Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
😂😂😂😂🙌🙌Na nitafurahi wakiwasamehe lakini wawa ambie wakatafute Chama chengine chakwenda.
Nahisi hakuna jambo linalompa mawazo na wakati mgumu Ndugai kama hilo.Ni meko na alishakufa.
Ndungai must pay the price
Huyu ni wakushughulikia haswa, Ndugai hafai kuwa kiongozi hata dak 1Nahisi hakuna jambo linalompa mawazo na wakati mgumu Ndugai kama hilo.
Acheni ubabaishaji walikata rufaa baraza kuu la Chadema hafi leo hii hamjakutanaHuyu ni wakushughulikia haswa, Ndugai hafai kuwa kiongozi hata dak 1
Mpuuzi na mjinga haswa, ukihukumiwa na mahakama kifungo cha maisha gerezani ukakata rufaa, utaacha kutumikia kifungo chako mpaka rufaa isikilizwe? shame on youAcheni ubabaishaji walikata rufaa baraza kuu la Chadema hafi leo hii hamjakutana
Wabunge hewa, pesa zetu zinapotea. Takukuru wamhoji NdugaiAcheni ubabaishaji walikata rufaa baraza kuu la Chadema hafi leo hii hamjakutana