Kama ndio wewe utafanyaje???

unamshukuru Mungu kwa kukujulisha siri. baada ya hapo unatafuta amani kwanza na mkeo kisha na huyo mwizi. kumbukeni imeandikwa kuwa "ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi", na pia "tafuteni kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu ambao hakuna atakayemona Mungu asipokuwa nao". kwa kifupi hakuna haja ya magomvi, hayasaidii kitu. tunapaswa kuushinda ubaya kwa wema

Lakini dada kumbuka hata Paulo katika Biblia(sikumbuki mstari) amekataza watu kuachana ila katika suala la uzinzi hata yeye kigugumizi kilimshika.

Ok, msimamo wangu: Mimi nitamsamehe tu ila sitataka iwe siri kuu, lazima tuitane ndugu kadhaa(wachache tu) wa pande zote wafahamishwe kilichotokea na yeye atubu mbele ya hao ndugu. Lakini kabla ya kuita ndugu nitamuuliza kama bado anapenda kuendelea na mimi au kakolea kwa mgoni wangu, kwani naogopa kusamehe mke ambaye moyoni kumbe hanipendi tena. Baada ya yote nitamfuata mgoni wangu na kutaka fidia ya alichokifanya maana nikimkalia kimya atajiona mshindi ili hata akirudia tena kuwe na record tayari. Mengine yatategemea jinsi hali itakavyokua.
 
mwanaume unapaswa kuandika talaka hapo hapo,unamkabidhi kisha UNAWAFUKUZIA mbali wote wawili!,haiwezekani wakafanyia uchafu wao ndani ya himaya yako!!!.....[/COLOR][/SIZE][/FONT]

Hivi talaka inaandikwaje? I mean contents za talaka zikoje? Naomba msaada...! Inatakiwa isainiwe? Iwe na tarehe? Kosa alilotenda unaliezeaje?
 
Lakini dada kumbuka hata Paulo katika Biblia(sikumbuki mstari) amekataza watu kuachana ila katika suala la uzinzi hata yeye kigugumizi kilimshika.

Ok, msimamo wangu: Mimi nitamsamehe tu ila sitataka iwe siri kuu, lazima tuitane ndugu kadhaa(wachache tu) wa pande zote wafahamishwe kilichotokea na yeye atubu mbele ya hao ndugu. Lakini kabla ya kuita ndugu nitamuuliza kama bado anapenda kuendelea na mimi au kakolea kwa mgoni wangu, kwani naogopa kusamehe mke ambaye moyoni kumbe hanipendi tena. Baada ya yote nitamfuata mgoni wangu na kutaka fidia ya alichokifanya maana nikimkalia kimya atajiona mshindi ili hata akirudia tena kuwe na record tayari. Mengine yatategemea jinsi hali itakavyokua.
fidia ?
so km malipo vle kwa kutumia /kupanga chumba chako?
 
Unawapiga picha then waenda mahakamani kuwashtaki upate talaka na fidia katika Hali Kama hiyo mke anakosa haki

mh we mchaga?
so pbm ni fidia n nt love?relation?ni KWAMBA WALIPE TU FIDIA+USHAIDI WA PICHA BAS MKE HAAMBULII KITU?
Mweeeee na ukimkuta mkeo yupo ft haitaji ivo vikoch na jiko la ges HAITAKUUMA ZAID?
 
mwanaume unapaswa kuandika talaka hapo hapo,unamkabidhi kisha UNAWAFUKUZIA mbali wote wawili!,haiwezekani wakafanyia uchafu wao ndani ya himaya yako!!!.....

***Najua utakuwa na nyumba ndogo mahali,sasa ni muda muafaka wa kuwaza kuifanya iwe nyumba kubwa!!!!..:redfaces::redfaces::redfaces: cha muhimu ni kujikagua wapi ulikosea ili makosa km hayo yasijirudie tena.[/COLOR]

icho ndo cha msingi.
akienda uko nyumba ndg na akafanya madudu anaweza akafumania tena its just ....wazungumze n nt kumpa talaka...
afta lo yeye mbna ana nyumba ndg sa iweje kimuume sana ?
au pbm kafanyia hm ?if so yanazungumzika ayo.
 
haina noma namwacha jamaa amalizie kazi niliyoiacha kiporo............ndio nijifunze kuwa niwapo eneo latukio nifanye inavyopaswa...i love my wife
 
mh we mchaga?
so pbm ni fidia n nt love?relation?ni KWAMBA WALIPE TU FIDIA+USHAIDI WA PICHA BAS MKE HAAMBULII KITU?
Mweeeee na ukimkuta mkeo yupo ft haitaji ivo vikoch na jiko la ges HAITAKUUMA ZAID?

Ndio maana mi nawafunza adabu wote, :teeth:
 
attachment.php

NIAMBIWA ETI JAMAA ALIJIFANYA ANACHUKUA TAI ALIYO ISAHAU NA KAMA HAKUWAONA VILE.

USILIPIZE KIASASI BALI LIPA UBAYA KWA WEMA.

Watu wa hivyo unawaacha tu, unamwachia mungu adili nao. What goz arnd cms arnd.
 
unamshukuru Mungu kwa kukujulisha siri. baada ya hapo unatafuta amani kwanza na mkeo kisha na huyo mwizi. kumbukeni imeandikwa kuwa "ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi", na pia "tafuteni kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu ambao hakuna atakayemona Mungu asipokuwa nao". kwa kifupi hakuna haja ya magomvi, hayasaidii kitu. tunapaswa kuushinda ubaya kwa wema

Mh Judy kwa hali ya kibinadam na magonjwa yalivokua mengi hapana, inabidi kupima, kama ndoa inatakiwa kuheshimiwa na kila mtu, why kitanda mnacho lalia amlaze mtu mwingine mh mungu nae alieweka kusamehe alimaliza yote.
 
mwanaume unapaswa kuandika talaka hapo hapo,unamkabidhi kisha UNAWAFUKUZIA mbali wote wawili!,haiwezekani wakafanyia uchafu wao ndani ya himaya yako!!!.....

***Najua utakuwa na nyumba ndogo mahali,sasa ni muda muafaka wa kuwaza kuifanya iwe nyumba kubwa!!!!..:redfaces::redfaces::redfaces: cha muhimu ni kujikagua wapi ulikosea ili makosa km hayo yasijirudie tena.

Hapana, kuna ndoa zingine hazina talaka ni mpaka kifo kiwatenganishe, ukiona hivo kunakitu huyo mume alisha kifanya akamuudhi mungu, pengine aliacha mkewe mpendwa akaimilikisha hiyo nyumba ndogo na ndo hiyo inayomfanyia hivo. Kwa wakristu kuna maandiko yanasema mume usipomtii mungu kitanda chako kitalaliwa na mwanaume mwingine.
 
mh we mchaga?
so pbm ni fidia n nt love?relation?ni KWAMBA WALIPE TU FIDIA+USHAIDI WA PICHA BAS MKE HAAMBULII KITU?
Mweeeee na ukimkuta mkeo yupo ft haitaji ivo vikoch na jiko la ges HAITAKUUMA ZAID?

Komesha, wanawake wengine hawana mpango na viji vitu.
 
Back
Top Bottom