Kama natoka na mumeo...


Hiki ndicho walichojaaliwa kinamama lakini wanaume wamenyimwa kabisa. Wanaume wanaoweza kufanya hivi kwa wake zao wajiorodheshe haa (sitashangaa asipojitokeza yeyote!). Wapo wanaodai wanaweza kusamehe, lakini inakuwa magirini tu, kila siku akiudhika anakukumbusha ulichotenda! Kwa hiyo habari ya 'raha mustarehe' bado nina mashaka nayo.
 
Hivi weekend si leo nafanya nn sa hii kwa mkoloni!! Ngoja tufanye the needfull tukakutane na kina Da Sophy!!
 

Mi nimemshamehe kama yy bado anawasiwasi na matendo yake ya nyuma shauri yake mradi mi na watoto tunapata kile anachostahili kutoa kama baba, ila najua ingekua mi nimemtenda huenda aningekua single mom au watoto wanaishi na amam wa kambo sasa! Japo ndio sometimes nikikumbuka naumia najitahidi past isiharibu present yetu na future namwachia Mungu aamue! Wanawake tuna mioyo myepesi au tuseme dhaifu niwepesi kudanganyika kama da sophy!
 
I will never fight, in my case, for a woman. If my woman cheats on me with another man, then I'll deal with her. It's her who let it happen. Not the other man. That's my philosophy.
 
I will never fight, in my case, for a woman. If my woman cheats on me with another man, then I'll deal with her. It's her who let it happen. Not the other man. That's my philosophy.

and vice versa to me!
 
hahaaaaaa kwemye chaki nimecheka mpaka nalia sasa!!!

na wewe unachanganya mchele na chuya ndo nini?
zote huwa zinakaa sehemu moja. ukirudisha chuya kwenye mchele, ni sawa na kurudisha sime kwenye ala yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…