Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,933
- 34,912
Kocha hajampenda. Na wachezaji wa kigeni Morocco ni 5, tu siyo 12 kama hapa kwetu.Unatoa Wakati mgumu sana Kwa Wadau wa soka kujadili na unawapoteza njia...Basi kwa scenario hii ya Bwana Aziz tusemeje?..Kafaulu.?
Na siyo yeye tu. Wengi wanaondoka