Kama mahabusu ni hivi,jela je?

Kama mahabusu ni hivi,jela je?

Wanakula bure hao kule mahabusu na magerezani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipoteza uhuru ndio utatambua chakula peke yake hakiwezi kukupa afya wala kunawili kwa mwili.

Hao ni mahabusu obvious hawali chakula cha gerezani maana wana haki ya kupelekewa chakula kutoka majumbani kwao lakini bado haisaidii sana maana uhuru ni jambo la msingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom