Kama nimeimbiwa mimi!

Kama nimeimbiwa mimi!

boyzIImen waliua, yaani wananigusa hadi basi, ile nyimbo inanitoa machozi kila nikiickia,

Yan katika watu mungu aliwabariki sauti ni wale jamaa maana ile end of the road ukiweka I will make love to you karibia nyimbo zao zote alaf wanakuja backstreet boys ,michael Bolton hata kama mbishi ilautabd utulie feelings zije
 
Yan katika watu mungu aliwabariki sauti ni wale jamaa maana ile end of the road ukiweka I will make love to you karibia nyimbo zao zote alaf wanakuja backstreet boys ,michael Bolton hata kama mbishi ilautabd utulie feelings zije
Ongezea

One sweet day feat Mariah
 
Anytime You Need A Friend" by Mariah Carey

If you're lonely
And need a friend
And troubles seem like
They never end
Just remember
To keep the faith
And love will be there
To light the way

[Chorus:]
Anytime you need a friend
I will be here
You'll never be alone again
So don't you fear
Even if you're miles away
I'm by your side
So don't you ever be lonely
Love will make it alright

When the shadows are closing in
And your spirit diminishing
Just remember
You're not alone
And love will be there
To guide you home

[Chorus]

If you just believe in me
I will love you endlessly
Take my hand
Take me into your heart
I'll be there forever baby
I won't let go
I'll never let go

[Chorus]
 
mim huwa nikiislkia hii mpaka nyele zinasismka..."Mungu ibarik afrika"wimbo wa taifa
 
mim huwa nikiislkia hii mpaka nyele zinasismka..."Mungu ibarik afrika"wimbo wa taifa
Mungu ibariki tanzania ...
Wabariki viooongozi wake ...
Hekima umoja na amaani ....
Mungu ibaariki ... Tanzania na watu wake ... iiiibariki Tanzania iiibariki
Watoto na watu wake ...................


Mungu ibariki afrika ...
Wabariki viooongozi wake ...
Hekima umoja na amaani ....
Mungu ibaariki ... Afrika na watu wake ... iiiibariki Afrika iiibariki
Watoto na watu wake ...................
 
Anytime You Need A Friend" by Mariah Carey

If you're lonely
And need a friend
And troubles seem like
They never end
Just remember
To keep the faith
And love will be there
To light the way

[Chorus:]
Anytime you need a friend
I will be here
You'll never be alone again
So don't you fear
Even if you're miles away
I'm by your side
So don't you ever be lonely
Love will make it alright

When the shadows are closing in
And your spirit diminishing
Just remember
You're not alone
And love will be there
To guide you home

[Chorus]

If you just believe in me
I will love you endlessly
Take my hand
Take me into your heart
I'll be there forever baby
I won't let go
I'll never let go

[Chorus]

Hii ujumbe wake ilitaka kufanana na lean on me ya michael Bolton kimtindo
 
Kizunguzungu cha mapenzi wa abdul kiba..
 
Wapo by Lameck Ditto...."sijali umenitesa mara ngapi ama nimelia mara ngapi nia yangu ni moja tuwe wote pamoja" duh! niliimbiwa mpka nikakunjua nafsi.

All in all Gospel musics zinanigusa sana especially Mchungaji Abiudi Misholi albamu yake ya 1-4.

Kumbe dawa yk kuimbiwa! Thanx
 
Mungu ibariki tanzania ...
Wabariki viooongozi wake ...
Hekima umoja na amaani ....
Mungu ibaariki ... Tanzania na watu wake ... iiiibariki Tanzania iiibariki
Watoto na watu wake ...................


Mungu ibariki afrika ...
Wabariki viooongozi wake ...
Hekima umoja na amaani ....
Mungu ibaariki ... Afrika na watu wake ... iiiibariki Afrika iiibariki
Watoto na watu wake ...................

uwiii wewe umenichekesha jamani lol!!
 
NI KWA NEEMA TU NA REHEMA huwa nikiskiliza duh i feel smthn in my hrt n i blv GOd is there
 
Kuna baadhi ya nyimbo za bongo fleva huwa nikiziskiliza najihi kama msanii husika aliniimbia mimi, yaani inatokea wimbo unanigusa moja kwa moja! Nyimbo zifuatazo huwa zinarandana na nyakati tofauti tofauti za maisha yangu:

Mwambieni nampenda (baba uko wapi?) by Q-chief
Huu wimbo huwa unanigusa moja kwa moja na hasa katika maneno yanayotengeneza ujumbe ambayo Q chilla aliyatumia hapa! Huwa Nakumbuka namna maisha yangu yasivokuwa na historia chanya kumhusu baba!

Ningekusamehe by 20% & Mama Halima by Linex:
Kipindi fulani, hata sijui ilikuwaje! Ikatokea kumpenda binti mmoja, japo hakuwa mzuri wa kiviile, lakini alikuwa na moyo wa upendo ambao kwa binadamu wa kawaida lazima ange-appreciate! Katika hali ambayo hata sikuelewa, alikuja kubeba mimba ya mtu mwingine nikiwa chuo mji mwingine, akahama na mji, akaenda kuolewa, akapotea jii! 10 years later nikaja kubambana nae FB!

Mkuki moyoni ba Afande sele, Mapito by Lord eyez & Nishike mkono by Darasa:
Hizi kwangu ni bonge la historia! Maisha ya ki-gangstar niliyoishi nikiwa o-level yanafanya nizipende sana hizi ngoma! Kipindi kigumu sana cha utoto kilinipitisha katika nyufa nyingi za hatari. Kuna wakati ukinambia nisimulie namna gani nimefika hapa huwa sina maelezo ya moja kwa moja! Nimeshachomwa sana na mkuki moyoni! Niliitaji sana kushikwa mkono na si tu sikuwa na mtu wa kunishika mkono bali pia nilikuwa sivutii kushikwa mkono!


Kwa kuwa wasanii na sanaa ni mali ya jamii, najua hata wewe kuna ambazo zimekugusa na kama si kwa masika huenda ni kwa kiangazi ama vuli! Tupia zipi na za kina nani!

Mtoa mada pole sana, ila hata MAJANGA YA SNURA NAONA INAKUHUSU SANA.....
Upande wangu ZALI LA MENTALI WA PROFFESSOR J ukipigwa naona kama naimba mimi vile hata hii computer niliyocomment nayo huu uzi hapa nimeipata kama zali tu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom