Kama kweli hawa wazee wawili wamejitoa chamani

Kama kweli hawa wazee wawili wamejitoa chamani

Polepole H anaweza kumhoji Makamba kitu gani? Kama haogopi umri na uzoefu hata uchawi nao. Bashiru anaweza kukaa meza moja na Kinana? Mwezi unaweza kulihoji jua?
Polepole na Bashiru wako levo moja na Musiba. Huyo ndio wanaweza kukaa nae wakahojiana. Kinana ni full colonel wa jeshi na sio jeshi la mgambo, ni jeshi lile likilomtoa mtu madarakani hadi kukimbia nchi
 
Hapa wazungu ndio huona waafrika tulivyo wajinga

Mtu unakaa unaandika habari ndeefu hewa.Kuna Mwalimu wangu chuo mhindi alikuwa ukiandika kitu kirefu hakina evidence anaenda kwa principal kukushtaki na kukuataa kuwa usiingie daradani kwenye someone.lake ila mitihani unaruhusiea kufanya ila hatasahihisha yeye.Alijuwa na hasira za kufa mtu.Sipati picha angesoma hicho alichoandika huyo anaitwa Sauti Kubwa
 
Kwanini huwa baadhi yenyu mnapenda kuwaona ngozi ya kitimoto ni bora kuliko nyeusi? Kwanini huwa tunadhani anachofanya raia wa kigeni ni bora kuliko cha mweusi?

Jr[emoji769]
 
Mshana Jr, Io ni safar moja kupelekea league ya China asie jua Nan chadema ndio watu pekeee wanaweza wapokea Hao watu na kuwapa nafas kugombea urais msishangae yalio mkuta slaa yakamkuta lissu pia ila chadema et wanawasapot kina kinana Leo siasa bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini huwa baadhi yenyu mnapenda kuwaona ngozi ya kitimoto ni bora kuliko nyeusi? Kwanini huwa tunadhani anachofanya raia wa kigeni ni bora kuliko cha mweusi?

Jr[emoji769]
Wenzetu sio gossip countries
Hawaendekezi gossips wanapenda facts ndio maana wako juu.Sisi gossips too much Hadi inakera ndio maana tuko chini
Wahindi ,wazungu hawapendi Sana hata makazini kuwa karibu na mswahili wanajua Ni mtu wa gossiping Sana kuliko facts
 
Hizi ni porojo kama zilivyokua zile porojo zingine za mama kuongoza nchi kwa muda. Tetesi na porojo zile zilienea na si serikali wala chama zilizojitokeza na kukanusha hata baada ya hizo saa 72 anazosema mleta uzi. Ni kama walizipiuza tu tetesi zenyewe maana kwa vyovyote vile walizisikia

Serikali ilijibu kwa vitendo baada ya aliyekua kazushiwa kifo kujitokeza hadharani mbele ya luninga, live akifanya majukumu yake aliyokabidhiwa kikatiba. Ilikua ni aibu kwa wazushi
Lakini alipojitokeza alionekana dhahiri kuwa Alikuwa mgonjwa au hukumsikia Wakati alipokuwa akiongea? Na alijitokeza ili kuonesha kuwa ni uongo Lakini akashindwa kuzuia hali yake ya kiafya hata Sauti yake uliisikia, halafu ukitazama serikali hiii huwa inajibu kiusaniii yani haijibu maswali Kama serikali, haiwezekani rais awe anajitokeza kuonesha watu kuwa lililokuwa linasemwa sio Kwa njia Kama zile ni Kama anashindana na wananchi wake sio heshima anajishusha Sana bhana.
Ni sawa na wewe usikie watu wanasema kuwa huna hela halafu ukahangaika kukopa hela ukaenda bar kukaa kunywa pombe ili kuwaonesha kuwa hela unazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona siasa ni upuuzi mwaka 2015 watu walipounga mkono mabadiko yanayoongozwa na lowassa. Naona upuuzi Tena Kama huo ukiongozwa na membe kwa kuungwa mkono na upinzani. Alafu eti Leo watu wanawasgangilia kinana na makamba kwamba ni ni majasiri kwa kujitoa ccm kiss maslahi yao kiuchumi yapo mashakani.
Kiukweli Kama hauna maslahi ya moja kwa moja kwenye siasa ni Bora kukaa pembeni tu vinginevyo akili yako ina walakini.
Hapana hapo ndipo tunapokosea, wasio faaa usikubali wakaongoza nchi kisa huna maslahi ya moja Kwa moja, anaeongoza nchi anaweza kusababisha maisha yako yakakwama hata ukafa unapaswa kupigana kadri uwezavyo kumuondoa Mkuu, mfano magufuli hafai, ebu Leo anakataa watoto kupewa Mikopo Ya Chuo kisa walisoma shule binafsi Halafu wewe huna maslahi kwenye siasa na ulisomesha Mtoto shule binafsi anafika Chuo huna uwezo anashindwa kusoma umeumia hivyo amegusa na kuathiri maisha yako iko mifano mingi Sana kuna watu wameumia Sana na awamu hii wasiokuwa na maslahi ya moja Kwa moja kwenye siasa ndio maaana watu wanataka kumtoa, mfano yeye hataki mtu utajirike, hataki watu wawe na hela hivyo watu wanaumia wasio na hatia, heli umuweke mtu ambae hakupi kitu Lakini pia haathiri maisha yako Kama kipindi cha Nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wahindi umedanganya.. Kama kuna race inapenda majungu na umbea hao jamaa wanaongoza... Na hao wazungu wao ni mabingwa wa unafique

Back
Top Bottom