Onesha ushahidiHakuna mtu anayeitwa Paul Makonda hili jina kajipachika tu ili kuharamisha mambo yake.Baba yake Mzazi alimwita Bashite yeye kaja kuinajisi heshima ya wazazi wake kabadili jina.
Aliwapeleka polisi au alitumia mamlaka yake vibaya kuwaamuru wajisalimishe polisi? Pamoja na kwamba hakuwa na ushahidi bado polisi walimhoji na kumpekua kwake na wakampima damu. Sasa Gwajima naye ametoa tuhuma kwanini polisi wasimwite Makonda wakamuhoji au wamwite Gwajima basi wamuombe ushahidi ili wamthibitishe kama walivyomthibitisha Gwajima? Swala la kumpeleka Mahakamani ni swala la Jamhuri Makonda aliagiza vyombo vyake kwa kuwa ni bosi ( mwenyekiti wa usalama wa mkoa) sasa Gwajima ni mchungaji ametoa tuhuma ni kazi ya polisi sasa kumhoji Makonda na kuja na majibu kwa sababu anachotuhumiwa nacho Makonda ni jinai ya udanganyifu na utambulisho!Makonda alipowataja akina Gwajima hakuishia hapo tu aliwapeleka polisi labda kisha mahakamani ili wakasafishwe na mahakama wawe weupe peee.
Wenda Makonda anawasubiria watoe vyeti feki ili atoe vyake na awakamate kwa kufoji nyaraka za serikali, na wenda ndio maana wamekalia kupiga domo. Watoe ushahidi si wanao walisema, wautoe hata hapa JF watu wasome wapime.
Tuhuma za mtandaoni huwezi kujibu maana hujui kesho wataibuka na nini tena. Na kitu kingine kinacho demand ushahidi ulio wazi ni kwamba, walikuwa wapi wakati wote huo kumtaja tangu uhakiki umeanza, amekuwa mkuu wa wilaya mpaka leo alipotaja watu wa madawa ya kulevya nao ndo wanamtaja?
Aliwapeleka polisi au alitumia mamlaka yake vibaya kuwaamuru wajisalimishe polisi? Pamoja na kwamba hakuwa na ushahidi bado polisi walimhoji na kumpekua kwake na wakampima damu. Sasa Gwajima naye ametoa tuhuma kwanini polisi wasimwite Makonda wakamuhoji au wamwite Gwajima basi wamuombe ushahidi ili wamthibitishe kama walivyomthibitisha Gwajima? Swala la kumpeleka Mahakamani ni swala la Jamhuri Makonda aliagiza vyombo vyake kwa kuwa ni bosi ( mwenyekiti wa usalama wa mkoa) sasa Gwajima ni mchungaji ametoa tuhuma ni kazi ya polisi sasa kumhoji Makonda na kuja na majibu kwa sababu anachotuhumiwa nacho Makonda ni jinai ya udanganyifu na utambulisho!
Mimi sioni tatizo maana alichofanyiwa Makonda ndicho alichokuwa anakifanya kusimama public na kutuhumu wengine bila ushahidi akitegemea polisi iwathibitishe na yeye ametajwa asubiri polisi wamthibitishe au ajithibitishe mwenyewe zaidi ya hapo akae kimya kama Lowasa.
Hivi kuchunguza cheti cha mtu inachukua mda gani wewe?Kiongozi ukituhumiwa kaa pembeni hadi ukweli upatikane.Kiutawala unasimamishwa kupisha uchunguzi ikithibitika unachukuliwa hatua stahiki ikiwemo pia kushitakiwa.
Ukitaka kuishitaki serikali lazima uiombe ruhusa ikubali! Vingonevyo huweziNianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
I got no evidence,but based on experience, claims and counter claims arising thereof,dont you smell a rat???I'm actually sticking to my principles by asking for evidence before reaching any kind of conclusion.
This has nothing to do with tribalism or anything of that nature.
I just can't condemn someone based on conjecture.
Where is the evidence that shows Paul Makonda used/ bought someone else's identity to get to where he is now?
That's a very straightforward question. Don't dance around it. Answer it.
mkuu, sidhani kama kuna ushahidi "concrete". sema watesi wa Makonda wanamuiga yeye alivowafanyia wenzie. basi.Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Walipotajwa akina Gwajima bila ushahidi mlibwabwaja pia sasa wamemgeuzia mnauliza ushahidi nyie siyo ndiyo mlikuwa mnasapoti watu kutajwa hadharani bila hata vidhibiti? Sasa naye wamemtaja bila vidhibiti na hii imebamba kama ile tu maana usiku huu tunajadili. What goes around comes aroundWapo wapi sasa hao wenye ushahidi waupeleke takukuru.Watu wanabweka tu na kupoteza muda wao bure kujadili kitu kisichokuwepo.Unamtuhumu mtu halafu unamtaka huyo mtu akupe ushahidi!
Hii yote baada ya mapapa ya unga kina Mbowe kuguswa,wanarudi na ngojera hizi ili kutuondoa njiani.
