mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,867
- 8,278
Acheni porojo ,polisi wapo wengi tu wenye division 1 ,jeshi la polisi lina wataalamu wake wengi nguli katika mambo ya sheria,IT na mimi nawajua wengine nimesoma nao ,wengine walipomaliza kidato cha sita walijiunga na jeshi la polisi na baadaye kujiunga na vyuo vikuu,na wengine walipata ajira baada ya kumaliza chuo kikuu na ndipo walipojiunga na jeshi la polisi.Jeshila polisi lina wasomi wengi sana ,sema tu ni mfumo wa jeshi lenyewe ndiounliangushwa,huenda wasiosoma ni hawa askari wenye miaka zaidi ya 55 kama akina Kova,Rashid na wengineo.