Kama mahabusu ni hivi,jela je?

Kama mahabusu ni hivi,jela je?

farazuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
384
Reaction score
517
Mungu awasaidie tu Rugemalila na Seth,Kwasababu msoto walioupata mahabusu unaonekana simchezo.Nawaomba sana MUNGU awatete hukumu ya haki

Picha akiwa anapunga mkono ni wakati wanaingia sero na picha nyingine ni walivyo Sasa
IMG_20180718_145934_689.jpg
IMG_20180718_145934_687.jpg
 
Mungu wa Yakobo na Mungu wa Israel hujawahi kusinzia wala kumsahau mwanadamu yeyote...jithihirishe kuwa ulikuwepo,umekuwepo na utaendelea kuwepo,japo sina undugu na wazee hao lkn Mungu nakuomba uwapiganie,kama ni kuiba mali za umma wapo walioiba nyingi na kuua watu lkn hivi leo wapo uraiani na bado wanaendelea kuiba na kuua watu!
 
Watu wanalipwa wanafundishwa wanaishi kwa taaluma ya kuutesa mwili wa binadamu. Mtu katoka anasema amehasiwa na hapo mahakama ishamuona hana hatia.

Ni vizuri tunavyozuia silaha kusambaa kama marekani.
Dah hatari sana mateso mengi mwisho wanakwambia hauna hatia.MUNGU pekee ndio anatoa hukumu ya Haki aisee
 
Sasa hao hata waikutwa hawana hatia lakini si wameshaadhibiwa? Sio kwamba sijui zile porojo za kuwa wako mahabusu na sio jela!! najua sana ila tafauti ya mahabusu na jela ni very technical
 
Napenda haki itendeke kwenye hii kesi yao. Lakini sifurahii hichi kipindi wanachopitia hawa jamaa.

Swali la kijinga tu, kama walikutikana na cha kujibu (kesi) kwa ule ukwasi waliokua nao, iweje waliopigwa mgawo hawapati bugdha yeyote licha ya hilo jambo kupigiwa kelele hadi bungeni?
Ukaibuka mjadala, za serikali au za umma, upepo ukavuma kisha ukapita hali ikatulia.

Sheria zichukue mkondo wake, isiwe mambo ya chuki na visasi binafsi.
 
Back
Top Bottom