dogojanja 87
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 882
- 213
kamwambie na mbagala hizi nyimbo za bwana mdogo diamond aliniimbia kabisa aisee,kuna bidada mmoja alinitenda tukiwa chuo,hizi song zilikua zinanifariji sanaa
Yan katika watu mungu aliwabariki sauti ni wale jamaa maana ile end of the road ukiweka I will make love to you karibia nyimbo zao zote alaf wanakuja backstreet boys ,michael Bolton hata kama mbishi ilautabd utulie feelings zije
Yaani nikisikia One sweet day lazma macho I yateremke dah!Ongezea
One sweet day feat Mariah
Sihitaji marafiki - Fid Q
Kuna marafiki wananiumiza, yaani unawasaidia halafu mwisho wa siku ovyo tu. Natamani nisiwe na rafiki, maana wengi wao ni parasites tu then wanakuharibia mipango yako
Halo by beyonce unanihusu sana siku hizi.
cc; daktari
Kweli?uwiii wewe umenichekesha jamani lol!!