Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,643
- 6,817
Viapo ni nini? Nani aliwahi kufa kwa kukiuka kiapo? Huo ni ugonjwa tunaopandikiziwa akilini kutiwa umbumbumbu.Kumbuka Dodoma hawakufanya major operation walifanya Kitu kinaitwa resuscitation ni kumrudisha mgonjwa Katika hali yake ya kawaida kwa kuhakikisha vital signs zote ziko stable na no more bleeding na kuondoa hizo baadhi ya risasi
Kule Nairobi wamefanya major operation ambako Sasa ni rahisi Kuona kila Kitu huko ndani na kutoa ndiyo maana idadi inatofautiana.
Usijenge dhana ambayo Haipo kabisa kama vile Dodoma madaktari waliziacha risasi kwa makusudi hapana.
Viapo vya madaktari ni vikali sana ndiyo maana anaweza kukutana na hata jambazi aliyefanya uhalifu kwa ndugu wa daktari na bado jambazi huyo akapewa huduma stahiki.
Fahamu pia kuwa kofia mbili zinavalika pamoja yaani udaktari na ujasusi.