eeka meku....kosa la da Sophy hapo ni kuutangazia umma ama ni kusema sema ovyo mkulu?
Fab Mambo?kAIZER IS A HAPPILY MARRIED MAN WITH A HAPPY FAMILY!!!
NOTED!!!!thanks!
Noted without thanks (kale kabatan hivi umekaona Fab? Afu usitishike maji ya moto hayachomi nyumba)
tehe tehe!!!!! check kwenye chaki sasa!!! nimefikiria vyema.
listredi linakimbia sana.......kaizer na bht ndo wame-take off!!
mkuu, watu kibao wanaoa bila kukonsider dhamiri za ndoa. Lakini pia, mademu wengi sana wanang'ang'aniaga kuolewa........matokeo yake ni lazima jamaa atakuwa anapakua mchele kwenye majiko mengine.
Kwenye hili nina experience, wala usiniulize!!
Hapa ilikua ni ishu ya BAKITA, nothing hidden!jibu umepewa hapa kw achini kidogo
alafu na wewe tabia za usungura sungura na kuwa sllipery umezitoa wapi??
eeka meku....kosa la da Sophy hapo ni kuutangazia umma ama ni kusema sema ovyo mkulu?
Hii Sredi imezua mambo...na hii weekend ngoja nitafute kikopo baridi hapa
Da Sophy uko off leo?
Kuna mtu kazungumzia Marangu pale Kimara bucha??? Na mwingine Korogwe???
Fab Mambo?
Eheeeee!
Sehemu kama hizi ndio mimi huwa naliaga wivu. Hommie ndio nini sasa?
Hapa ilikua ni ishu ya BAKITA, nothing hidden!
Its 1830.Kiongozi chonde chonde!
Usitutie katika vishawishi lakini utuokoe maovuni..... (hebu angalia saa yako hapo)
Ukirudi unalia usinitafute......(kama hujanielewa nyoosha kidole)Hii Sredi imezua mambo...na hii weekend ngoja nitafute kikopo baridi hapa
Da Sophy uko off leo?
sasa nimepanic
Maneno manenooo mimi sipendelei!!
Tatizo wakipewa za ki-Hongkong wanatangaza ooooh!! wewe wapewa za kichina mm mwenzio ndo nafaidi!!
Unajuaje kama mwenzio anapata za ki-German na Ki-Rassia???
Hommie vipi tena kwani unafatiia sredi?:confused3:
sasa nimepanic
Hapana hommie, nasoma katikati ya sentensi.
Kadude kweli kananiwasha sawa kabisa na mkeo kanavyomuwasha, kwani cha ajabu nini kwani mimi si mwanamke kama huyo mkeo. Na kameumbwa kwa ajili ya mwanaume, sasa kama huyo aliyeonesha nia na kunipenda ni mume wa mtu na mimi nimempenda unataka nifanye nini, nikae tu nijifanye sijisikii chochote au nikatafutane na asiyenipenda kama wanavyofanya machangu? Kila binadamu ana haki ya kushirikiana mapenzi na yule mwenye mapenzi naye, tuache unafiki.