Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,576
- 8,052
Kanisa ni open minded society chief na ndio linaongoza hii Dunia , unayoyaona yote hayo hakuna jipya... wewe umemuona amezalilisha ila kanisa limeona ametangaza dini kupitia mziki wake na ndio maana huwezi kuona wanatoa tamko kumlaani ... vijana wa kislamu ndani ya kanisa takatifu hiyo ndio INJILI na unaambiwa script ili kaguliwa na ma-sisterWanawatoa pesa kwa viongozi wa makanisa.Sijaona movie za misikitini wala kuchezea uislamu kwenye movie,