Kama natoka na mumeo...


Hapo pa red, umeweka hidden camera chumbani kwa jamaa nini maana inaonekana una full data!!! pole


Hebu nikuulize swali Da Sophy kama hutojali................... hadi sasa na huyo mwenye bahati mna muda gani tangu mkutane?
 

Mhhhhhhhhhhhhhhhh.......weli nimeamini ule msemo unaosema "Akili zake..........changanya na zako"

Kazi kwelikweli
 
Unanitosha wewe bana.........Sina haja na mwingine...Matatizo tu

na nyie ndo mnaendaga kuyatafuta haya matatizo huku mkijua................

jamani muwe na huruma wakati mwingine!!!!!
 
Dada mmoja alizoea kuwaambia watu wa namna hii ...... jihangaisheni tu ila mkumbuke kuwa mie ndo wa kwanza kuiona asubuhi na wa mwisho kuiona usiku- yaani lazima niione kila siku!!

Dada yetu sophy hataki kuliona hilo! :gossip:maneno mawili matatu ya uongo anayopewa kuhusu mama mwenye nyumba yanamfumba macho!:sad:
 


yaani ckujua bado kuna wanawake wa type yako waliosalia kwenye huu ulimwengu......HALAFU UCJIDAI NDOA ZA KIKRISTU CJUI NINI NA NINI, MWAMBIE MHAMIE MBALI BAC JAPO AMKIMBIE MKEWE KWA AJILI YAKO KAMA ATADHUBUTI...wanaume baadhi huwa na tabia hiyo ya kuwasema wake zao vibaya ili watimiziwe mahitaji yao, miaka nenda rudi utakuwa nae utaambiwa baya la mkewe kila kukicha lakini huyo huyo mwanaume hadhubutu kumwacha huyo mkewe unaeckia mabaya yake, mnadanganywa kama watoto wanaoanza mapenzi leo na mnadanganyika, yaa ni cjui nikueleze vipi wewe mdada, na uolewi coz ya matabia yako kama haya...nani mwenye akili timamu akutake kukuweka ndani?..BIG UP KWA HUYO MWANAMKE MWENZANGU AMBAE NI MKE HALALI MANA ANAKUTESA KWELI KWELI NA WEWE KUJIDHALILISHA BURE TU....
 
dada yetu sophy hataki kuliona hilo! :gossip:maneno mawili matatu ya uongo anayopewa kuhusu mama mwenye nyumba yanamfumba macho!:sad:


yaani hawataki kulitambua hilo kabisa...jamani huwa mnaambiwa uongo mtupu.
 
na nyie ndo mnaendaga kuyatafuta haya matatizo huku mkijua................

jamani muwe na huruma wakati mwingine!!!!!

halafu wanatumbukia kwa watu kama hawa...yaani tabu tupu.
 
Bahati nzuri unatambua kuwa huyo ni mume wa mtu ndiyo maana unamfukuzia kwa mke wake, ni wake si wako. Tafuta wa kwako , hujachelewa, kwani we una mpango wa kubaki naye siku zoooote? Haifai mwachie mwenyewe ili alee watoto wake, unawadhulumu mapenzi ya Baba yao .
 

Ya'ilaah .. toba!
 
hehehe ndio maana nikasema nasepa hii sredi , hii sredi iko fulu ambiguas. haihitaji kuwa na phd kugundua kwamba samsing wrongi somewhere in zis sredi.

Dah mm macho makavu nilikuwa nimekomaa tu kumbe hakuna maana hapa ngoja nijipotezee.
 
Da Sophy anadanganyika huyo mwanamme anataka kumtumia
kama alikuwa anampenda kweli asingeharibu maisha yake
kwanza ni mkristo ndoa ya mke mmoja hawezi kuongeza mke mwingine kwa hiyo Da Sophy ndio mapozeo mwisho wa siku jamaa atarudi kwa mke wake na kutulia ..kwa sasa naona anahangaika tu
 

yeah! kidedeaaaa!!!! wanchumu huku wanshika kuleeee! oooh! kidedeaaa!~!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…