Uchaguzi 2020 Kama ni kweli basi Kamati ya Roho Mbaya ya CCM hasa Jimbo la Kigamboni mkimaliza Kumlima Mtu mnione

Mie simuamini kbs jiwe, Bashite mwanakujipendekeza hawezi kutia nia Kigamboni bila kumshirikisha God Father!.

kifupi wanatuchezea shere, lao ni moja!.

itoshe tu kusema Bashite ni Mbunge MTEULE wa kigamboni!!!.
It is a strategy to winning the game. Makonda knows what is doing. He is assured to remain "muntu juu".
 
Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine hata Mimi ' Popoma ' GENTAMYCINE nitamzidi Umaarufu kwani ukiwa ' Maarufu ' tu JamiiForums hapa jua umeshakuwa ' Nguli ' ndani ya Mioyo ya Watanzania hata Milioni 30 hapo

Unaambiwa ' Mkakati ' ulianzia mbali sana na Siku nyingi mno baada ya Mtu huyo ambaye namuita Mpuuzi kuweza ' Kuchokwa ' si tu na Taasisi ' Nyeti ' ambazo zimekuwa zikimsaidia Kazi ' Mteule ' waka bali hata ' Mteule ' wake nae alikuwa si tu ' ameshamchoka ' bali ' amekinaiwa ' nae na alibakiza tu ' Kumtapika ' ili apumzike kama alivyofanya hivi Majuzi

Alitafutwa Mtu ( tena Rafiki yake wa karibu ) na Mpuuzi ili ampe ' Bichwa ' kuwa ' anakubalika ' huko ' alikojitosa ' kwenye Fukwe zenye ' Ustaarabu ' mwingi Dar es Salaam nzima ili tu ' Mteuwaji ' wake apate sababu ya ' Kimsingi ' kabisa ya ' Kumtapika ' mazima mazima kama alivyofanya na unaambiwa hakuna Wiki ambayo Mteuwaji ' amepumua ' na ana ' furaha ' kama hii

Ili ' Kummaliza ' kabisa Mpuuzi huyo Kinachoenda Kufanyika Kwake huko ' Ufukweni ' alikokimbilia ni kwamba ile Kamati ya ' Roho Mbaya ' ndani ya Chama chake imeshapewa ' Maagizo ' makubwa kuwa wahakikishe ' Wanamlima ' Mtu mapema kabisa ambapo tayari kuna Mtu ameshaandaliwa huko japo Mpuuzi ' anajiaminisha ' kuwa atapita tu kwakuwa na ' Pesa ' nyingi za Dhuluma

Ama hakika sasa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE naamini rasmi kuwa Wahenga hawakukosea waliposema LENYE MWANZO LINA MWISHO.
Aaagh ANTIBIOTIC wee MRONGO km tumba mbichi😂😂😂 hakika una kipaji Cha kutengeneza MOVIE ndotoni.........
Duuuh
 
😞😞😞
 
Aliyekuwa Mkuu Wa Mkoa Wetu Kipenzi,kijana mwenzetu Mh.Makonda Jana Alipopanda Pale Stejini katika Show ya Zuchu alisema maneno matatu tu....Mimi Nitazungumzia Ya Mwisho;
1.............…..........
2....…...................
3.KILA MTU ANA NDOTO NA
NI VYEMA "kila" MTU KUSIMAMIA NDOTO ZAKE NA KUTOKATA TAMAA.

Karibuni Al Kasus Majohe Hapa.
 
Atapita usijipe presha Makonda lazima apite wajumbe wanamkubali wanajua akipita watakumbukwa .Makonda mtu wa shukrani.Kila mtu kwenye eneo lake ahakikishe Makonda anapita Kama anataka kukumbukwa .Kura zikienda ndivyo sivyo tusilaumiane mbeleni kuwa ohh Mimi nimesahaulika

Na wapinzani wake wacheza siasa za rafu wajue kwenye siasa Kuna kesho .Ukicheza rafu kesho yako ikiwa Giza usipige yowe
Kuna mdau kamtabilia atakuwa waziri wa mambo ya ndani
 
Back
Top Bottom