Kama Katiba inasema Mbunge akifukuzwa uanachama Ubunge wake unakoma, ni nani anawalinda Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA?

Hakika inashangaza Sana kuona baadhi ya Viongozi wetu Walioapa Kuilinda Katiba lakini ndio Wanaikanyaga kwa Makusudi tena Hadharani.Kwa Mujibu wa Katiba tuna aina mbili za Wabunge Wakuchaguliwa na Wakuteuliwa.

Na ili uwe Mbunge lazima uwe Mwanachama wa Chama cha Siasa. Moja ya Sababu za kukoma kwa Ubunge ni pamoja na Kufukuzwa Uanachama. Chadema imewafukuza Wabunge 19 Uanachama wao lakini Mpaka leo bado ni Wabunge. Swali la kujiuliza:

Kwanini bado ni Wabunge?

Nani anawalinda?

Kwanini awalinde licha ya kuwa wamemfukuzwa Uanachama?

Tunakuomba Mh. Rais hebu ingilia kati suala hilo kwa Hao Wanaoichezea Katiba na pia Kuokoa Pesa wanazolipwa Wabunge hao ambazo ni Kodi za Wananchi Masikini wa nchi hii.
Katika serikali zote zilizovunja katiba yetu waziwazi kabisa ni serikali ya awamu ya tano, yaani tulitawaliwa kama hakuna katiba vile, anachoamua mkuu na kundi lake dogo ndicho hicho hicho kinageuka kuwa sheria.

Hii ni aibu, mama yetu Samia tunaomba ugeukie na huku kwenye siasa, kuna madudu ya ajabu mno!!
 
kwani.mkutano mkuu na baraza kuu lilishafanyika kuridhia kufukuzwa kwao? walikata rufaa na hiyo rufaa haijasikilizwa hadi leo jiulize hulo Chadema mkutano wa baraza kuu mbona umeyeyukia hewani kulikoni?

Msisukumie Ndugai
Ruzuku ndo tatizo, wanataka mwenyekiti wao akale wapi?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
kwani.mkutano mkuu na baraza kuu lilishafanyika kuridhia kufukuzwa kwao? walikata rufaa na hiyo rufaa haijasikilizwa hadi leo jiulize hulo Chadema mkutano wa baraza kuu mbona umeyeyukia hewani kulikoni?

Msisukumie Ndugai
Chawa wote wa mwendazake lazima mna kesi za kujibu.

Eameanza na Kakoko na wengine mjiandae maana huu muziki siyo wa kuisha leo
 
kwani.mkutano mkuu na baraza kuu lilishafanyika kuridhia kufukuzwa kwao? walikata rufaa na hiyo rufaa haijasikilizwa hadi leo jiulize hulo Chadema mkutano wa baraza kuu mbona umeyeyukia hewani kulikoni?

Msisukumie Ndugai
Mkuu swali la Msingi walifikaje huko? Nani alipaswa kuandaa orodha na kuifikisha kunakotakiwa? Aliyetakiwa kuandaa orodha alikana kupeleka majina hayo kunakohudika.
 
kwani.mkutano mkuu na baraza kuu lilishafanyika kuridhia kufukuzwa kwao? walikata rufaa na hiyo rufaa haijasikilizwa hadi leo jiulize hulo Chadema mkutano wa baraza kuu mbona umeyeyukia hewani kulikoni?

Msisukumie Ndugai
Kwani ukifukuzwa shule ukakata rufaa unaruhusiwa kuendelea na shule au anasubiri maamuzi ya rufaa yako ukiendelea kuitumikia adhabu?
Je, mtu akihukumiwa kufungwa jela, anakuwa uraiani au anaendelea kuitumikia adhabu yake hadi majaliwa ya rufaa yake?
Je, Mtu akisimamishwa kazi akakata rufaa, anaendelea kwenda kazini au anasimama kazi akisubiria majibu ya rufaa yake?
 
Acheni ubabaishaji walikata rufaa baraza kuu la Chadema hafi leo hii hamjakutana
Kila siku najiuliza. Hivi akili za wanaCCM zilienda wapi? Ukihukumiwa adhabu au ukifukuzwa kazi ukakata rufaa huendelei kwenda kazini hadi majibu ya rufaa yako yatoke.
 
Hakika inashangaza Sana kuona baadhi ya Viongozi wetu Walioapa Kuilinda Katiba lakini ndio Wanaikanyaga kwa Makusudi tena Hadharani.Kwa Mujibu wa Katiba tuna aina mbili za Wabunge Wakuchaguliwa na Wakuteuliwa.

Na ili uwe Mbunge lazima uwe Mwanachama wa Chama cha Siasa. Moja ya Sababu za kukoma kwa Ubunge ni pamoja na Kufukuzwa Uanachama. Chadema imewafukuza Wabunge 19 Uanachama wao lakini Mpaka leo bado ni Wabunge. Swali la kujiuliza:

Kwanini bado ni Wabunge?

Nani anawalinda?

Kwanini awalinde licha ya kuwa wamemfukuzwa Uanachama?

