Kama ni wewe Utafanyaje??

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,389
1,225
Babu yako kabla ya kukata raha kakuita wewe Mjukuu wake ili akupe wosia huu....

"Mjukuu wangu kipenzi, Babu yako ndio naiaga Dunia, lakini kwenye hazina yangu kuna milioni 800 na hakuna yoyote

anayejua nilipoziweka....Nimeona nikupe pesa zote kama urithi Mjukuu wangu..... Hizo pesa nimeziweka kwenye....

Kwenyeee......kwenyeeeee.......... mara akakata roho ghafla bila kukutajia mahali alipoziweka....

Je Utafanyaje???
 

Heart

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
2,674
2,000
Hahahhaha...ntazisaka mpaka kieleweke..yaan kimya kimya,watu wasishtukie deal. Unalala maskin unaamka tajiri halafu nipotezee...nehi!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom