Kama natoka na mumeo...

Kama natoka na mumeo...

Hii inaonekana wazi iko addressed to a certain 2nd person, huyo anayeibiwa mume. Lakini kwa jinsi ilivyosomwa na kuchangiwa na wengi (mimi nimeweza tu kusoma pages mbili za mwisho niko kibaruani na bosi mkali!), inaonekana ni mada inayogusa wengi, ni kama kuchoma chumba kimoja kwenye nyumba ya ghorofa hata 10, jengo zima watahaha.

Pengine is it something we are unable to control, kwamba iwe isiwe lazima wawepo watu wasio waaminifu katika ndoa zao? Labda japo measures za impact mitigation if we can't prevent it? Hizo pages 3 nilizosoma sijaona dalili kama anatumia condom huyu dada.

Issue nyingine ni huyu aliyeelekezewa kombora hili, nadhani inafaa kufundishana pia jinsi ya ku-react to such incidents. Pengine tutoe michango ya kwamba kwa mwanamke aliyeolewa akikumbana na mtu wa Da Sophy type, ni hatua gani muafaka za kuchukua.

Mkuu Mtu B thanks for the metaphor and the analysis, ndicho ninachosema hapa hebu tuweke ubishi pembeni lets face the issue .......
 
aaah potelea mbali mi ningezipiga tu na huyu!! wa ukweli huyu dada ana nyodo duh!!! dizaini wa buguruni kwa mnyamani huyu!!

afu B ikwiriri mi ndo nshajiandaa mwezi mmoja kabla, just waiting for my SM hahahaaalol!! nimefika point of no return wewe subiri feed back tu!!!!

hivi huwa ipo hii B?:rolleyez:
 
dudu!!!!

knowing is for me and me only!...ndio utamu wenyewe Kaizer

vipi umeoa? :rolleyez::behindsofa:

yes, nadhani from there tunaweza kudiscuss huo utamu pamoja au?:rolleyez:
 
Nimalize kwa kusema, jamaa pamoja na hao wanawake wake wanapotezeana muda tu!! the guy, should consider his options as a man and devise an exit strategy........start all over.

Hats off cousin!

@Da Sophy weye kweli ni chiboko! Nyumba ndogo unakula 100% asa miaka yote hiyo jamaa anasubiri nini kugeuza matokeo ya mechi?
 
Mkuu Mtu B thanks for the metaphor and the analysis, ndicho ninachosema hapa hebu tuweke ubishi pembeni lets face the issue .......

AAH MI LEO NASOMA TU!!!

dudu!!!!

knowing is for me and me only!...ndio utamu wenyewe Kaizer

vipi umeoa? :rolleyez::behindsofa:

ijumaa leo duh!!

kAIZER IS A HAPPILY MARRIED MAN WITH A HAPPY FAMILY!!!

hivi huwa ipo hii B?:rolleyez:

ndipo nilipofika mimi kwa hiyo ipo!!! ila huyu wa ikwiriri na yeye bana hebu ngoja aamke kwanza ana kesi ya kujibu ujue B!!! HIVI KWELI NA WEWE UNANIACHA MDOMONI MWA MAMBA??
 
Hivi hapa kinachosemwa ni kwamba aibe mme wa mtu ila asijisifie au asiibe kabisa?
Na kama hajapata wa kumuoa afanyeje?
Hivi tunakwepa ukweli kwamba haiwezekani wanawake wote wakaolewa?
 
Habari zenu wanadamu wenzangu?

Mnaonaje nikaanzisha thread nyingine? mmesahau leo ni ijumaa?
 
heheeee usijali nina uhakika una defence y aprovocation hapo

unajua n ini bht
haiwezekani mtu una mtu wako halafu bado uone kutembea na mtu mwingine ni jambo zuri
tena mme wa mtu halafu jamiii ikakwangalia tu

hana maana huyu dada,
hana adabu

ana bahati sijakutana nae huyu
 
Pambano ............................Pambano..................................Pambano

Kwa udhamini mkubwa wa JF tunakuletea Pambano la ngumi za kibarazani kati ya

Da Sophy naaaaaaaaaaaa

Kiingilio; keyboard yako!
 
AAH MI LEO NASOMA TU!!!



ijumaa leo duh!!

kAIZER IS A HAPPILY MARRIED MAN WITH A HAPPY FAMILY!!!



ndipo nilipofika mimi kwa hiyo ipo!!! ila huyu wa ikwiriri na yeye bana hebu ngoja aamke kwanza ana kesi ya kujibu ujue B!!! HIVI KWELI NA WEWE UNANIACHA MDOMONI MWA MAMBA??


ebu kagua apo juu nimedo ze nidiful B,,

Huko mdomoni watoto wa siku hizi ndo mnakopenda yaani kila kitu mnataka kinyume, haya kisa cha kuingia mdomoni mwa mamba na unajua akifumba tu imekula kwako ndo nini (u know i dont want to loose u)
 
JAmani hivi ni kweli utamu wa mume ni hilo mlilotaja?

Mimi nina mtazamo tofauti. Utamu wa mume/mke for that matter ni ile package yake nzima- Kwangu nitaumia kama ule ucheshi, matani, urafiki na upendo alionao utapotea au kuhamia kwa hawara than kunyimwa dudu. Kwa sababu hata awe anakuja na kujilazimisha achomeke kila siku kama ile hali ya uyeye yaani package yake kama yeye haipo tena hakuna cha utamu hapo.
 
Habari zenu wanadamu wenzangu?

Mnaonaje nikaanzisha thread nyingine? mmesahau leo ni ijumaa?

fanya hivo asap kiumbe wewe!!!
watu wanakomaa na mavitu magumu magumu tu hata wikend................
 
Hivi hapa kinachosemwa ni kwamba aibe mme wa mtu ila asijisifie au asiibe kabisa?
Na kama hajapata wa kumuoa afanyeje?
Hivi tunakwepa ukweli kwamba haiwezekani wanawake wote wakaolewa?

hii ndo issue mkulu Roya Roya.,,,....

wera weraaaaaaaaaaaaaa (baba hapendi!)
 
Sihitaji mtu anayetafuta mchumba, nahitaji mtu anayenipenda. Hivi kama mtu shida yake ni kunioa tu lakini kumbe hanipendi kiukweli, atanifaa nini, si ataishia kunioa halafu akipata anayempenda ataanza kutuchanganya? Bora nikae na anayenipenda, ikitokea anaweza kunioa bora zaidi, lakini si kuolewa tu alimradi, no, nakataa.

lakini da sophy endi hizo mwenzio nae aliambiwa anapendwa na akaamini kama yy alivyoamini na sasa anatendwa so subiri nawe utajatendwa na huyo umpenda na si kwa mkewe bali atampata da sophy mwingine
 
ebu kagua apo juu nimedo ze nidiful B,,

Huko mdomoni watoto wa siku hizi ndo mnakopenda yaani kila kitu mnataka kinyume, haya kisa cha kuingia mdomoni mwa mamba na unajua akifumba tu imekula kwako ndo nini (u know i dont want to loose u)

kosa ni lako kwa sababu umenificha athari zake na unaniacha njipeleka huku ukijua yatanikuta makubwa!!

baadae utaanza kusema oooh nilijua tu huu ndo utakuwa mwishoo................yaani siku hiyo utajuta B wa ukweli!! bora ujiwele plasta mdomoni mwenyewe
 
Back
Top Bottom