Yeye alipotuhumu watu ovyo alikuonyesha ushahidi? Aliwatuhumu watu na kutaka wajieleze kuhusika au kutohusika kwao. Na yeye ametuhumiwa kama alivyotuhumu wenzie, ni zamu yake kujieleza kuhusika au kutohusika kwake.Hahaaa...nipo huku Ikungulyabashashi kaka.
Nasikia tu hadi wachungaji wanasema eti Paul Makonda si jina lake bali jina lake ni Daudi Bashite na ushahidi wanao lakini hawatuonyeshi huo ushahidi.
I wonder why!
Things that make you go hmm....
Hadi mkewe kathibitisha kwa kujiita "mamaa Daudi mwenyewe"Wa Tanzania wengi ni bendera fuata upepo
Mangi kasema ,gwajima kasema ,nanihi kasema
Mtanzania unaweza kumchezea na kumshika akili ,mpe gossips tu utamhamisha kwenye agenda
Maswali kuntu kabisa hayo.
Tatizo, kwa mtazamo wangu, watu walio wengi wala hawana kabisa raghba ya kutaka kuujua ukweli.
Walicho na raghba nacho ni kumwona huyo Paul Makonda akiadhirika tu, basi. Iwe kwa sababu za ukweli au za kizushi.
Truth be damned but lies and rumors be advanced.
Ampruvie nani? yani wewe uanzishe uzushi wako ili ujibiwe?Ukituhumiwa ukakaa kimya ni Dalili kuwa unachotuhumiwa ni kweli.
Its up to you to prove the other side wrong.
Mind you this is Political Game
absolument! C'est la vérité indiscutable Mister!Aisee!
So that is the standard of proof now?
Kwamba ukiamua kukaa kimya juu ya mambo yanayozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii basi una hatia?
Scratching my head.....literally!
Ngabu,,,we ni msomi na unamkingia kifua kisaikolojia zaidi tunafahamu.
Jamaa ajitokeze,ajibu tuhuma.Kukaa kimya hakutampa nafuu yeyote.
Akiponyoka kwenye hizi kelele,tutawatuma wabunge watupigie kelele bungeni.
Ikishindikana bungeni,wananchi watawawajibisha wanaccm wote katika masanduku ya kura,,amini hivo.
ACHA KUTETEA UOVU.
Wakwetu, mpaka sasa mlalamikaji hajulikani ni nani. Inawezekana hawampeleki mahakamani kwa vile hakuna anayefaidika au watu wanasubiri waone action za Mkuu kwa vile toka aingie alitangaza kuwashughulikia wenye vyeti fake!!
Anyway, kuna mahali nimeuliza, hivi kweli hakuna mwanachama wa JF kutoka Koromije?
Hivi kweli hakuna vijana waliosoma naye Pamba Secondary ambao ni wanachama wa JF!!?
Bahati nzuri Gwajima wanatoka kijiji kimoja ila hawakuwa wanafahamiana. Sasa tusubiri huo ushahidi wa Gwajima tuone kama ni kweli ............ tatizo hakutoa time frame ya lini atautoa kama hataombwa msamaha au kama Mh. hatawajibishwa!!
Yeye alipotuhumu watu ovyo alikuonyesha ushahidi? Aliwatuhumu watu na kutaka wajieleze kuhusika au kutohusika kwao. Na yeye ametuhumiwa kama alivyotuhumu wenzie, ni zamu yake kujieleza kuhusika au kutohusika kwake.
a
Moja ya ushaidi ambao umetolewa na mke wake mwaka 2016
Kama wansingizia si awashitaki kwa kumvunjia heshima?Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Kama wansingizia si awashitaki kwa kumvunjia heshima?
Ahaaa USA baby bana nilitegemea umulize yeye kwann asilete vyeti ili watu waumbuke?
Ni kweli maana vyombo tunavyo vinashindwa kufanya uchunguzi kwenye tuhuma vinakuwa kama havipo kisa mtu anayetuhumiwa yukojeNdo maana sishangai kuwepo kwenye hali tuliyonayo kama taifa!
Nilikwambia tangu mwanzo unachofanya si hoja bali unatetea ukabisha sasa unaweza kujipima na kujiona kama bado uko kwenye kutoa hoja au kutetea labda uniambie hujui neon kuteteaKwa nini wao nao wasilete ushahidi?
Kweeeli! mtu hasemi, anasubilia hata kichaa asema halafu yeye anakuja na kusema fulani kasema! Kuna uzi umeanzishwa na Kaabah eti Kinjekitile kasema ........ imenibidi nimtafute huyo ndo nani?Wa Tanzania wengi ni bendera fuata upepo
Mangi kasema ,gwajima kasema ,nanihi kasema
Mtanzania unaweza kumchezea na kumshika akili ,mpe gossips tu utamhamisha kwenye agenda