Kama Lamine Yamal hawatamwahi mapema sana atapotea

barcelona ilikuwa na wakati mgumu. Ila kwa macho yangu mawili nimeshuhudia mafaza wawili dimarco na bastoni wakinyanyaswa na mtoto wa 2007, kunyanyaswa kabisa yaani kama wafungwa
mafaza hawawezi kwenda na moto wa mtoto mtundu mkuu, hilo lipo wazi kabisa wala huwezi walaumu mafaza, pique alishanyanyashwa na mbape na baada ya mechi alikiri yy ni mzee ila akampa mbape task ya kufikia yale aliyofikia kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
 
Mkuu una utani na wafipa eti? 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Dogo ameachieve at a very early stage because of his seriousness

Halafu anakuja mfipa mmoja keyboarder hana mbele wala nyuma anaanza kumpa Ushauri wa maisha

Kweli upumbavu hauna ujazo
 
mafaza hawawezi kwenda na moto wa mtoto mtundu mkuu, hilo lipo wazi kabisa wala huwezi walaumu mafaza, pique alishanyanyashwa na mbape na baada ya mechi alikiri yy ni mzee ila akampa mbape task ya kufikia yale aliyofikia kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
Hao aliowataja Wana miaka hii dimarco 27 bastoni 26 vipi hapo mzee huu si ndio umri wa kupambania future mwisho wa siku kitoto Cha miaka 17 kinawalambisha nyasi lamine yamal ni kiumbe wa pekee kwenye futbol
 
Kwani mkuu we hyo tofauti ya miaka 10 huioni au?
 
Dogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja.

Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema. Anatakiwa aongeze juhudi na kuwekeza kwenye ball. Akianza kutaka ishi kistar umri huu ni ngumu sana kuja fika 25 au 30 akiwa bado ni mali.

Kama yumo humu na uhakika atafanyia kazi haya ninayo sema. Cha msingi tu akubali kujifunza na aache ujuaji huyu dogo. Sijui anatumia ID gani.
Baada ya kuangalia game ya jana… nimejiridhisha kabisa hii Mang’aa of colors iliyoleta hii thread inawashwa washwa
 
Kwahiyo 27 ni mzee kwenye mpira kiasi Cha kunyanyasika kwahiyo lamine yamal akicheza under 18 atakua hawanyanyasi kisa umri unalingana?
watampiga mtama kwa sababu wana umri sawa na refa atapeta, hao mafaza wangemgusa tu wangeadhibiwa kwa kumfanyia mtoto fujo, utoto raha shekhe wangu.
 
Dogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja.

Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema. Anatakiwa aongeze juhudi na kuwekeza kwenye ball. Akianza kutaka ishi kistar umri huu ni ngumu sana kuja fika 25 au 30 akiwa bado ni mali.

Kama yumo humu na uhakika atafanyia kazi haya ninayo sema. Cha msingi tu akubali kujifunza na aache ujuaji huyu dogo. Sijui anatumia ID gani.
Wewe inakuhusu nini? Walikuwapo akina Robinho wako wapi sasa na wametupungukia nini? Mwache dogo atambe!
 
Nina mawazo kama yako. Dogo kashaanza kuwa na mashangazi yeye na yule mwenzake wa Madrid anaitwa Endrick na wana miaka 17 tu watafika 26 kweli wakiwa kwenye fomu?
 
Usifananishe lamine yamal na hiyo takataka yamal anajielewa anachokifanya ndio maana Kila game yupo onfire na hatoshuka kiwango kama unavyofikiria
 
Back
Top Bottom