Kama ningekuwa nakunywa basi leo ningekuwa chakarii

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
Habari za humu wandugu, leo hii nimevurugwa sana nisaidieni nipate utulivu,
nimeletewa laptop ilizima mwanga nikairekebisha ikawaka tu poa nikaizima na kuifunga, baada ya kumaliza kuifunga naiwasha haiwaki tena ukiwasha inawaka taa tu ya power halafu inazima baada ya sec 5 hata ukitoa betri inafanya tu hivo,

Laptop in ya mwanajeshi, nishakutana na changamoto nyingi lakini hii imenivuruga zaidi na hakuna sehemu niligusa zaidi ya Kioo tu,

Dah! hii wiki ikiisha salama kwangu no mungu tu anisaidie,

Sina namba zake namsubiria atakapokuja sijajua atapokeaje.
 
Acha utoto jambo dogo ivo unatuletea humu.
 
Nakuja hapo Baadae kuifuata Laptop yangu, naomba ujiandae kijana.

20240413_125835.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Habari za humu wandugu, leo hii nimevurugwa sana nisaidieni nipate utulivu,
nimeletewa laptop ilizima mwanga nikairekebisha ikawaka tu poa nikaizima na kuifunga, baada ya kumaliza kuifunga naiwasha haiwaki tena ukiwasha inawaka taa tu ya power halafu inazima baada ya sec 5 hata ukitoa betri inafanya tu hivo,

Laptop in ya mwanajeshi, nishakutana na changamoto nyingi lakini hii imenivuruga zaidi na hakuna sehemu niligusa zaidi ya Kioo tu,

Dah! hii wiki ikiisha salama kwangu no mungu tu anisaidie,

Sina namba zake namsubiria atakapokuja sijajua atapokeaje.
Who is mwanajeshi by the way.....
 
Back
Top Bottom