Kama ndio wewe utafanyaje???

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
attachment.php

NIAMBIWA ETI JAMAA ALIJIFANYA ANACHUKUA TAI ALIYO ISAHAU NA KAMA HAKUWAONA VILE.

USILIPIZE KIASASI BALI LIPA UBAYA KWA WEMA.
 
sasa nani aombe msamaha? Maana hatujui mazingira yote ya hiki kisa ka vp 2brief
 
unaendelea na shughuli zako tu kama hakuna kilichotokea.
 
Nawasalimia na kuwaomba samahani kwa kuingilia starehe yao kisha natoka nje ili wamalizie game yao kwa uhuru.
 
Unawapiga picha then waenda mahakamani kuwashtaki upate talaka na fidia katika Hali Kama hiyo mke anakosa haki
 
unamshukuru Mungu kwa kukujulisha siri. baada ya hapo unatafuta amani kwanza na mkeo kisha na huyo mwizi. kumbukeni imeandikwa kuwa "ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi", na pia "tafuteni kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu ambao hakuna atakayemona Mungu asipokuwa nao". kwa kifupi hakuna haja ya magomvi, hayasaidii kitu. tunapaswa kuushinda ubaya kwa wema
 
mwanaume unapaswa kuandika talaka hapo hapo,unamkabidhi kisha UNAWAFUKUZIA mbali wote wawili!,haiwezekani wakafanyia uchafu wao ndani ya himaya yako!!!.....

***Najua utakuwa na nyumba ndogo mahali,sasa ni muda muafaka wa kuwaza kuifanya iwe nyumba kubwa!!!!..:redfaces::redfaces::redfaces: cha muhimu ni kujikagua wapi ulikosea ili makosa km hayo yasijirudie tena.
 
mwanaume unapaswa kuandika talaka hapo hapo,unamkabidhi kisha unawafukuzia mbali wote wawili!,haiwezekani wakafanyia uchafu wao ndani ya himaya yako!!!.....

***najua utakuwa na nyumba ndogo mahali,sasa ni muda muafaka wa kuwaza kuifanya iwe nyumba kubwa!!!!..:redfaces::redfaces::redfaces: Cha muhimu ni kujikagua wapi ulikosea ili makosa km hayo yasijirudie tena.

inamaana nyumba ndogo nazo zinaumuhimu wake?? Au siyo pauline??
 
unamshukuru Mungu kwa kukujulisha siri. baada ya hapo unatafuta amani kwanza na mkeo kisha na huyo mwizi. kumbukeni imeandikwa kuwa "ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi", na pia "tafuteni kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu ambao hakuna atakayemona Mungu asipokuwa nao". kwa kifupi hakuna haja ya magomvi, hayasaidii kitu. tunapaswa kuushinda ubaya kwa wema

Ubarikiwe mama. Somo gumu hili. Kwa neema ya Mungu tu inawezekana.
 
unamshukuru Mungu kwa kukujulisha siri. baada ya hapo unatafuta amani kwanza na mkeo kisha na huyo mwizi. kumbukeni imeandikwa kuwa "ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi", na pia "tafuteni kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu ambao hakuna atakayemona Mungu asipokuwa nao". kwa kifupi hakuna haja ya magomvi, hayasaidii kitu. tunapaswa kuushinda ubaya kwa wema

Ati????????????????
 
Back
Top Bottom