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Ndugu Nyani Ngabu kinachonisikitisha ni kwanini mnawalaumu hawa "walalamikaji" wa kwenye media badala ya kuwalaumu mamlaka husika polisi na vyombo vingine kwa kukaa kimya na kutokufanya uchunguzi na kuja kuclear doubt au wamuombe Makonda mwenyewe aje afanye clearance kama si kweli:
Hili ni kosa la jinai (uhalifu) kuwa umefanyika kwanini polisi wapo kimya.
I wonder why police need to be moved to take action on this. Tumeona hata practice polisi wetu si lazima wamuvuzishwe popote pale wanapoona pana harufu ya uhalifu huingia hata bila kuambiwa iweje sasa this criminal offense is alleged to be done nao wapo kimya?
Polisi utendaji wao ni tofauti na mahakama tumezoea mahakama wanamsemo kwamba "the court is not your mother cannot give you what you didn't ask" kwamba mahakama ni lazima imuvuzishwe hata jaji akiwa amepata taarifa kuwa kuna mtu ameuawa au umezurumiwa hawezi kujihusisha na hiyo kesi mpaka imeletwa mahakamani na usipoileta shauri yako hiyo ndiyo maana ya "mahakama siyo mama yako haiwezi kukupatia usichokiomba"
Lakini kwa polisi ni tofauti akipata taarifa kuwa kuna mtu ameuawa lazima achunguze haijarishi taarifa hizo ameziona kwenye gazeti, mtandaoni au popote.
Iweje hili swala la Makonda wasubiri mtu akaripoti eti? Hizo taarifa za kiintelejensia zipo wapi?
Mbona linapokuja swala la uchochezi wanafanyia kazi taarifa za mtandaoni? Kwanini?.
Mwisho.
Hii ni kesi ya jinai polisi ndiyo wanatakiwa kuonesha interest mpaka sasa wapo kimya eti wanasubiri taarifa rasmi isipopelekewa hiyo ripoti basi mtuhumiwa aendelee kuenjoy good life in the cape of Good Hope of south Africa?
Na hao waliosimamisha ajira zote wakikagua vyeti nao wanasubiri taarifa rasmi?
Just imagine hizi tetesi zingekuwa juu ya uwepo wa magaidi wa amboni au ujambazi BOT wangebaki ofisini wakisubiri taarifa rasmi?
Aliwapeleka polisi au alitumia mamlaka yake vibaya kuwaamuru wajisalimishe polisi? Pamoja na kwamba hakuwa na ushahidi bado polisi walimhoji na kumpekua kwake na wakampima damu. Sasa Gwajima naye ametoa tuhuma kwanini polisi wasimwite Makonda wakamuhoji au wamwite Gwajima basi wamuombe ushahidi ili wamthibitishe kama walivyomthibitisha Gwajima? Swala la kumpeleka Mahakamani ni swala la Jamhuri Makonda aliagiza vyombo vyake kwa kuwa ni bosi ( mwenyekiti wa usalama wa mkoa) sasa Gwajima ni mchungaji ametoa tuhuma ni kazi ya polisi sasa kumhoji Makonda na kuja na majibu kwa sababu anachotuhumiwa nacho Makonda ni jinai ya udanganyifu na utambulisho!
Mimi sioni tatizo maana alichofanyiwa Makonda ndicho alichokuwa anakifanya kusimama public na kutuhumu wengine bila ushahidi akitegemea polisi iwathibitishe na yeye ametajwa asubiri polisi wamthibitishe au ajithibitishe mwenyewe zaidi ya hapo akae kimya kama Lowasa.
I got no evidence,but based on experience, claims and counter claims arising thereof,dont you smell a rat???
Kesi ya Katiba? Murtaza Lakha atakuwepo? au atawakilishwa na TLS? ATLM atashiriki? Hiyo Krosi igzamineishn miye ndo napendaga....Hapo ndo huwa naonaga Lojiki ya wasomi sana wa Jurisipurudensi na ligo mithod..mbona una kiherehere ,bashite hachomoki ,subiri kesi ya kikatiba ikianza cross examination ndo atabanwa mbele ya hon judge and ruling itaweka precedent kwenye law report kuwa kuchakachua vyeti ni criminal offence,
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Alaa kumbe,kutajwa kwa Gwajima ndio kunaleta yote haya??Alivyotajwa Lowassa fisadi kwa miaka 8,mbona mbowe katajwa siku moja tu kawahi mahakamani asitajwe wala kukamatwa.Kama unamwambia Makonda kaghushi onesha cheti chako kwanzaWalipotajwa akina Gwajima bila ushahidi mlibwabwaja pia sasa wamemgeuzia mnauliza ushahidi nyie siyo ndiyo mlikuwa mnasapoti watu kutajwa hadharani bila hata vidhibiti? Sasa naye wamemtaja bila vidhibiti na hii imebamba kama ile tu maana usiku huu tunajadili. What goes around comes around