Kama ndio wewe utafanyaje???

kwa wastani ukikuta hivyo we wasamehe na usiseme lolote kisha nenda zako lakini hakikisha huduma zote unatoa hapo home wala usije kumuuliza ma waife wako kama kuna lolote
attachment.php

NIAMBIWA ETI JAMAA ALIJIFANYA ANACHUKUA TAI ALIYO ISAHAU NA KAMA HAKUWAONA VILE.

USILIPIZE KIASASI BALI LIPA UBAYA KWA WEMA.
 
Lakini dada kumbuka hata Paulo katika Biblia(sikumbuki mstari) amekataza watu kuachana ila katika suala la uzinzi hata yeye kigugumizi kilimshika.

Ok, msimamo wangu: Mimi nitamsamehe tu ila sitataka iwe siri kuu, lazima tuitane ndugu kadhaa(wachache tu) wa pande zote wafahamishwe kilichotokea na yeye atubu mbele ya hao ndugu. Lakini kabla ya kuita ndugu nitamuuliza kama bado anapenda kuendelea na mimi au kakolea kwa mgoni wangu, kwani naogopa kusamehe mke ambaye moyoni kumbe hanipendi tena. Baada ya yote nitamfuata mgoni wangu na kutaka fidia ya alichokifanya maana nikimkalia kimya atajiona mshindi ili hata akirudia tena kuwe na record tayari. Mengine yatategemea jinsi hali itakavyokua.

Kama ulimwomba Mungu kweli, kutokea kitu kama hiki si rahisi. lakini kikitokea kila mnacho kileleza hapa sidhani kama kitasaidia. Kuona hii picha ni rahisi kuliko kumwona jamaa ndani ya master bedroom yako. Unaweza ukazimia au ukafanya kitu ambacho utajutia maisha yako yote. Mungu atuepushe na haya. Kuwa mwaminifu na Mungu atakupa mwenza mwaminifu. Amina.
 
Hapana, kuna ndoa zingine hazina talaka ni mpaka kifo kiwatenganishe, ukiona hivo kunakitu huyo mume alisha kifanya akamuudhi mungu, pengine aliacha mkewe mpendwa akaimilikisha hiyo nyumba ndogo na ndo hiyo inayomfanyia hivo. Kwa wakristu kuna maandiko yanasema mume usipomtii mungu kitanda chako kitalaliwa na mwanaume mwingine.

Ndoa gani hizo???enzi hizi za magonjwa bado kuna watu mnadiriki kusema hivyo?...

unamshukuru Mungu kwa kukujulisha siri. baada ya hapo unatafuta amani kwanza na mkeo kisha na huyo mwizi. kumbukeni imeandikwa kuwa "ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi", na pia "tafuteni kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu ambao hakuna atakayemona Mungu asipokuwa nao". kwa kifupi hakuna haja ya magomvi, hayasaidii kitu. tunapaswa kuushinda ubaya kwa wema

Are you sure you can practise what you preach?
 
hapana, kuna ndoa zingine hazina talaka ni mpaka kifo kiwatenganishe, ukiona hivo kunakitu huyo mume alisha kifanya akamuudhi mungu, pengine aliacha mkewe mpendwa akaimilikisha hiyo nyumba ndogo na ndo hiyo inayomfanyia hivo. Kwa wakristu kuna maandiko yanasema mume usipomtii mungu kitanda chako kitalaliwa na mwanaume mwingine.

tupe verse husika, za hayo maandiko
 
haina noma namwacha jamaa amalizie kazi niliyoiacha kiporo............ndio nijifunze kuwa niwapo eneo latukio nifanye inavyopaswa...i love my wife

Tena unatakiwa kumshukuru mgoni kwa kukusaidia kazi ya kumridhisha spouse wako hasa unapokuwa busy.
 
attachment.php

NIAMBIWA ETI JAMAA ALIJIFANYA ANACHUKUA TAI ALIYO ISAHAU NA KAMA HAKUWAONA VILE.

USILIPIZE KIASASI BALI LIPA UBAYA KWA WEMA.

...kujiepusha na haya, unawajibika wewe mume kumtaarifu mkeo saa unarudi nyumbani, na ukifika nyumbani/chumbani gonga hodi mpaka mkeo akufungulie, ndipo uingie ndani.
 
jamani huo ndio mwisho wa dunia au just dalili???

Si mwisho wa dunia, ni busara tu na upole. Ugoni kama huo ni bahati mbaya tu kwa wahusika kwamba wamekamatwa, vinginevyo watu wengi wanafanya mambo kama hayo ila hawakamatwi tu. Sasa kunakuwa hamna sababu ya extreme measures kwa vile tu umemkamata. Wasamehe, halafu chunguza sababu au chanzo cha infidelity, si ajabu wewe mwenyewe unakuwa umehusika kwa namna moja au nyingine.
 
