Kama kweli hawa wazee wawili wamejitoa chamani

Kama kweli hawa wazee wawili wamejitoa chamani

Watanzania ndugu zangu kuna mifano iko wazi

2015 huko Ccm walitoka mawaziri wakuu wawili ,na baadhi ya watu na Ccm haikuyumba ,na sasa 2020 wamerudi


2020 huko huko Ccm wanatoka hao makatibu wakuu wawili tena , na kwa Ccm hii ya sasa sioni ikiyumba ,kifupi watashinda tena ,wako ktk kukijenga chama chao ,hawa nao watarudi

Siasa za Ccm ngumu sana
 
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
Mkuu ukishakua Ccm na ukawa umekula matunda ya Ccm, huwezi kutoka Chama hicho ,ndio kwenye maslahi ,mnapiga kelele tu humu mitandaoni

Ngoja tuendelee kupiga ndezi ,porini huku
 
Mahojiano yamechelewa kwa siku kadha
Venue imebadilishwa bila maelezo yoyote
Wajumbe wa mahojiano wamebaki wawili tu....

Jr[emoji769]
Mbona unaumia sana? Relax. Take a chill pill, series za sisiemu zitakuumiza. Ni kama isidingo. Haziishi.
 
Mahojiano yamechelewa kwa siku kadha
Venue imebadilishwa bila maelezo yoyote
Wajumbe wa mahojiano wamebaki wawili tu....

Jr[emoji769]
Ukifuatilia series za CCM utaumia bure. Wewe endelea kufuatilia mambo ya ulozi

Ukae tu ukijua mtu haondoki CCM, hata iweje. Muangalie Mrema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukishakua Ccm na ukawa umekula matunda ya Ccm, huwezi kutoka Chama hicho ,ndio kwenye maslahi ,mnapiga kelele tu humu mitandaoni

Ngoja tuendelee kupiga ndezi ,porini huku
Sahihi kabisa... Home sweet home... Ndio maana Sumaye kaamua kurudi nyumbani

Jr[emoji769]
 
Kivipi tena mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kuna baadhi ya watu walikua wanatarajia mvurugano, mpasuko na mtifuano kwenye hii issue. Sasa walichokiona kimewafadhaisha. Ni kama mtu uliejiandaa kwenda kufanya fujo mahali baada ya kuchochewa labda kuna ugomvi, kisha ukakuta amani, furaha, upendo na mshikamano vimetamalaki, lazima upanic na ulete assumptions zingine🤣🤣🤣
 
Mimi bado sijasahau kilicho tokea kwa mawaziri wakuu wastaafu Sumaye na Lowasa ,pia tulishangaa hivyo hivyo . Sasa kwa suala la Makamba na Kinana kama makatibu wakuu wastaafu wa chama ni kiini macho tu . MPANGO MKAKATI NI ULELE KASOLO MBINU TU .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili uyaelewe masisiemu, unahitaji zaidi ya elimu ya darasani. Their games are well planned, yaani ili hawa jamaa wasambatishane, itahitajika nguvu tofauti na hii tunayoiona leo. Nadhani huenda external links zikafanya hiki chama kisambaratike lakini sio juhudi za akina Mbowe, Lissu na Zitto-the-traitor.

Bahati mbaya sana, hata waliopo nje ya hiki chama, wanakula(buku saba) za hiki chama, it's really difficult to separate an African with sabotage. And that's why I decided not to be a fan of political parties, but rather individual's ideologies.
 
CCM semeni ukweli: Kinana na Makamba wameipuuza Kamati ya Maadili Dodoma wakaenda kuonana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM hapa Dar
Nadhani kuna baadhi ya watu walikua wanatarajia mvurugano, mpasuko na mtifuano kwenye hii issue. Sasa walichokiona kimewafadhaisha. Ni kama mtu uliejiandaa kwenda kufanya fujo mahali baada ya kuchochewa labda kuna ugomvi, kisha ukakuta amani, furaha, upendo na mshikamano vimetamalaki, lazima upanic na ulete assumptions zingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom