Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,199
Kuna kipindi enzi hizo baadhi ya wanawake ilikuwa tukifika chumbani perfomance haikuwepo kabisa yani unajikuta umekaza dakika 20 hufiki ushamaliza mchezo!. Kuna huyo mmoja nilikua hata nikiamua kumlewea vipi dakika 20 sichukui!.
Mara ya kwanza nilikua nahisi panicking lakini ilikua hata nisipokuwa na hamu tukakutana akanianza bado napelekwa puta!. Yani napiga dudu muda mdogo lakin round nyingi!..
Kuna baadhi ya hao wanawake tunaweza kwenda muda mrefu lakini tupo gud hakuna anayewahi kojoa ila tatizo hawa ambao nilizoeana nao lakini bado sikuwa na round nyingi tatizo nini!?..
Kwa sasa kusema kweli sijafanya 'kachumbari' muda mrefu labda Mama Sabrina akinipa siku ya michepuko day pale samaki samaki niangalie!.
Hii kwa wenzangu haikuwahi wakuta!?.