Kama mahabusu ni hivi,jela je?

Kama mahabusu ni hivi,jela je?

Napenda haki itendeke kwenye hii kesi yao. Lakini sifurahii hichi kipindi wanachopitia hawa jamaa.

Swali la kijinga tu, kama walikutikana na cha kujibu (kesi) kwa ule ukwasi waliokua nao, iweje waliopigwa mgawo hawapati bugdha yeyote licha ya hilo jambo kupigiwa kelele hadi bungeni?
Ukaibuka mjadala, za serikali au za umma, upepo ukavuma kisha ukapita hali ikatulia.

Sheria zichukue mkondo wake, isiwe mambo ya chuki na visasi binafsi.

Inawezekana kuwa tano mgao haukuwafikia!?
 
Hilo sahau. Jk ijapokuwa alikuwa na mapungufu yake lakini kwa kiasi chake alikuwa na hekima, tofauti na huyu tuliyenaye.

Ijapokuwa kila binadamu ana mapungufu huyu J Kilevi ya kwake yamezidi.

Hana hekima, ni mwenye kiburi, majivuno, mwenye kisasi, huruma yake ni ya machoni, amesoma lakini ana upeo mdogo. Ana roho ya kwa nini, si mtu wa dhati na ni mkaidi.

Kutegemea haki kwa mtu wa namna hiyo ni sawa na kuwinda Simba baharini.
 
Mungu wa Yakobo na Mungu wa Israel hujawahi kusinzia wala kumsahau mwanadamu yeyote...jithihirishe kuwa ulikuwepo,umekuwepo na utaendelea kuwepo,japo sina undugu na wazee hao lkn Mungu nakuomba uwapiganie,kama ni kuiba mali za umma wapo walioiba nyingi na kuua watu lkn hivi leo wapo uraiani na bado wanaendelea kuiba na kuua watu!
umenitoa machozi mkuu[emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu awasaidie tu Rugemalila na Seth,Kwasababu msoto walioupata mahabusu unaonekana simchezo.Nawaomba sana MUNGU awatete hukumu ya haki

Picha akiwa anapunga mkono ni wakati wanaingia sero na picha nyingine ni walivyo SasaView attachment 821518View attachment 821519
Mbona kama kuna kamchezo kamechezwa kwa singasinga hizo ndevu sio za kwakwe pia kimo cha singasinga kimebadilika hii kitu inawezekana kweli?.
 
Back
Top Bottom