Kama kweli hawa wazee wawili wamejitoa chamani

Kama kweli hawa wazee wawili wamejitoa chamani

Lakini huko ndani kunafukuta mno... Joto lisipopozwa... Fukuto likazidi kiwango vumilika tutashuhudia mengi
Hakuna wakuwasindikiza, watz hatuna utamaduni huo wa kufuata upepo km Bendera, refer yaliyotokea 2015 yaliyomkuta Lowasa.

Jr[emoji769]
 
jd41,
chama chao au chama chenu?
Kama hao wazee ni corrupted unataka rais apewe ushirikiano wa mawazo na vitendo na corrupted people?
 
Arushaone, Hii sauti kubwa ni udaku kama udaku mwingine. Maana maelezo yako yanakinzana, yaani unajiuliza na kujijibu mwenyewe. Waraka wako hauna chanzo chochote zaidi ya kujitungia mwenyewe sentensi ulizotunga. Ni uhayawani mkubwa.
Cha msingi ni kusubiri taarifa rasmi. CCM haifanyi kazi na tetesi wala mikwaruzano ya twita.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini alipojitokeza alionekana dhahiri kuwa Alikuwa mgonjwa au hukumsikia Wakati alipokuwa akiongea? Na alijitokeza ili kuonesha kuwa ni uongo Lakini akashindwa kuzuia hali yake ya kiafya hata Sauti yake uliisikia, halafu ukitazama serikali hiii huwa inajibu kiusaniii yani haijibu maswali Kama serikali, haiwezekani rais awe anajitokeza kuonesha watu kuwa lililokuwa linasemwa sio Kwa njia Kama zile ni Kama anashindana na wananchi wake sio heshima anajishusha Sana bhana.
Ni sawa na wewe usikie watu wanasema kuwa huna hela halafu ukahangaika kukopa hela ukaenda bar kukaa kunywa pombe ili kuwaonesha kuwa hela unazo

Sent using Jamii Forums mobile app

Missile iliyotumwa, slightly missed the target. It s not over watu wa r&d wapo kazini kurekebisha makosa yaliyotokea
 
Kwangu mimi huyo JIWE na chawa wake wakina musiba na yule bwana mdogo mwenye sura ya kizee watabaki kuwa washamba wa kisiasa tu na hawajui in and out ya hiki chama , kapumzikeni comrades lakini tambueni chama kinawahitaji sanaa.
 
Polepole H anaweza kumhoji Makamba kitu gani? Kama haogopi umri na uzoefu hata uchawi nao. Bashiru anaweza kukaa meza moja na Kinana? Mwezi unaweza kulihoji jua?
Polepole na Bashiru wako levo moja na Musiba. Huyo ndio wanaweza kukaa nae wakahojiana. Kinana ni full colonel wa jeshi na sio jeshi la mgambo, ni jeshi lile likilomtoa mtu madarakani hadi kukimbia nchi
Haya ni matokeo ya ku-dwell in the past, hata Mwalimu alikuwa anaheshimika mno, yuko wapi sasa. Usijikite mno kwenye wakati uliopita.
 
Hawana ushawishi tena, walishavuna wasipopanda, wakala na kusaza. Bahati mbaya bado wanataka kuheshimika wakati wameshakuwa zilipendwa chamani.

Kila zama na kitabu chake, kurasa zao awamu hii zimefungwa, huenda wakapokelewa chama kile.
 
Waasisi wenyewe hawapo, na bado kipo, sembuse hao waliokikuta tu??

Hakujawahi tokea mtu mkubwa kuliko Taasisi.

Akitoka mtu anaingia mtu.
 
Kwao ni heshima kujivua kuliko kufukuzwa.
Hilo halina utata. Kikubwa, ni what next?
Money Laundering charges?
Charges zote kwa sasa zitakosa legitimacy japo inawezekana.
Something will happen mwaka huu au mwakani watuhumiwa wote wataachiwa huru.
 
Niliona siasa ni upuuzi mwaka 2015 watu walipounga mkono mabadiko yanayoongozwa na lowassa. Naona upuuzi Tena Kama huo ukiongozwa na membe kwa kuungwa mkono na upinzani. Alafu eti Leo watu wanawasgangilia kinana na makamba kwamba ni ni majasiri kwa kujitoa ccm kiss maslahi yao kiuchumi yapo mashakani.
Kiukweli Kama hauna maslahi ya moja kwa moja kwenye siasa ni Bora kukaa pembeni tu vinginevyo akili yako ina walakini.
Nakazia hapo hapo...

Hamna kitu hapo.. ..usanii kwenda mbele... .... hao watarudi ccm kama shujaa Lowasa...

Wanatoka sasa hivi kwenda kuvuruga nje huko....baadae wanarudi!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polepole H anaweza kumhoji Makamba kitu gani? Kama haogopi umri na uzoefu hata uchawi nao. Bashiru anaweza kukaa meza moja na Kinana? Mwezi unaweza kulihoji jua?
Polepole na Bashiru wako levo moja na Musiba. Huyo ndio wanaweza kukaa nae wakahojiana. Kinana ni full colonel wa jeshi na sio jeshi la mgambo, ni jeshi lile likilomtoa mtu madarakani hadi kukimbia nchi
Colonel ni kule sio kwenye chama..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
jd41,
Nawaza 2020 watashinda vipi km chama wakongwe wanaondoka
Sema kwa style ya Serikali za Mitaa yajayo yanafurahisha


Kanda ya Ziwa inaamua Raisi wa JMTZ kwenye Uchaguzi, na Kanda ya Ziwa Magufuli ni brand inayojitegemea.
 
Back
Top Bottom