Hommie si umeaga wewe huku umerudi kufanya nn?
kwani mama matesha hayupo? utawaweza hao mwenyewe? mi kiinglish no kukimanya sana!
Twendeni kwa amani? (Wapi?)
Duh imeniuma yaani katutukania waume zetu na sie wenyewe!! Alikuwa na haja gani kuweka neno na wake zenu? kweli mswahili ni mswahili hata umvue msuli!!Ni kweli aliongea hivyo huku akishangiliwa na wale wazee wakukodi kwa sh 20,000
Mh mie ndo maana nashindwa kuuelewa umuhimu wa ndoa maana naona wanaume huyu alopost hii anahalalisha tendo hilo sijui akitokea mwanamke naye aseme hayo kuwa wake kuleni nje kwa akili sio mnadharau hata waume sijui kama patakalika
mwingine huyu ...
Baba Enock samahani hiyo signature yako ndivyo ilivyotamkwa na mh. Rahisi? Kuwa yaani hata kura zenu waume zetu na za kwetu wake zenu tusipoipa sisiem itashinda tu?? Aliyasema hayo kama yalivyo au umeongezea chumvi??
ndo katokea machimachi gest hausi.
ha ha ha mi sipendagi mtu anaetoa kila kitu bana!!
mmh hizitaki mbichi hizi eeh
mmh afu Biggy njoo kwanza nikuambie kitu ndo tuondoke!!!!
atatuweza kwani anatubeba mgongoni?
kwani mama matesha hayupo? utawaweza hao mwenyewe? mi kiinglish no kukimanya sana!
Twendeni kwa amani? (Wapi?)
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?
shshshh polepole haumchunguzi mbona hujanishtukia?Nisimchunguze nichekwe? Yule ni mali yangu peke yangu!
utanunua??? ukienda huko hutoki labda tukufate n atingatinge lije likung'oe
mmh afu Biggy njoo kwanza nikuambie kitu ndo tuondoke!!!!
Weeee!! labda useme niangukie kwako ndo hawatanitoa, hata Bala akashtaki the hague!! ahahahaa!!
hahaaaaa haki ya nani uko sahihi MekuHizo za kina Da Sophy zishaoza sio mbivu tena Lol!
Mamushka niendelee kukusubiri hapa nje au nikufuate humo ndani?
hajui tu huyu BigiritaUmeonae? Hata kama ingekuwa kuwabeba mgongoni bado nisingeshindwa.
Umeonae? Hata kama ingekuwa kuwabeba mgongoni bado nisingeshindwa.
mmmh!! mi nilifikiri kuwapakata ndo ungeweza!!!
hahaaaa kwani kwangu kuna supa glue???
hahaaa wewe hebu toka huko samaki samaki uhamie machimachi guest houzi sasa ukapumzike kwa amani!!!
Da Sophy uliamua vipi kutoka na mume wa mtu? au nikuulize ulianza anza vipi? considering unajiheshimu 100%