prettydiva
Senior Member
- Feb 19, 2014
- 101
- 39
Mama ni mama by isha mashauzi(taarabu)..mimi sio mpnz wa taarabu lakini huu wimbo naupenda sana na kuona unagusa maisha yangu,mama yangu ametulea watoto wake 3 kwa tabu na kila namna japo baba tunaishi nae lakini mama ndo mpiganaji mkuu..siwezi kusahau nlkuwa boarding korogwe girls alkuja kunitembelea kutokea dsm akafika jion ikabdi ageuze dar siku hyo hyo lakini usafiri ukawa wa shida mwisho kulala njiani..nmemalza chuo lakin bado cjapata maisha mazuri ili mama yangu afaidi,ila naamin ipo siku ntampa furaha mungu anitunzie mama yangu ambaye ndo kila kitu kwangu.