Uchaguzi 2020 Kama ni kweli basi Kamati ya Roho Mbaya ya CCM hasa Jimbo la Kigamboni mkimaliza Kumlima Mtu mnione

Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine hata Mimi ' Popoma ' GENTAMYCINE nitamzidi Umaarufu kwani ukiwa ' Maarufu ' tu JamiiForums hapa jua umeshakuwa ' Nguli ' ndani ya Mioyo ya Watanzania hata Milioni 30 hapo

Unaambiwa ' Mkakati ' ulianzia mbali sana na Siku nyingi mno baada ya Mtu huyo ambaye namuita Mpuuzi kuweza ' Kuchokwa ' si tu na Taasisi ' Nyeti ' ambazo zimekuwa zikimsaidia Kazi ' Mteule ' waka bali hata ' Mteule ' wake nae alikuwa si tu ' ameshamchoka ' bali ' amekinaiwa ' nae na alibakiza tu ' Kumtapika ' ili apumzike kama alivyofanya hivi Majuzi

Alitafutwa Mtu ( tena Rafiki yake wa karibu ) na Mpuuzi ili ampe ' Bichwa ' kuwa ' anakubalika ' huko ' alikojitosa ' kwenye Fukwe zenye ' Ustaarabu ' mwingi Dar es Salaam nzima ili tu ' Mteuwaji ' wake apate sababu ya ' Kimsingi ' kabisa ya ' Kumtapika ' mazima mazima kama alivyofanya na unaambiwa hakuna Wiki ambayo Mteuwaji ' amepumua ' na ana ' furaha ' kama hii

Ili ' Kummaliza ' kabisa Mpuuzi huyo Kinachoenda Kufanyika Kwake huko ' Ufukweni ' alikokimbilia ni kwamba ile Kamati ya ' Roho Mbaya ' ndani ya Chama chake imeshapewa ' Maagizo ' makubwa kuwa wahakikishe ' Wanamlima ' Mtu mapema kabisa ambapo tayari kuna Mtu ameshaandaliwa huko japo Mpuuzi ' anajiaminisha ' kuwa atapita tu kwakuwa na ' Pesa ' nyingi za Dhuluma

Ama hakika sasa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE naamini rasmi kuwa Wahenga hawakukosea waliposema LENYE MWANZO LINA MWISHO.
PAUL AMEPITIA MAMBO MENGI MAZITO NA MAGUMU NA KTK KIPINDI HICHOHICHO AMEIFIA NCHI, EMBU TUIACHE CCM IFANYE KAZI YAKE KAMA CHAMA NA TUMWACHE RAIS AENENDE KTK TAASISI KUU NCHINI KWA AMANI...TUSIISHI KWA DHANA NA TUTAMBUE SIASA SIYO USANII ,SIASA NI MAISHA YETU HALISI....KAMA MZEE PHARESY KABUYE ANGALIKUWA HAI LEO ANGELIULIZWA KIJANA YULE WA MIAKA 29-30 ALIYEKUHENYESHA 1990 NDIYE HUYU JPM UNADHANI ANAGELIKUJIBU NINI? JPM ANAFAHAMU RAFU ZA CCM AMEYAISHI MAISHA HAYO....AMEPITIA KURA ZA MAONI ZA MWINYI,MKAPA,KIKWETE ...WAKATI MWINGINE ANAPOWASIHI WASTAHIMILI NI KWA VILE ANAYAKUMBUKA MATESO ALOYAPITIA KTK UVULANA WAKE ...BABA MZURI HAPENDI MATESO YAKE YAWE SEHEMU YA MAKUZI YA WANAWE...LAKINI PIA ANAPENDA STAHA NA SUBIRA ILA DAIMA HAFANYI MAAMUZI KWA KUKURUPUKA NA MSITARAJIE KUKOMOANA TOKA KWAKE. SIASA NI MAISHA MGUMU SANAAAAA. HAWA WANAFURAHIA ANGUKO HAWA WANAHUZUNIKIA ANGUKO BADO MNAMTAKA MMBEBA MAONO YA NCHI NAYE AWE SEHEMU YA MCHEZO HUO....RAIS AOMBEWE ATENDE KILA ANALOPASWA KULITENDA KWA HAKI NA MUNGU AMSAIDIE KWA MANUFAA YETU NA CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Kama ni kweri mungu yupo nasi, yaani mie hasira zangu uwa nammalizia RIZIIMOKO kwa kumfagilia kwa mshua kipindi cha dirisha dogo la lala salamaa pande za matejaa, nadhani mpaka leo Prince anajuta kumfahamu.
Kibaya zaidi huyo Ridhi1 kawa mdogo km priton kwa aliyempigia chapuo. Maisha n UKUTA.
 
Mara paap ametemwa Kigamboni, katika kutafuta faraja na kupunguza stress za uchaguzi anaamua kwenda nchi moja hivi visiwani bila kujua nchi hiyo ina makubaliano ya Extradition na nchi ya Pompeo. Hapa ndo utamsikia Mh RC mstaafu yuko Guantanamo kimasihara
nimecheka hadi baaas khaaaah sjui unawaza nn?
 
Back
Top Bottom