Kama ingelitokea msanii Mkristu akashutia video yake Msikitini

Mkuu, kuwa na adabu!
Hujui unaongea na nani!
Unadhani kwa matumizi ya fake ID kuwa siwezi kukupata!
Huu mtandao upo kiganjani kwetu, Email yako inatosha kabisa kupata location yako!
Ebo! [emoji34][emoji34]
Jitu jinga linabaki kutishia watu

Inawezekana kweli jamaa kaongea kwel ARV zinakupeleka resi hadi huekewi unachoongea
 
Mkuu, kuwa makini!!
Au ukiona account yako inapigwa ban ndo utapata akili!
Mimi sio Diamond
Tunaelewana mkuu!!
 
Afrika ingekuwa MBALI SANA kama Kusingekuwa na DINI.
Usiwezi kuamini kuna Binti tumeshindwa kuoana KISA DINI.
Kitu ambacho kimekuja tu kama zinavyokuja Simu za Tecno.
 
Kwani lile kanisa aliloshutia alijenga akamaliza akafanyia shutingi au alienda kuomba afanyie hapo?
Kama lile kanisa walikubali . Basi tatizo ndio hao siyo aliyefanyia.

Ila kama amejenga halafu akaweka madhari za kikanisa ili afanyie shutingi. Ana kesi ya kujibu
 
Sikubaliani na alichofanya.

Lakini lawama ziende kwa Viongozi wa kanisa walioruhusu jambo hilo kufanyika ndani ya kanisa.
 
Hivi mbona watz tunazidi kuwa wapumbavu kila kukicha hivi hapo Daimond ana kosa gani?

Kwani walienda wakalivamia kanisa na kuwashikia bunduki viongozi wa hilo kanisa na karekodi kwa razima?

Mpaka anakuja kufanya hicho alicho kifanya ina maana alipata baraka zote kutoka kwa viongozi wa kanisa husika na waliona hakuna tatizo yeye kufanya hivyo.
Sasa hapo Daimond ana kosa gani?
Wakulaumiwa ni wale walio waruhusu kifanya walicho kifanya.

Hizi hoja za sijui kwa nn hawajaenda msikitini ni hoja za kipumbavu kwa sababu msimamo wa viongozi wa kiislam uko wazi kabisa ya kuwa hayo mambo hayaruhusiwi ndani ya msikiti ,wakati upande wa viongozi wa pili ni rukusa na tumeshudia mara nyingi miziki na maigizo yakofanyika ndani ya makanisa tena waigizaji wakiwa wamevaa nusu uchi mbona hamkuwahi kusema huko nyuma?

Hata wanawake siku hizi wamekuwa wanaenda makanisa kwenye ibada na mavazi ya ajabu ajabu tukisema mnajitetea eti mungu ahaangilii mavazi bali ana angalia matendo.
Kwahyo umeona hayo mambo kanisani ndio yanaruhusiwa ila msikitini hayaruhusiwi. Kwakua kanisani ni mahali pa kisenge ila msikiti ndio mahali patakatifu
 
Tena wanavaa hijab kumbe ni MAKAHABA YA KUTUPWA

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kwahyo umeona hayo mambo kanisani ndio yanaruhusiwa ila msikitini hayaruhusiwi. Kwakua kanisani ni mahali pa kisenge ila msikiti ndio mahali patakatifu
Ndio maana nimesema kuwa msimamo wa viongozi wa kiislam uko wazi kuwa mambo kama hayo haya ruhusiwi msikitini.
Lakini upande wa wawakristo hawajaweka wazi msimamo wao ya kwamba mambo kama hayo haya ruhusiwi kanisani.

Kwani viongozi wa hilo kanisa wangemkatalia angewashikia bunduki na kuwa razimisha?
Walimruhusu ina maana hawa kuona tatizo juu ya kile alicho kifanya.
 
Hivi mbona watz tunazidi kuwa wapumbavu kila kukicha hivi hapo Daimond ana kosa gani?

Kwani walienda wakalivamia kanisa na kuwashikia bunduki viongozi wa hilo kanisa na karekodi kwa razima?

Mpaka anakuja kufanya hicho alicho kifanya ina maana alipata baraka zote kutoka kwa viongozi wa kanisa husika na waliona hakuna tatizo yeye kufanya hivyo.
Sasa hapo Daimond ana kosa gani?
Wakulaumiwa ni wale walio waruhusu kifanya walicho kifanya.

Hizi hoja za sijui kwa nn hawajaenda msikitini ni hoja za kipumbavu kwa sababu msimamo wa viongozi wa kiislam uko wazi kabisa ya kuwa hayo mambo hayaruhusiwi ndani ya msikiti ,wakati upande wa viongozi wa pili ni rukusa na tumeshudia mara nyingi miziki na maigizo yakofanyika ndani ya makanisa tena waigizaji wakiwa wamevaa nusu uchi mbona hamkuwahi kusema huko nyuma?

Hata wanawake siku hizi wamekuwa wanaenda makanisa kwenye ibada na mavazi ya ajabu ajabu tukisema mnajitetea eti mungu ahaangilii mavazi bali ana angalia matendo.
Kosa si kushuti video kanisani, kosa ni maaudhii ya video yake aliyoshuti kanisani. Kuna baadhi ya waumini wa dini ya kikristo wanaona wameridharilisha kanisa. Unaweza ukapata ruhusa ya kushuti video kanisani lakini siyo kwamba umeruhusiwa kushuti "scene" ya kujamiana kanisani. Waumini lazima watalalamika. Mtengeneza video alitakiwa kutafakari vizuri kabla ya kufanya kitendo hicho. Ila kitendo cha video kufungiwa kitaongeza views za video hiyo.
 
Ila Chuki za Udini zipo huku mitandaoni na ni labda kwa sababu hatuonani na ndio maana watu wanatoa nyongo zao. Ila huku mitaani watu wako poa tu unakuta nyumba moja wanaishi Wakristo na Waislamu halafu amani tu ila ukiingia mtandaoni sasa!
 
Back
Top Bottom