tatizo kijana wa konyi kajiingiza kwenye kundi baya la wakina biggy na wewe B
hommie nilikua sijasoma hii....Ahsate kwa kunipa moyo alafu hommie ujue hi zambi yako ohoo!!
hahaha we ngoja nitahakikisha amesoma hapa afu uone kama utapita mtaani kwetu leo!
Hommie nipo maeneo ya counter nimevaa kofia "Mungu asinione"
nifate nini mtaani kwenu?? on m y way to Ikwiriri now!!
haya...utanikumbuka B!
Hommie hivi leo siku gani vile? Hapo umevaa saa au?
hahaha we ngoja nitahakikisha amesoma hapa afu uone kama utapita mtaani kwetu leo!
Hommie nipo maeneo ya counter nimevaa kofia "Mungu asinione"
Hapo kaunta leo yuko Eliza au Asumani?
wapi nikifika Ikwiriri au??
jiendekezeni hivo hivo
wakati mamba anakutafuna B!....Bora hata angekutafuna kisamaki samaki walau ungemwangalia kwa jicho la huruma lakini mamba atakumeza mzima mzima na hurudi wala hufurukuti! ohoo...(am out)
Mamushka nikufuate huko ndani au unakuja hapa? Hii dingirizi imenitoa vibaya. Wikiendi lazima tuserebuke.
Mambo bado mambo bado!
Mambo baaaadooo!
Magoma kitakita ya Nairobi
Mambo baaadoooo!
Itabidi tuhamie PM hommie. Ile kitu ya aramba hapo kaunta si yenyewe.Elizaaaaaaaaas full kujiachia Hommie! yaani hapa we acha tu sijui hata kama chako ni chako nitafika leo!
jamani mwenye elimu ya majuu lakini si lolote kwa mumewe alijitokeza hapa JF?! manake da sophy alikuwa akimtafuta
Mamushka nikufuate huko ndani au unakuja hapa? Hii dingirizi imenitoa vibaya. Wikiendi lazima tuserebuke.
Mambo bado mambo bado!
Mambo baaaadooo!
Magoma kitakita ya Nairobi
Mambo baaadoooo!
tatizo kijana wa konyi kajiingiza kwenye kundi baya la wakina biggy na wewe B
Si tukajiunge na SEREBUKA ya TBC tuchukue milioni 25? kwa ari hii ni lazima tutashinda
nifate bana, ujue nimemisi sana kufatwa biggy!!!
hahaaaa leo tuwekeke kituo pale gorofani basi tukisubiria foleni!!!
hahaaaaa mawigi biggy atavaa kweli??