Kama ni kweli na ushahidi upo....

Kama ni kweli na ushahidi upo....

Bla blaaa zimezidi mitandaoni. Yote haya yanamkuta Makonda kwa sababu ya Sembe!
Unapoteza hoja,sio kwamba alidandia kiki ya mwenzake akaangukia pua kweli?
Sio kwamba alikuwa anategua mitego ya watu.
Sio kwamba alidhamiria kutegua na hapo hapo kuchafua wengine?
THINK BIG.
 
Yuko wapi huyo mwenye vyeti ? - Au kafa - Hata kama hana Ndugu ?

Hilo swali hata mimi nimejiuliza sana.

Huyo mwenye vyeti mwenyewe yuko wapi?

Hana hata majirani? Hata marafiki hana?

Hmm...things that make you go hmmm
 
Ni hivi , alipogundua kwamba amepora jina la mtu alienda mahakamani kuapa na kujiwekea kinga kisheria .

Kwahiyo mnaweza kwenda Mahakamani halafu mkaambiwa ni kweli jina halikuwa lake lakini alikuja kujimilikisha kisheria , Ndio maana sisi sasa hivi tumepeleka kesi kwenye mahakama ya umma , zaidi tutamuomba Ndalichako atupe mwongozo .
Kuapa mahakamani haimaanishi kuwa umeweka kinga, bali ikithibitika kuwa ulifanya kiapo cha uongo hilo nalo ni kosa jingine, kwa ufupi Bashite yuko kwenye wakati mgumu pengine kuliko kipindi chote cha uhai wake!
 
Screenshot_2017-02-28-17-56-25.png
Screenshot_2017-02-28-17-56-25.png


Cheki kwenye snapshot ya page ya mke wa Paulo, Mke wake Paulo yeye mwenyewe toka January mwaka 2016 kule Insta anajiita Mama Daudi, sasa jiulize Daudi huyo ni nani wakati hajajaaliwa mtoto?

Paul ndiyo Daudi mwenyewe hapo akili kumkichwa!!
 
Wakwetu, mpaka sasa mlalamikaji hajulikani ni nani. Inawezekana hawampeleki mahakamani kwa vile hakuna anayefaidika au watu wanasubiri waone action za Mkuu kwa vile toka aingie alitangaza kuwashughulikia wenye vyeti fake!!

Anyway, kuna mahali nimeuliza, hivi kweli hakuna mwanachama wa JF kutoka Koromije?

Hivi kweli hakuna vijana waliosoma naye Pamba Secondary ambao ni wanachama wa JF!!?

Bahati nzuri Gwajima wanatoka kijiji kimoja ila hawakuwa wanafahamiana. Sasa tusubiri huo ushahidi wa Gwajima tuone kama ni kweli ............ tatizo hakutoa time frame ya lini atautoa kama hataombwa msamaha au kama Mh. hatawajibishwa!!
Hayo maoni ya huyo mtumishi yalikua ya kutokea na ameacha loose ends maksudi ili asiulizwe ulizwe na km ataulizwa itakua rahisi kutoa majibu rahisi.
 
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.

Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.

Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?

Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?

Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?

Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.

Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.

Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.

Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?

Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Uzuri umesema ni kesi ya jinai na si ya madai. Lakini ujue wenye kupeleka kesi za jina mahakamano ni serikali. Sasa iulize kwa nini hawajafanyia uchunguzi tetesi hizo na kujiridhisha kama si za kweli au kweli.
Pili hii ya kumwambia mtu hujasoma ni kumkashifu anaweza kukufungulia kesi ya madai kwa kumchafua. sasa huyu mchafuliwa kwani hajitokezi na kusema umenichafua nakufungulia kesi ya madai kama alivyofanya Mbowe?
 
Nadhani nyani pamoja na hayo uliyoeleza hapo unajua kila hatua inayoendelea hapa nchini. Huwezi kupeleka mashtaka ya mtoto kwa mjumbe/ balozi ambaye ndiye baba wa mtuhumiwa wako.fikiria zaidi kuhusu mambo yalivyo halafu jiulize iweje baada ya hiyo tuhuma wahusika wamepigwa ganzi
Sasa kama unajua hakiwezi fanyika chochote kwa nn uendelee kupiga kelele mnatusumbua bure
 
Kuapa mahakamani haimaanishi kuwa umeweka kinga, bali ikithibitika kuwa ulifanya kiapo cha uongo hilo nalo ni kosa jingine, kwa ufupi Bashite yuko kwenye wakati mgumu pengine kuliko kipindi chote cha uhai wake!

That's perjury.

Unless of course you didn't swear under the penalty of perjury.
 
Uzuri umesema ni kesi ya jinai na si ya madai. Lakini ujue wenye kupeleka kesi za jina mahakamano ni serikali. Sasa iulize kwa nini hawajafanyia uchunguzi tetesi hizo na kujiridhisha kama si za kweli au kweli.
Pili hii ya kumwambia mtu hujasoma ni kumkashifu anaweza kukufungulia kesi ya madai kwa kumchafua. sasa huyu mchafuliwa kwani hajitokezi na kusema umenichafua nakufungulia kesi ya madai kama alivyofanya Mbowe?

Unao ushahidi unaothibitisha kuwa Paul Makonda si Paul Makonda bali ni Daudi Bashite?
 
View attachment 475492 View attachment 475492

Cheki kwenye snapshot ya page ya mke wa Paulo, Mke wake Paulo yeye mwenyewe toka January mwaka 2016 kule Insta anajiita Mama Daudi, sasa jiulize Daudi huyo ni nani wakati hajajaaliwa mtoto?

Paul ndiyo Daudi mwenyewe hapo akili kumkichwa!!

Kwa hiyo huo ndo ushahidi kwamba Paul Makonda si Paul Makonda bali ni Daudi Bashite?

I mean, really?
 
We yako ushafanya?



Viashiria tena? Mi nataka ushahidi...sitaki viashiria. Ushahidi unao? Kama unao tuwekee basi hapa ili tumshukie kihalali maana wengine hatupendi kuonea watu na hatupendi uonevu wa aina yoyote ile.



Kwani analazimika kujibu kila kisemwacho juu au dhidi yake?

Watu washasema kuwa hawezu kutungisha mimba...nalo unataka ajitokeze alijibu?

Watu washasema kuwa yeye ni shoga...nalo unataka ajitokeze alijibu?



Huyo ni yeye na huo ulikuwa uamuzi wake.



Unaweza kuthibitisha kuwa yeye ni Bashite na si Makonda?



Based on what? Spite and conjencture?



Na ikisema kila kitu kiko sawa mtaamini? Mtakubali? Au ndo mtazidi kuhamisha magoli?

This whole thing is dumb.
Mbona hasira???? Au we ndo BASHITE?
 
Ushahidi wa hayo unayoyasema uko wapi?

Msiishie kusema tu maana kusema ni rahisi mno.

Tuthibitishieni hayo mnayoyasema.
Huyu Daudi Bashite atamfukuzisha kazi Mh Ndalichako ....wabunge wataingia nalo bungeni na kutaka waziri athibitishe na hapo watatoa nondo za kufa mtu...Daudi Bashite chaliiii
 
Kesi ya jinai inaendeshwa na serikali na sio mtu binafsi.

Mwenye wajibu wa kuchunguza na kumpeleka huyo jamaa mahakamani ni serikali.
Kuna situation ambazo a private person answers kufungua mashtaka lakini nafikri no lazims aombe kibali Cha mwana sheria mkuu
 
Back
Top Bottom