Kama Ligi Kuu ya Tanzania ni mbovu kwanini Mayele anafanya vyema aliko na kama Ligi Kuu ya Tanzania ni nzuri kwanini Aziz K anafanya hovyo huko aliko?

Kama Ligi Kuu ya Tanzania ni mbovu kwanini Mayele anafanya vyema aliko na kama Ligi Kuu ya Tanzania ni nzuri kwanini Aziz K anafanya hovyo huko aliko?

Hamisa ni mtu wa fursa tu .
Sema mwamba atakuja kimbiwa vibaya mno na kupata msongo wa mawazo
Nililiona hilo Kitambo sana. Mwanamke keshakuwa katika Mahusiano na Watu maarufu na wenye Hela kama Watatu hivi halafu bado jitu Pumbavu kutoka Burkinafaso linaingia kichwa kichwa kwakuwa tu Mtoto ana Kiuno cha Nyigu cha Kuwaibia Mabwigira (Washamba) kama Yeye (Shemeji Mashoto) na keshaonjeshwa barabara ya Vumbi ya Yombo Vituka basi jamaa Kapagawa.
 
Yamekuwa hayo tena Mkuu?
Kwenye vikao vya wanaume hujahudhuria Kwa muda Gani?

Tushakubaliana kujadili mahusiano ya mwanaume mwezako kabla ajapigwa tukio huo ni umama na umbea ambazo ni sifa za wanawake.

Hivo tusubiri kwanza apigwe na kitu kizito ndo tumpe ushauri asirudie Tena kosa, kenge hasikii mpaka atoke damu masikioni
 
Kazi yangu Kubwa sana leo katika huu Uzi wangu ni kujua akina nani wanajua Kuuchambua Mpira na nani ni Mambugira.
Aziz kacheza dakika 20.

Kaondoka TZ ghafla tu, hata kambini huko kwa watu wapya, chakula kipya, wachezaji wapya, mazingira mapya hajakaa.

Kumuweka kwenye mijadala ya aina hii mi mojawapo ya UZUZU

Waydad walipigwa mbili hapa na Onana, timu imechoka, kwani inacheza ligi gani??
 
Kwenye vikao vya wanaume hujahudhuria Kwa muda Gani?

Tushakubaliana kujadili mahusiano ya mwanaume mwezako kabla ajapigwa tukio huo ni umama na umbea ambazo ni sifa za wanawake.

Hivo tusubiri kwanza apigwe na kitu kizito ndo tumpe ushauri asirudie Tena kosa, kenge hasikii mpaka atoke damu masikioni
Mkuu umenifanya Nicheke sana hapa nilipo. Kwamba nimekosea Kumshtua Shemeji Mbukinabe hadi Kwanza apigwe Tukio?
 
Wachambuzi Mambwigira (Washamba) niliokuwa nawataka ndiyo hawa (kama Wewe hivi) yaani umeacha Kuchambua kimpira umekimbilia kuchambia Kiunazi kwakuwa Wewe ni Yanga SC na Shemele Mbukinabe katokea Yanga SC yako ila nina uhakika angetokea Simba SC yangu ungekuja na Ushambuzi kwa Kumkandia kweli kweli hapa. Mnafiki mkubwa Wewe.
Huyo Aziz kacheza dakika ngapi?

Kwa utaahira kama huu, ndio maana mnaua vipaji vya watu.

Yaani unategemea mtu aliyecheza dakiak 20 aonekane amefeli.

Tena mtu ambaye amecheza ASEC miaka kibao, kacheza TZ miaka 3, dakika 20 za Kocha ambaye hamjui ndio akupe conclusion kuwa amefeli.
 
Bwana nyie tuchambue mpira wa africa kuna mpira au sampuli ya mpira....sii wote tunajionea hapo club world up timu zote nne nje group stage. Mpira waku hambuliwa ni wa ulaya na south america
 
Kazi yangu Kubwa sana leo katika huu Uzi wangu ni kujua akina nani wanajua Kuuchambua Mpira.
Aziz Ki always ni wa kawaida kwenye maisha kuna so- called "GRACE"
The rest ni sampuli ya akina Ahoua you can't compare even with Fei Toto. Very native professional player unakuwa busy than career. We're taking out our eyes to see your career & talent but we see smokes at Kitambaa Cheupe & luxurious boat on the ocean with Hamisa.
Best player control their outside issues time ya likizo ndio utaona hayo Mambo sasa huyu km Mr. Pimbi daily kwenye headline
 
Mm ningekua Aziz ningeoa Ile pisi alozaa nayo lkn kwavile kashapitishwa rough road ngoja apigwe tukio akili zikirud atarud Kwa mzaz mwenzio
Natamani sana hapa JamiiForums tungekuwa tunajuana Physically, kwani unaonekana ni Mtu Mtani (wa Masihara) mno halafu very Charming. Posts zako zinachekesha mno.
 
Natamani sana hapa JamiiForums tungekuwa tunajuana Physically, kwani unaonekana ni Mtu Mtani (wa Masihara) mno halafu very Charming. Posts zako zinachekesha mno.
Mm nipo vijijini Mungu akinipa maisha dar nitataman nikuone poa MKuu, mjini ni watu na watu ndo nyinyi
 
Aziz ki anafanya hovyo kwenye league ipi? Ni mpumbavu pekee aliyefikili kuwa aziz ki angekuwa threat kwenye fifa world cup. Hivi soka la dunia mnalichukuliaje?
 
Huyo Aziz kacheza dakika ngapi?

Kwa utaahira kama huu, ndio maana mnaua vipaji vya watu.

Yaani unategemea mtu aliyecheza dakiak 20 aonekane amefeli.

Tena mtu ambaye amecheza ASEC miaka kibao, kacheza TZ miaka 3, dakika 20 za Kocha ambaye hamjui ndio akupe conclusion kuwa amefeli.

Unatoa Wakati mgumu sana Kwa Wadau wa soka kujadili na unawapoteza njia...Basi kwa scenario hii ya Bwana Aziz tusemeje?..Kafaulu.?
 
Back
Top Bottom