Kama Kanali analia mimi ni nani?

Kama Kanali analia mimi ni nani?

Kanali ni binadamu kama wengine msitishike na magwanda.Hao hao wavaa magwanda huwa wanapelekeshwa na wake zao hadi huwa nashangaa.
 
Jitu limejiunga siku nyingi ila linaandika ujinga. Mada yako inalenga nini hasa, kuliliwa kwenye msiba?
IQ yako haikufikishi huku niliko mm. Kamwe huwezi kuuelewa Uzi kama huu, Wacha nikusaidie kuulainisha ili uambulie.

Mungu apishie mbali, Kama siku baba yako mungu akimchukua, kama we we hutalia saña basi inawezekana kabisa mkeo na watoto wako nao hawatalia kabisa. Ili watoto wako walimlilie babu yao hata kama we we hujalia ni lazima babu yao iwe alikuwa na maisha na tabia fulani iliyowagusa moja kwa moja wajukuu zake. Kama babu yao alikuwa hana urafiki na wajukuu zake inawezekana wakaenda kucheza mpira wakati maiti ya babu yao iko ndani.

Na hiki ndicho hasa nilichokisema kwenye Uzi huu. Haya unaweza kuendelea sasa
 
Tundu Lissu leo hii anafurahia kurudi nchini kwake baada ya unyama aliotendewa tena wengine walidirikia kukaa kimya biila hata kukemea

Mungu ni mkubwa sana na hadhihakiwi
 
Ulishawahi kuona wapi mtu analia kwa kujilazimisha, na bada ya nusu dk anacheka.
 
Back
Top Bottom