Lakini dada kumbuka hata Paulo katika Biblia(sikumbuki mstari) amekataza watu kuachana ila katika suala la uzinzi hata yeye kigugumizi kilimshika.

Ok, msimamo wangu: Mimi nitamsamehe tu ila sitataka iwe siri kuu, lazima tuitane ndugu kadhaa(wachache tu) wa pande zote wafahamishwe kilichotokea na yeye atubu mbele ya hao ndugu. Lakini kabla ya kuita ndugu nitamuuliza kama bado anapenda kuendelea na mimi au kakolea kwa mgoni wangu, kwani naogopa kusamehe mke ambaye moyoni kumbe hanipendi tena. Baada ya yote nitamfuata mgoni wangu na kutaka fidia ya alichokifanya maana nikimkalia kimya atajiona mshindi ili hata akirudia tena kuwe na record tayari. Mengine yatategemea jinsi hali itakavyokua.

kwanza hakuna haja ya ku-publish masuala kama haya . hiyo itakuwa ni kumuaibisha mkeo. rejea kuwa yusuph alipogundua kuwa mchumba/mkewe mariamu ni mjamzito, aliazimia kumuacha kwa siri asitake kumuaibisha (Math 1:19). hii ni kwa kuwa alikuwa mu wa haki. kama kweli nawe ni mtu wa haki huapaswi kupublish aibu ya mwenzio. kama utaamua kumuacha basi fanya ka siri kumlindia na kumhifadhia heshima yake. ndipo atakapojiona mkosefu na mwovu na hakika utamsaidia kutubu kwa dahti ya moyo

pili unasema unaogopa kumsamehe mwanamke ambaye hakupendi. kusamehe ni wajibu unaotokana na upendo na kutambua kuwa hakuna aliye mkaminilifu ila Mungu pekee. tunasamehe kwa kuwa nasi tunahitaji msamaha wa Mungu (Mat 6: 12, 14-15) kwani kama Mungu angehehesabu (bila kusamehe) maovu yetu hakika hakuna ambaye angesimama

mwisho mgoni wako naye kama mkeo anahitaji msamaha wako kama ambavyo nawe unaitaji msamaha wa Mungu. kudai fidia ni solution za kibinadamu amabzo hazina uwezo wa kupunguza uovu duniani. solution ya kimungu ni kusamehe na kusahau. kumbuka kumuombea hata adui zako akiwemo na huyo mgoni wako. hakika nakuambia utakapomsamehe kwa kosa kubwa kama hilo atakupenda , kukuheshimu na "kukuogopa" zaidi kwani hofu ya Mungu itamwingia. usishangae wakishikana mikono na mkeo na kukuangukia miguuni. kumbuka asamehewaye kidogo hupenda kidogo, bali asamehewaye zaidi hupenda zaidi

ubarikiwe mpendwa
 
asante kwa injili
 
Kuna watu hawana hofu ya Mungu hivyo inabidi washughulikiwe kidunia dunia, ukiwa fichia siri unakuwa umewapa ushindi na watakuona jinga fulani, zaidi sana watapanga mikakati ya kuendelea kufanya kwa siri zaidi na pengine ikawanogea wakaamua wakuuwe tu ili waendelee kwa uhuru, haya mambo yametokea katika jamii. Hata Biblia imesema mtu akikosea waite jamaa zako kwa usuluhishi. Kikubwa ni kuita watu wachache unaoona wana hekima, usiite jumuiya nzima.

Fidia nitayodai kwa mgoni wangu nayo sitafanya kuwa jambo la jumuiya na wala sitadai kupitia mahakamani na asipo lipa basi lakini ukweli unabaki kuwa nilimdai fidia, na akilipa hiyo hela nalisha mayatima kudhihirisha upendo nilionao na kwamba sijinufaishi na uzinzi wao. Lazima nionyesha kila aina ya muonekanao kwamba sikufurahishwa na kitendo chao, halafu nasamehe.
 
ndugu kumbuka kuwa vita tunavyopigana si vyetu bali ni vya Bwana. solution za kidunia are there just to fail. Godly solution ni kuushinda ubaya kwa wema. lakini nimefurahi sana ulipomalizia kwa kusema kuwa eventually utawasamehe. hakika tukiwasamehe watu makosa yao ndipo na Baba yetu aliye mbinguni atattusamehe na sisi pia. imeandikwa heri wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu (mt 5:9). ubarikiwe sana mpendwa
 
Back
Top Bottom