TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,844
- 19,092
Lamine ana miaka 17 tuu, angalia madogo wa miaka 17 mtaani kwako wapoje. Na yeye sio Messi.
Halafu kwa sababu unajua sana kuhusu mpira na namna ya mtu ku behave ili awe mchezaji mzuri kwanini hatukuoni hata hapo Yanga Princess tu?
Ujumbe umeupataMtoto wa kike wewe haya mambo tuachie sisi wanaume
Tuliza sphincters