Naona Yamal is reminding homos kwamba he is more serious than your rainbow mentalityMtoto wa kike wewe haya mambo tuachie sisi wanaume
We shindwa pepoUkikaa vibaya hata wewe nakuingilia tu.
Neymar hajaua kipaji.Kabisa. Wana hulka zinazofanana. Neymar ameua kipaji kwa ujinga ujinga tu.
Sijui...but angeweza kuwa bora zaidi kuliko sasa kwa maoni yanguNeymar hajaua kipaji.
Kacheza barca kwa mafanikio makubwa.
Refer MSN.
mrembo una jicho la mpira, huyu dogo nimemwangalia mara moja mbili ila ni neymar piwa.Ndo kitacho mkuta huyu Dogo, muda utasema.
Sijaangali hyo game ila matokeo naona barca alikuwa na kaz ya kuchomoa tu, 60% final inaweza kuwa inter na psg kwa maoni yangu.Baada ya balaa lililofanywa jana, nimeamua kurudi kwenye huu uzi uchwara.
Yeye na Neymar ni humu tyuuh.mrembo una jicho la mpira, huyu dogo nimemwangalia mara moja mbili ila ni neymar piwa.
YumoDogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja.
Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema. Anatakiwa aongeze juhudi na kuwekeza kwenye ball. Akianza kutaka ishi kistar umri huu ni ngumu sana kuja fika 25 au 30 akiwa bado ni mali.
Kama yumo humu na uhakika atafanyia kazi haya ninayo sema. Cha msingi tu akubali kujifunza na aache ujuaji huyu dogo. Sijui anatumia ID gani.
SanaYamal atengwe dogo anajua mpira aisee..
barcelona ilikuwa na wakati mgumu. Ila kwa macho yangu mawili nimeshuhudia mafaza wawili dimarco na bastoni wakinyanyaswa na mtoto wa 2007, kunyanyaswa kabisa yaani kama wafungwaSijaangali hyo game ila matokeo naona barca alikuwa na kaz ya kuchomoa tu, 60% final inaweza kuwa inter na psg kwa maoni yangu.