Tunakuomba Mh. Rais hebu ingilia kati suala hilo kwa Hao Wanaoichezea Katiba na pia Kuokoa Pesa wanazolipwa Wabunge hao ambazo ni Kodi za Wananchi Masikini wa nchi hii.
Hao hapaswi kuendelea kulipwa kodi zetu maana cio wabunge halal na wanatakiwa warudishe pesa ambazo tayar wamelipwa mh rais samia hassan tunaomba iliangalie hili
Hakika inashangaza Sana kuona baadhi ya Viongozi wetu Walioapa Kuilinda Katiba lakini ndio Wanaikanyaga kwa Makusudi tena Hadharani.Kwa Mujibu wa Katiba tuna aina mbili za Wabunge Wakuchaguliwa na Wakuteuliwa.

Na ili uwe Mbunge lazima uwe Mwanachama wa Chama cha Siasa. Moja ya Sababu za kukoma kwa Ubunge ni pamoja na Kufukuzwa Uanachama. Chadema imewafukuza Wabunge 19 Uanachama wao lakini Mpaka leo bado ni Wabunge. Swali la kujiuliza:

Kwanini bado ni Wabunge?

Nani anawalinda?

Kwanini awalinde licha ya kuwa wamemfukuzwa Uanachama?

Tunakuomba Mh. Rais hebu ingilia kati suala hilo kwa Hao Wanaoichezea Katiba na pia Kuokoa Pesa wanazolipwa Wabunge hao ambazo ni Kodi za Wananchi Masikini wa nchi hii.
 
Mhe: Rais Samia SITISHA MALIPO HEWA YA COVID-19. Wana tuibia watanzania kodi zetu. Cha kufanya ni Kupunguza fungu la Bunge kwa Wabunge 19 tu ; Afu huyo mjinga Job ata jiongeza.
 
Hakuna mbunge hata mmoja ambae anatamani kurudi chadema, hiyo ndoto yako endelea kuota tu
Muda utaongea...unajua walihama kwa sababu gani?aliye wahamisha sasa hivi anaitwa hayati,walipoenda walichukua nafasi za watu.
Unadhani wazawa watakubali kizembe na aliye waleta hayupo?.
 
Wivu tu ndio unawasumbua, ingekuwa wabunge wanafanya kazi bure bila kulipwa chochote sidhani kama ungekuja hapa kupiga makelele
Katiba ifuatwe, Katiba inasemaje kuhusu mbunge aliyefukuzwa uanachama na Chama chake, hayo mambo ya kukanyaga katiba na kufuata hisia za mtu mmoja yameenda na marehemu
 
Hao walikuwa ni wabunge wa job ndugai na ndugu yake magufuli nina imani yangu kwamba uongozi wa samia utawatoa nje ya bunge maana hawahusiki
 
Kina Mdee walibugi sana, kuamini Magu Ni alpha na omega, na kwamba chadema ndo imekufa hivyo. Heshima yote walioijenga kwa miaka mingi imevurugwa kwenye tope
 
Ni yuleyule aliyemlinda bosi wa bandari na majizi mengine

Ni yuleyule aliyemlinda Musiba kuwatukana viongozi mbalimbali wakiwemo wastaafu

Ni yuleyule aliyelinda wauaji na watekaji wasiojulikana.

Ni yuleyule aliyelinda mpasuko wa umoja wa kitaifa kwa kushangilia ubaguzi na unyanyasaji kwa wasimuabudu

Ni yuleyule aliyejipanga kwenda kuongoza malaika.

Kiongozi bora, jabali la Afrika na kiboko ya mabeberu.

Mwendazake.
Ni yule yule aliekuwa anajitayrisha kubadilisha katiba kubaki madarakani forever!
 
Hawa hapa wanatuonyesha aliyekuwa anawalinda , hawana Raha tena wamekalia kuti kavu maskini .
Screenshot_20210326-224030.png
 
Katiba ifuatwe, Katiba inasemaje kuhusu mbunge aliyefukuzwa uanachama na Chama chake, hayo mambo ya kukanyaga katiba na kufuata hisia za mtu mmoja yameenda na marehemu

Imefuatwa kwa sababu viti maalum ambavyo ni haki ya chadema zimeshajazwa,
 
Muda utaongea...unajua walihama kwa sababu gani?aliye wahamisha sasa hivi anaitwa hayati,walipoenda walichukua nafasi za watu.
Unadhani wazawa watakubali kizembe na aliye waleta hayupo?.

Wakina mdee hawajaama kwenda kokote, walikuwa wanachama wa chadema na mpaka leo ni chadema

Kufukuzwa kwa kisa tu wanaume wazima mnakasirika ni ujinga
 
Inategemea wamefukuzwa kwa kosa gani?
Haiwezekani watu wanyimwe haki yao kwa makosa ya kipuuzi na maamuzi ya kijinga

Hiyo katiba inatambua viti maalum, na lazima ujue viti maalum ni lazima sio ombi,

Sasa mtu mmoja kwa manufaa yake binafsi hataki watu watimize katiba kwa kwenda kwenye viti maalum kisa tu yy ajawa rais

Kama uchaguzi ulikuwa wa hovyo, ni lini uchaguzi wa Tanzania ulikuwa bila matatizo yoyote na mbona viti maalum walikuwa wanakwenda?
Kama nakuona Taga aka Mnyonge unavgomwaga povu
 
Ni marehemu pamoja na Ndugai - hawa wamevunja katiba yetu ya nchi waziwazi bila kificho.
 
Back
Top Bottom