pale pale.
Niache ntakupiga na reply π€£Depression is constantπ€£
Au achana na kazi we nipe tu wewe basi πSasa huku utakuja kufanya kazi gan